Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Si kawaida yao kuwa kimya kiasi hiki bila tambo wala majigambo kuelekea mechi yao dhidi ya wababe wao Simba. Hawa jamaa ni lazima wako kwenye maombi mazito ya kimya kimya wakiomba kesho dau lao...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
AARON WAN-BISSAKA NA TRENT ALEXANDER-ARNOLD KILA MTU BORA KWA NAMNA YAKE ILA KUNA NAFASI YA MMOJA KUWA MKUBWA ZAIDI: Aaron Wan-Bissaka ameacha maswali mengi akiangaliwa na Trent...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
UCHAMBUZI KUELEKEA DERBY YA KARIAKOO ________________________________ Waliouzungumza wamezungumza, waliotamba wametamba sana na waliochambua bado tunachambua maana heshima ya mpira ni baada ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar, Siku chache tulisikia uongozi wa yanga ukimsimamisha meneja wao .Dismas ten kwa kile kilichodaiwa kuwavalisha wachezaj a bech la ufund jezi zisizotakiwa Jana tena tukasikia wamemsimamisha...
1 Reactions
3 Replies
682 Views
Dogo wa Simba anakula mitama, kama sio refa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Changamoto imekuwa kubwa, ni jinsi ya kuikabili Simba. Wengine wakitoa hoja kuwa usajili mpya umewaimarisha hivyo wafunguke, lakini wale wanaosema kupaki basi ndio suluhisho la kuiepuka aibu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwanadada mrembo aitwae Salma mkazi wa Temeke wakati akihojiwa na Dauda Tv akaulizwa mchezaji gani anampenda wa Simba akasema Kagere na akaongezea Kama alifunga goal dhidi ya Yanga anioe bure bila...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
hohohohoho woyooooo gongowazi,vyuuuuraaaaaaaaa :D:D:D:D:D:D:)
4 Reactions
29 Replies
7K Views
Kuelekea mechi ya watani wa jadi simba na yanga karibu kuweka ubashiri wako hapa Simba iliyo na kikosi imara kilicho bora kila idara itawakaribisha yanga ambao wamekuwa wakipata matokeo ya...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Mechi ya watani wa jadi ni mechi ambayo ndo mechi kubwa katika soka la Tanzania. Rai yangu kwa viongozi hii ndo mechi ambayo club mwenyeji unaweza ukafanya biashara. Hii mechi ni kubwa kibiashara...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Everybody say yeeeeeeehhhh breaking news la motomoto lina one hour tu, simba sc team ya 16 kwa ubora Africa ipo ndani ya game la PES 2020 Africa zipo teams za maana 51 tu, vigogo vya Africa only...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wale wadau wa michezo hasa tennis. Kama mjuavyo hivi karibuni, jumamosi kulikuwa na fainali ya grand slam ya Marekani, US OPEN. Bingwa aliibuka ni bidada toka Japan kwa jina la Naomi...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Hello Hello..... Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League kuendelea kuvurumishwa leo December 31, 2019 kunako Uwanja wa Taifa, ambapo Mabingwa wa Nchi Simba SC Mnyama Mkali Mwituni...
7 Reactions
80 Replies
9K Views
Habari wana jamvi, Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji. Alianza...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwaka Huu arsenal asiposhuka daraja wamshukuru Mungu naona kabisa kwa style playing yao nirahisi Sana kufungwa na Man u labda tu wabadilishe aina yao ya uchezaji ukiachana na Hilo beki yao ni...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
====== KLABU ya Simba rasmi imeachana na Mshambuliaji raia wa Brazil Wilker Da Silva kwa kutoridhishwa na kiwango chake. Hayo yamebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, katika...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mourinho ameishiwa mbinu anaangalizia hadi mbinu za makocha wenzie. [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu ni kiungo mkabaji wa klabu cha kandanda cha simba .Alivyokuja kwenye ardhi ya tanzania alionekana sio chochote lakini kwa miezi 5 aliecheza baadhi ya wanamsimbazi wamemsahau kiungo wao...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Optajoe jamaa wa takwimu wameshaachia takwimu zao kwa miaka 10 (2010-2019) guesswhat Lionell Messi kafunga zaidi, katoa assist zaidi, katake-on zaidi na katoa accurate end passes zaidi lakini...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom