'Unyonge wa Liverpool kwa miaka 30 EPL umefikia kikomo'
28 Disemba 2019
Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii WhatsApp Sambaza habari hii Messenger Mshirikishe mwenzako
Haki miliki ya...
Tukumbushane assists
za ALLY ALLY VS YANGA
1. Yanga vs Stand United ,2018
Shuti toka kwa Yusuf Muhilu ally ally akajifunga ktk harakat za kuokoa mpira
2. KMC VS YANGA ,2019
*ALLY ALLY...
Kwa matokeo wanayopata westham katika ligi kuu ya uingereza ni wazi siku za huyu kocha wa zamani wa man vity Manuel Pellegrini zinahesabika mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana ligi yetu ilichezwa bila ya mdhamini mkuu (Main sponsor). Vila vililalamika sn kwamba kufanya kwao vibaya kulichangiwa na hali ngumu ya kifedha.
Mungu si Athumani msimu huu Vodacom...
HARUNA MOSHI MNYAMWEZI WA TABORA 'SHILLING 10' KWENYE KIOO CHA ZVONMIR BOBAN
.
1987 katikati mwa Tanzania, pale Mboka Manyema kwa Wastaarabu wa Kinyamwezi, pale maskani ya Chief Mirambo, ndipo...
MADA
Mchezaji Akifunga Goli Kisha Akashangilia Kwa Kuvua Jezi Halafu Akapata Kadi Ya Njano Ila Baada Ya Muda Goli Likakataliwa Kwa Sheria Ya VAR,
Je Ile Kadi Ya Njano Inafutwa Au Inabaki...
Muda mchache ujao tutashuhudia pambano la ubingwa (Vacant WBA Lightweight Title) kati ya Mmarekani Gervonta Davis 'Tank' ambaye yupo chini ya TMT ya Mayweather na Mcuba Yuriorkis Gamboa. Rekodi...
"Nilienda ofisini kwenda kufuatilia baadhi ya mambo lakini ndani ya ofisi kulikuwa na TV inayoonyesha mechi ya African Lyon na Jkt mara nikamuona mchezaji mmoja anapiga pass kiufasaha na touch one...
Yule star mwenye miguu ya dhahabu amegonga 26 wanayanga mpo wapi tumpongeze kijana wwtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Boban mwenye ndoto za kucheza soka kimataifa alicheza mchezo wake wa...
MAKOCHA WAZAWA WANAVYOKUBALI KUACHWA NA MUDA KUELEKEA SOKA LA KISASA NA LA KISHINDNI
Tanzania ni moja ya Nchi iliyobarikiwa kuwa na vijana wengi wenye Taranta ya kusakata kabumbu kwa umaridadi...
Habari za Jumamosi Wanamichezo wenzangu
Nimeshangazwa sana na kitendo cha Rais wa TFF kwenda kugombea na hatimaye kuukwaa Urais wa Shirikisho la Vyama Vya Soka kwa nchi za Afrika Mashariki na...
Tutajie mechi iliyokuvutia mwaka huu 2019, tukiwa tunakaribia kuuaga mwaka huu si vibaya tukakumbushana mechi bora ya mpira wa miguu iliyokuvutia inaweza ikawa Tanzania, Africa, EPL, La Liga...
KIUNGO mkabaji chipupizi wa Tanzania, Ally Msengi amesajiliwa na klabu ya Stellenbosch ya Ligi Kuu Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Kinondoni Municipal Council (KMC) ya Dar es...
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu ipi ni ligi bora kati ya la liga na EPL. Niseme kitu kimoja ambacho kinawachanganya watu ni vitu viwili: ushindani na ubora, watu wameshindwa kutofautisha...
Umuofia kwenu.
Habari za weekend ndugu zangu.
Huu ni uzi maalum kabisa kwa wana JF wote wanaopenda na wanaoshiriki Kilimanjaro Marathon.
Mbio zijazo zitafanyika tarehe 01.03.2020.
Mbio hizi...
Kilichotokea uwanja wa Sokoine Mbeya ni matusi, uonevu,kebehi,dharau,na manyanyaso kwa wapenda soka na michezo kwa ujumla.
CCM kwa makusudi huku wakijua kuwa Yanga watacheza mechi kesho...
Wengi wamekuwa wakiwaimba na kuwatukuza akina Mane na Salah pale Liverpool.
Roberto Firmino "Bobby" ana kipaji maridhawa sana, amejaaliwa control ya hali ya juu mno, touch za hatari, bila...
MAESTRO ANDREA PIRLO 'REGISTA' THE FOOTBALL PIANIST VERSION YA LEIFE ANDSNES
.
Unamfahamu mtu mmoja anaetambulika na dunia kama mwenye ubora kwenye piano Kama Leif Ove Andnes, huyu bwana alipewa...
Naaaaaaam! Salaam Tanzania na duniani kote..
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania VPL kuendelea kupigwa leo Desemba 25, 2019 kwenye uwanja wa Uhuru, jijini Dar es salaam ambapo Mabingwa wa Nchi, Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.