Maafisa wa Klabu ya Arsenal wanadaiwa kuwa kwenye mazungumzo na wenzao wa Manchester City kuangalia uwezekano wa kumpata Mikel Arteta kama mrithi wa Unai Emery
Mapema leo, Maafisa hao wa Arsenal...
Kuna baadhi ya vitu hata uwe umzalendo kiasi gani,ila facts zikigoma ujue hamna nanma. Kwa kili Stars mbele ya Uganda Facts zinagoma kila idara. Wachezaji wetu hawafungi,hawamiliki mpira,hawana...
Mimi ni shabiki kindakindaki na mwanachama aliyetukuka wa Simba Sports Club.
Nikiwa kama shabiki na mwanachama wa Club yetu pendwa ningependa kuwa wakala wa kuuza jezi na kugawa kadi mpya za...
Hii ndio Yanga mpya,
Wachezaji wa kigeni wanaokipiga katika club ya Yanga wameshtushwa na utaratibu wa ajabu wa klabu hiyo.
Tarehe 16 mwezi huu mishahara ya wachezaji hao iliingia huku pamoja na...
LEICESTER City wamekuwa kwenye kiwango bora kweli kweli msimu huu na kuwa wapinzani wapya wa Liverpool kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England.
Straika, Jamie Vardy yupo kwenye kiwango bora...
Hii timu inabidi isajili watu wa maana kabisa ikizingatiwa tayari wameruhusiwa kusajili, Lampard hadi sasa alichofaulu ni kuwainua vijana wa uingereza na kuwapa nafasi pia kupiga pasi nyingi...
-Mjumbe wa Baraza la wazee wa klabu ya Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali amemshangaa Mwenyekiti wa baraza la wadhamini wa klabu ya Yanga, George Mkuchika kwa kukiuka katiba ya klabu ya Yanga kuhusu...
Mzee akilimali amezidi kusema kuikodisha Yanga kwa mtu binafsi haifai kwa kuwa Yanga ni taasisi ya watu wengi amesema, pia mkutano wa Yanga ni mkutano wa kihuni kwa kuwa kila kitakachosemwa na...
Mzee Akilimali amedai Yanga ni klabu kubwa na haiwezi kukodishwa kama masufuria ya kwenye shughuli kwa ajili ya kufaidisha mtu mmoja
===============
Habari Zaidi
===============
Siku kadhaa...
Ronaldo being a better goal scorer than Lionel Messi is a myth. Thread:
Most goals in a single season:
Lionel Messi - 73
Cristiano Ronaldo - 61
Messi holds the record for the most goals...
*Maoni ya mchambuzi george ambangile [emoji1541]*
Haaland au Greenwood .
Naona Manchester United wanahusishwa na Erling Haaland ambaye ana miaka 19 wakati tayari kwenye kikosi chao wana Mason...
"Hali yangu mbaya naomba wana Yanga na wapenda michezo wote waniombee, kisukari kinanitesa sana nipo huku Bagamoyo nikijiuguza"
- Mzee Akilimali.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Hali yangu mbaya naomba wana Yanga na wapenda michezo wote waniombee, kisukari kinanitesa sana nipo huku Bagamoyo nikijiuguza"
- Mzee Akilimali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aston Villa have been heavily linked with a move for Glasgow Rangers striker Alfredo Morelos, but doubts remain whether the Ibrox club will offload him in January.
Dean Smith’s side find...
Kwa mujibu wa mtandao wa Global Soccer Award, hiki ndio kikosi bora cha miaka 10 (Muongo/Decade).
Nani amesahaulika, nani atoke? Au unakubaliana na kikosi?
Karibu kwa mjadala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.