Ni wachezaji wasiojituma, na ninapendekeza mishahara ipunguzwe sana. Hii ngozi nyeusi ukiwapa pesa ndefu wanalewa kiburi; si ajabu hata hawajitumi mazoezi binafsi.
Sent using Jamii Forums...
Naomba mnijuze kama ni kweli kombe la mapinduzi halina kugombea mshindi wa tatu, ratiba haionyeshi pambano la
kutafuta mshindi wa tatu, kama ni hivyo basi Simba na Yanga haziwezi kupambana maana...
Mo hakuwa na dhamira ya kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi baada ya kipigo cha Mtibwa isipokuwa alitaka kupoteza akili za mashabiki kindakindaki wa Simba wanaoamini SIMBA NI...
Hili gazeti letu pendwa matangazo ya freemason yamekuwa mengi,imekuwa kama bango la wale waganga wa jadi na matapeli kuwekea matangazo ya freemason, kila kurasa za kati hadi mwisho hayo matangazo...
FC Barcelona imethibitisha kumuajiri kocha wa zamani wa klabu za Real Betis pamoja na Racing Santander, Quique Setién kuchukua nafasi ya Ernesto Varverde aliyevunja mkataba na klabu hiyo.
Setien...
Huyu kocha wa Simba hana jipya kabisa. Ameharimu mfumo mzuri ulotengenezwa na Uchebe.
Mfumo anaoutumia unamficha Kagere.
Viongozi wa Simba mrudisheni Uchebe. Hivi huyu kocha ataweza kutufanya...
Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
MICHEZO: Dkt Jonas Tiboroha, Meneja wa Simon Msuva, mchezaji wa Taifa Stars, amesema Msuva amejiunga na klabu ya Benifica ya Ureno kwa mkataba wa miaka 3 akitokea klabu ya Difaâ El Jadidi...
Katika Mkutano wa klabu ya simba leo mwekezaji wa klabu hiyo ameeza kuwa haridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu nje ya uwanja. amefafanua kuwa amekuwa mnyonge kuona uwekezaji...
Huyu mdau anasemaje?
Jicho langu: TATIZO LA SIMBA LINAJENGWA NA VIONGOZI
Hakuna anayeweza kubisha kuwa simba ndiyo timu yenye wachezaji bora kwa sasa Afrika Mashariki, Simba inao wachezaji wa...
Muda mfupi baada ya Simba kupoteza fainali ya kombe la mapinduzi dhidi ya Mtibwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba ametangaza kujiuzulu katika nafasi hiyo na kubaki kuwa mwekezaji tu...
La Parka: Afariki baada ya kuanguka wakati wa pambano
Nguli wa mieleka, anayeitwa Jesús Alfonso Huerta Escoboza, maarufu kama La Parka amefariki baada ya kunguka katika uwanja wa mieleka
La...
ALISHTUKIA MAPEMA
Alipoulizwa amechukuliaje uamuzi wa
kufutwa kazi, Aussems alisema; “Ni
muda mrefu nilikuwa najua tutafikia
hatua hii kati yangu na Simba. Ni
muda mrefu walikuwa wanataka
kukata...
Nchi hii imejaa waandishi wa habari na watangazaji uchwara sana wakiongozwa na huyu shafii pamoja na osca osca yaani vichwani watupu kabisa, unaweza ukajiuliza hawa jamaa wanauwezo gani wa...
Ni sahihi kwamba msemaji wa club ya Yanga bwana Antonio Nugaz hana hadhi ya kujadiliwa humu JF. Ila pale inapobidi ni lazima kufanya hivyo.
Binafsi nimekuwa nikimpuuza na kauli zake za hovyo na...
Wakala wa James kotei ameikatalia club ya kaizar chief kumtoa kotei kwa mkopo kwenda yanga
Awali uongozi wa yanga kwa kushilikiana na mdhamini wao GSM walikubaliana na kaizer chiefs kumtoa nyota...
Wakuu huu ni ukweli na ukweli lazma usemwe, Winga machachari wa Yanga na Taifa Stars anakwea pipa kwenda kucheza soka huko nchini Morocco. Sioni ni jinsi gani Msuva anaweza akumudu kumaliza miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.