Tar 7/12 nilikuwa pub moja nakunywa juice ya Ceres huku naangalia game ya Man City Vs Man U! Most of my guys walikuwa upande wa Man City na bet nyingi walimpa Pep Guadiola. Possession ya City...
Haruna Niyonzima amerejea rasmi Yanga SC akitokea AS Kigali ya nchini Kwao Rwanda, Haruna amecheza soka Tanzania kwa miaka nane mfululizo (2011-2019) na sasa anarejea tena rasmi...
Naaam.
Mwaka 2007,Rio Ferdinand,Ronaldo na Henddrson enzi wakiwa Manchester united d waliulizwa swali hili kwa pamoja[emoji116][emoji116]
Who is the greatest player of all time?.
Rio akajibu ni...
Kama Uzi unavyoleza, Kipind Liverpool inaeleke kucheza final Tot Spur, kipind cha michezo cha saa tatu usku , watangazaji wa michezo walisema KLOPP hana uwezo/bahati kwenye finali, eti walitumia...
Kwa kuangalia wingi wa mashabiki Simba ndio ina mashabiki wengi zaidi ya Yanga.
Kipindi Yanga anafanya vizuri
na kipindi Simba anafanya vizuri. Mechi za Simba mikoani na Dar Es Salaam ndio...
Yanga wamerudia tena mbwembwe zao. Hawataki kuamini wao si matajiri tena. Wamefulia. Yanga hawana uwanja, mishahara ya wachezaji ni tatizo, malipo ya usajiri ni tatizo, hela ya kambi na chakula ni...
Kumekuwa na purukushani kubwa kipindi cha Usajili hasa kwa vilabu vyetu vikubwa Simba na Yanga iwe kwa Wachezaji au Makocha hasa wa Kigeni.Pia tumekuwa tulisikia wachezaji au Makocha wa kigeni...
Baada ya kumfuatilia Sana Samatta akiwa na Timu Ya Taifa nimeamua Kuandika Huu uzii na Kusema kuwa Simon MSUVA ni Bora Zaidiiii Kuliko Samatta Katika Timu ya Taifaa, Bado Samatta hajaonesha...
Dah kwa mechi ile ya jana ya FIFA CLUB WORLD CUP 2019, imeonesha kuwa brazil (america ya kusini) ndiyo kitovu , cha mpira wa kandanda aseee , dah jana nilicheki mpaka mwisho nkajisemea , ULAYA...
Wadau wa soccer njoo hapa tukutane tutoe mawazo yetu yupi ni mtangazaji bora wa mpira ambea huwa unavutiwa kumusikiliza?
10.DAVE FERRAL
9.JP DELLACAMERA
8.ANDRES CANTOR
7.STEVEN BOVER
6.JOHN...
Kocha wa Yanga, Mkongo Mwinyi Zahera amemvua unahodha beki wa kati, Kelvin Yondani 'Vidic' kutokana na utovu wa nidhamu.
Yondani ambaye mwanzoni mwa msimu huu alitangazwa rasmi kuwa nahodha wa...
Urusi imefungiwa miaka 4 kutojihusisha na mchezo wowote duniani, baada ya kupatikana na hatia ya kufanya udanganyifu kuhusu vipimo na maabara juu ya utengenezwaji na matumizi ya dawa za kuongeza...
To be honest as the Young football club greatest fanastics I was worried about my club. Never mind the game between us against our greet opponent's satanic Simba sports clubs.
It's my honour that...
Simba SC ambao ni Mabingwa wa Nchi, leo Desemba 11, 2019, imetangaza Kocha Sven Vander Broeck kuwa kocha mkuu mpya akichukua mikoba ya Patrick Aussems.
Vander Broeck Mbelgiji, amewahi kuifundisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.