ILEE, Patashika ya ligi kuu Tanzania kuendelea kupigwa leo January 18, 2020, ambapo Azam FC Wanalamba lamba, wakiwa na alama 29 kwa michezo 14, wanawakaribisha Yanga SC Wanajangwani, wenye alama...
1. Je ni kweli Mo anajaribu kuwa mkubwa kuliko timu ya Simba SC; au ni kweli Mo akiachana na Simba SC, timu hiyo itayumba na kukosa mustakabali elekezi?
2. Je kuna mafanikio gani ambayo Simba SC...
Ukiondoa majeraha yaliyomkumba siku za karibuni, nini kimemsibu straika huyu wa Kitanzania tuliyeaminishwa ana kipaji kikubwa kiasi cha kwamba angeweza kucheza klabu yoyote kubwa barani ulaya...
January 18, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Azam 1 - Young Africans 0
Kocha wa mkuu wa Yanga mbelgiji Luc Eymail atokwa povu na kulia kufuatia vipigo ktk mechi mfululizo. Na matokeo ya leo Kocha...
Hebu tujadiri hili swala GSM naona anamwaga sana pesa yanga kwenye kununua wachezaji na hata motisha timu kila inaposhinda je ni kwa kuwa ni mdhamini ama kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia...
Nilitaka kuamini kwamba tukio la kutekwa kwa Mo limepita na basi yeye alishaamua kuachana nalo na kuendelea na biashara zake.
But lately naona dalili zote za PTSD - Post Traumatic Stress...
Naona wengi wanamtupia lawama kocha, kiukweli kocha hana makosa, makosa yapo kwa wachezaji.
Kwa mfano goli kama alilojifunga Ally Sonzo utamlaumuje kocha!....mipira inafika kwa mastrika hawafungi...
Sheria za FIFA zinaainisha mchezaji akihama kutoka timu moja kwenda nyingine kila timu aliyocheza itapata mgao wao kutoka kwenye pesa za usajili.
Kama tunavyojua Samatta kabla ya kwenda Simba...
Wakati homa ya mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga ikiendelea kupanda huku zikiwa zimebaki saa chache, Mashabiki na Wachezaji wa timu hizo wameendelea kutambiana kuibuka na ushindi
Simba...
Hii kwa mimi kama mtanzania mwenzao sijapendezwa na sio ustaarabu wa watu walio na hekima,ya nini kwenda kuvamia site za watu na habari na kuzitolea lugha ya matusi kiasi kile,ili hali tu kutaka...
Aman itamalaki
Kwa usajil huu unaoendelea pale msimbazi kisajili wachezaji wasio na mbele wala nyuma na kuwaongezea mikataba wachezaji waliojichokea basi simba poleni sana
Kocha mtamfukuza...
Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla sijui yupo Yanga kufanya nini. Hivi maamuzi ya kumleta kocha mpya yamefanywa na nani? Usajili wa wachezaji km YIPE umefanywa na nani maana ni kama anapelekeshwa...
Utafiti unaonyesha kwa sasa nchini Tanzania mashabiki wa yanga ndio watu wenye huzuni zaidi nchini.
Na hii inatokana na wao kutopenda kuchomoa pindi wanapochomekwa kimoja au viwili
Hakika...
Mbwana Ally Samatta work permit: What Aston Villa must do to secure Tanzanian striker
Aston Villa transfer news | Here's how Samatta's work permit situation will work out
SHARE
BY JAMES RUSHTON...
Mjini hakukaliki, Yanga tangu wamepata sare na Simba wameshangilia sana matokeo hayo kama vile ambavyo Simba ingeshangilia kupata sare na Real Madrid.
Je, ni kweli kuwa kiwango cha Yanga kwa sasa...
Ni jambo la wazi kwamba simba inapendwa Sana Tanzania kuliko club yoyote ile.
Yanga ina WAPENZI wachache ukilinganisha na Simba pamoja na kulazimisha kupendwa kwa kujiita eti ni timu ya wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.