Ibrahim Rajab Juma "JEBA" Mchezaji wa Zamani wa AZAM FC, Mtibwa FC na Chuoni FC aliefariki 18-9-2019 Unguja, Zanzibar!
JEBA pia aliwahi kuchezea timu ya Taifa ya Vijana. Jeba aliingia AZAM FC...
Simba imetangaza bajeti ya Sh6.1 bilioni kwa msimu huu 2019/2020 katika kuhakikisha klabu hiyo itatetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kurudi katika Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
Bajeti...
Katika taarifa za kushtusha inatipotiwa kwamba kocha wa Man City Pep Guardiola amekubaliana kwa mdomo kujiunga na Juventus.
Mwandishi wa habari Luigi Guelpa ameiambia radio ya CRC kwamba chanzo...
Sadio Mane (Liverpool star) said that his parents have been telling him pursuit football career was a waste of time, right up until he signed his first contract in 2011 with Metz, before moving to...
Nimeuangalia mchezo wa Kil Stars toka dk ya 12 ya mchezo. Pamoja na mapungufu ya mchezaji mmoja mmoja lakn kocha kaonyesha mapungufu mengi na makubwa ya kimbinu.
1. Timu ilimshinda kuipanga...
EXCLUSIVE: "Nimeandika barua ya kuvunja mkataba na Yanga kwa sababu sijalipwa mishahara yangu kwa muda wa miezi mitatu sasa. Mimi ni raia wa kigeni unategemea nitaishi vipi hapa"-Lamine Moro...
Nadhani yatupasa tusimlaumu wala kumsema vibaya Bondia Selaman Saidi kwa aibu ya Kufungia mwaka aliyotupa Watanzania jana pale nchini Saudi Arabia bali badala yake nadhani Watanzania wote hasa kwa...
Huyu jamaa toka day 1 alipochaguliwa kuwa m/kiti wa timu alishashindwa vibaya. Siku ya kwanza tu kuanza kazi aligeuka kocha kwenye vyumba vya kuvalia nguo huko Samora ambapo Yanga ilichezea...
Wakuu, nasikitika sana kuona jinsi hao mabondia Wabongo (kweli mimi nawaita panya road) wanavyogongwa knock out nyepesi tu. Hivi wametoka wapi hawa? Huyo wa pili karibu afe ulingoni round ya...
[emoji1211] Sadio Mané has built a school in his local village in Senegal at a cost of €270,000.
[emoji541] He has also built a hospital and financed a stadium for the people.
[emoji122]Mane...
Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji...
KIKOSI CHA MWISHO CHA KILIMANJARO STARS
Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ limetaja orodha ya mwisho ya wachezaji 22 wanaoondoka kuelekea nchini Uganda...
Bondia Antony Joshua amefanikiwa kumshinda kwa points hasimu wake mkubwa Andy Ruiz Jr na kufanikiwa kutwaa mikanda iliyokuwa ikishikiliwa na Ruiz.
AJ alikuwa akipigana kwa tahadhari kubwa.
This folk is so talented.
Nashangaa kwanini yupo team ndogo kama Crystal Palace, kwanini walau asiwe hata Arsenal.
Akiwa na mpira una enjoy kumtizama, anajiamini, ana skills za kutosha, ana...
Salaam nyingi zikufikie hapo ulipo na Pole na majukumu yako ya kitaifa.
Napenda kukuomba uwaulize watu wa Boxing, hivi wale mabondia watanzania walio pambana Jana kwenye pambano la Antony Joshua...
Habari zilizopo ni kwamba mshambuliaji wa Yanga Sidney ameandika barua ya kuomba kuvunjwa kwa mkataba wake.
Leo pia striker Molinga ameomba kujitoa Yanga kutokana na kutolipwa mishahara kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.