Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kabla ya hii Derby ya Kariakoo nilikuwa nikifuatilia kwa karibu sana aina ya uchambuzi uliokuwa ukifanya Kati ya Wasafi FM na ndugu zetu waliokwisha poteana Kwenye tasnia nzima ya habari yaani...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Kitendo cha Ramadhani Singano kusajiliwa TP Mazembe baada ya kutemwa na Azam Fc, wengi wameshtushwa na usajili huo. Kuna wanaoamini kuwa TP Mazembe imefulia. Haina tena nguvu ya pesa kama miaka...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Hakika nawapongeza sana wachezaji wa Yanga kwa kupambana kwa jasho na damu kwanu muziki wa Mabingwa wa Nchi sio wa Kitoto.Pia wamewanusuru Viongozi wao kutimuliwa Uongozini endapo wangepata...
2 Reactions
69 Replies
6K Views
Ukipata nafasi ya kuzungumzia masuala la ya soka la tanzania na aliyekuwa golikipa wa timu ya Simba na Taifa stars, Mohamed Mwameja, ni lazma akusimulie kisa hiki. Miaka ya tisini enzi hizo...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Kakolanya ni mzuri kuliko Manula,goli la kwanza alikuwa alishatoka golini na ndo magoli ya mbali anayofungwa siku zote. Sent using Jamii Forums mobile app
21 Reactions
65 Replies
6K Views
Uongozi wa Yanga umemsimamisha kazi mpiga picha wao Chicharito,uongozi huo umemsimamisha huyo mpiga picha wao jioni ya leo baada ya kuingia kambini kupiga picha bila idhini ya uongozi...
3 Reactions
66 Replies
10K Views
Kama kichwa kinavyojieleza japo muelezeaji ni mimi. Nimekaa chini nkatafakari na kupiga hesabu ya faida nilioingiza na niliopata nimebaki nmejiinamia tu,nasema hivi sirudii tena Dem wangu akija...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Asee sijui kwanini mi nilikuaga sijui kama mtu unaweza hama timu uliyoishabikia tangu utotoni na kuiacha ukubwani,Mi shabiki wa manu wayback sana ila tangu mwaka juzi nimejikuta nahamia Liverpool...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais kipenzi cha watanzania wanyonge wapenda haki kama wewe Mh hatuna imani na uongozi wote wa TFF Nchi hii tumeshazoea mpira mashabiki tupo aina mbili Simba au Yanga Leo TFF wapo kama ukoo wote...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mambo 10 nilioyaona Simba Vs Yanga Cc @ALIKAMWE 1: WHAT A GAME[emoji119] CLASSIC [emoji119] One of the best perfomance kwenye 'derby' ya Dar es Salaam. Viingilio vimeenda kihalali 2: Yanga...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Huyu dogo sijui alikuwa kituo gani kabla ya kwenda Wasafi Radio. Ananikosha sana katika uchambuzi wake. Haegemei popote, hafuati hisia za watu. Tofauti na wachambuzi wengine hana ubaguzi,hana...
3 Reactions
15 Replies
7K Views
Hey!!! Walinzi walizingua kumruhusu yule shabiki wa yanga kuingia katikati ya uwanja ndipo mpira ulianza kubadilika,Yule shabiki ndo aliingiza uchawi pale uwanjani ndipo mpira ulianza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yule mtoto kutoka kitaa chenye mishe mishe zake ndani ya Dar Es Salaam, Manzese pale kwa Madee Ali, pale ambapo Richard Mabala alipafanya setting ya kitabu chake cha 'Hawa the Bus Driver' ndipo...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Alex Furguson alipopewa ukocha wa Man United alisema lengo lake la kwanza ni kuumaliza utawala wa Liverpool kwenye soka la uingereza na kweli mzee alifanikiwa kwa kutumia kila njia za ndani uwanja...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
HAYO NDIO MATOKEO HALISI MSIENDE MKAWAZA VINGINEVYO NA KUUMIZA MIOYO YENU FT 1-1/2-2 HARUNA N KAMA ATACHEXA ATAFUNGA UPANDE WA SIMBA ANAISHIA NA HATA SHATTA .HUYU NAE ATAFUNGA GOLI SO FAR
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, kuendelea kutimua vumbi leo December 28, 2019 ambapo KMC FC Kino Boys, kukinukisha na Mabingwa wa Nchi, Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni...
10 Reactions
116 Replies
13K Views
Fundi kabisa @EmmanuelOkwi ametimiza miaka 27. Jiungeni nami tumpongeze Msakataka kabumbu huyu.
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Shilingi imeganda huku watu wakifanya comeback ya mwaka mpya. Je Nani kalala na viata kati photocopy barcelona vs butua fc.? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya mashabiki wa Yanga kutua Dar kwa kutumia baiskeli wakitokea Mtwara, na mwingine akitokea Kigoma kwa pikipiki, Kali kuliko zote ilikuwa leo asubuhi baada mashabiki 13 wa klabu ya Yanga...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom