Leo ilikuwa ni fainali ya Kombe la Mapinduzi. Mlijiamini kwa asilimia 100 kuwa kombe mnalibeba mkasahau kuwa mpira ni dakika tisini. Poleni sana. Binafsi naona kuwa mlifanya uamuzi usio wa busara...
Hakika ngozi nyeusi ni nyeusi hata uifanyie jema gani. Wachezaji wa Simba ndio wanaoongoza kulipwa pesa nyingi na uongozi wa klabu ya Simba kuliko klabu yoyote Tanzania.
Kutokana na kulipwa huko...
Na *MÖÑTÉLO 10*
Ni Jambo la heri kuendelea kuwa hai mpaka sasa tuko mwanzoni kabisa mwa karne nyingine dunia Nayo haiko nyuma kuacha kujizungusha katika mhimili wake.
Maisha yanaenda kasi sana...
Nimekuta mjadala sehemu moja hawa vijana wanaotamama wasafi TV wakimsifu role modal wao kwamba anataka kuinunua yanga na kwamba hizo pesa wanazonunua wachezaji ni sehemu ya pesa aliyotoa.
Naomba...
Serikali ya Naijeria imethubutu kwa kutoa tamko kwamba wanakwenda kutoa ruhusa kwa makampuni ya vizimbuzi nchini humo kuwa na haki ya kumili ki maudhui ya urushaji Epl na Uefa na si DStv pekee...
Aman iwe nanyi wakuu
Kuna shabiki wa simba anahojiwa na azam tv mda huu kuelekea mchezo wa simba na azam
Aisee huyu ni bingwa wa mambumbu
Ni mbumbumbu namba moja
Hakika aden lage hakukosea...
Miongoni mwa visa wa watani wa Jadi ni kuchuana kunasa saini za wachezaji wanaotamba kwenye vilabu mbalimbali nje na ndani ya Tanzania. Kuna wachezaji kadhaa ambao walilipiwa ticket za Ndege...
Kamwene wadau wangu wangu wa JF.
Kuna riwaya moja ipo pale Form Five na Six inaitwa Vuta N'kuvute ebhana ni moja ya love story iliyojaa ufundi mkubwa sana wa sanaa ya uandishi. Kwa wale walosoma...
Mshambuliaji wa kimataifa wa taifa Stars na KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta yumo kwenye orodha ya wachezaji wanaotakiwa kusajiliwa na timu ya Middlesbrough ya Uingereza mwezi ujao.
Meneja wa...
Klabu ya Yanga ikifanya kazi karibu na mdhamini wake GSM imemtangaza kocha Luc Eymail kuwa kucha mkuu atakaechukua mikoba ya mwinyi Zahera
Luc anauzoefu na soka la Africa na akiwa ametwaa mataji...
Hii mechi ya jana kwa ile penati yenye utata vile.
1. Ingekuwa imetolewa upande wa Yanga ungeshuhudia viti vyote uwanjani vinavyong'olewa. Hapo ndiyo utashuhudia mashabiki wa Yanga ni...
Mulumba Ndaye akiwa ameshika jezi ya zamani ya timu ya taifa ya Zaire pamoja na Abed Pele kushoto na Danny Jordan kulia mwaka 2010
Mchezaji Mpira wa DR Congo Mulumba Ndaye amefariki dunia huko...
Huyu mwamba alikuwa anaujua sana hasa anapocheza dimba la chini. Alicheza vizuri sana, cha kushangaza aliondoka baada ya msimu mmoja tu, je nini sababu iliyomfanya Mzimbabwe yule kukaa kwa muda...
Mechi hii iliyofanyika Jumamosi ilikuwa na matukio mengi ya uwanjani na nje ya uwanja lakini wakati washabiki wengi wakijikita kwenye mjadala wa penati ya Kagere kama ni halali au siyo halali na...
Yanga wakati wa kumuuza Msuva 2017 Difaa El Jadida walishauriwa na meneja wa Msuva wamuuze dola 80,000 (Tsh mil 180) ili waweke kipengele cha kupata mgao akiuzwa kwingine (Benfica) ila walikataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.