Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Unapoona kitambaa cha Unahodha akilini mwako huwa anakujia mchezaji gani? Au ni kepteni gani ambaye huwa unamuona ni bora sana kwa muda wote? Jinsi anavyohamasisha wenzake na anavyopambana kufia...
5 Reactions
109 Replies
9K Views
This man is boaring he brings jokes all the time Every times comes with an excuse I have watching Epl for more than 19 years sijawahi kuona kocha mpumbavu kama Huyu He doesn't have gentleman...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Timu zote 20 za Ligi Kuu ya England, EPL, Novemba 30 mwaka huu zitaungana katika harakati za kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na usagaji. Katika kufanya hivyo, wachezaji wote...
4 Reactions
100 Replies
17K Views
Kwa miaka kadhaa sasa ifikipo saa tatu usiku nipo nyumbani nikisikiliza Sports Extra Ya Clouds FM ila kwa siku za karibuni nimeanza kupoteza ladha na kipindi hiki kutokana na mpangilio mbaya wa...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Hakika sikio la kufa halisikii dawa, Tanzania bado ni kichwa cha mwendawazimu.Ukweli ulio wazo viwango vya Makocha wetu wazawa ni mdogo sana kwani January mpaka Desemba tupo nao hapa hapa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hapa sio kuingilia kazi ya kocha kweli?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mpiga kabumbu wa timu za Paris Saint-Germain na Senegal, Idrissa Gueye amesema nyota wa Liverpool Sadio Mane alistahili kumaliza katika tatu bora kwenye tuzo za Ballon d'Or. Kiungo huyo anaamini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars', Ettiene Ndayiragije amewaita wachezaji 32 kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Chalenji yatakayofanyika Uganda. Mashindano...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hizi ni miongoni mwa mechi zilitoa matokeo ya simanzi kwa timu pinzani. Kila timu iliyoshinda mechi hizi ilipata mafanikio katika msimu huo, mfano Ujerumani iliitwanga Brazil na ikaenda kubeba...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi atasemaje kuwa Rashid Matumla si Bondia chochote na lolote na kwamba hajawahi Kufanya Jambo Kubwa Tanzania wakati Kirekodi inajulikana kwamba Rashid Matumla ni Bondia mwenye Mafanikio Makubwa...
34 Reactions
147 Replies
17K Views
Unataka ufanye usajili wa straika mmoja tu, sokoni wapo wawili Rashford na Abraham, wewe ungemsajili nani?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Siku mbili tatu kuliibuka mijadala mtandaoni kama Instagram FB Twitter na mitaani kuhusu kijana Mwakinyo kumwambia Matumla kuwa hana alipofika kutokana na kile alichokisema kama mchambuzi siku ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
1) De Gea[emoji736] (Remero)[emoji736] 2) Wan Bisaka[emoji736] (Dalot) 3) Shaw[emoji736] ([emoji777]) 4) Maguire[emoji736] ([emoji777]) 5) Lindalof[emoji736] ([emoji777]) 6) Mctomy[emoji736]...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Natoa hoja kuwa Vyama vya mpira vya nchi za East African Community vipeleke bid yao ya kuandaa mashindano ya FIFA World Cup 2030. Hiyo ni miaka 12 ijayo, ikiwa ni miaka 20 baada ya mashindano hayo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwanza kafukuzwa Zahera,mara Upande wa pili nao wamemfukuza Patric mwalimu aliyeipeleka simba ktk hatua ya fainali za klabu bingwa afrika katika historia baada ya miaka mingi..leo ati anaambiwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wazee, Nimechunguza kwa muda mrefu sana nikagundua kwamba hii kauli au msemo unaukweli kwa asilimia kubwa sana. Na sijajua ni kwanini hii kauli inatimia kwa urahisi sana kwa wenye nacho...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Uhondo wa patashika ya ligi kuu Tanzania, Vodacom Primier League VPL, umeendelea tena leo Desemba 2, 2019 kwa viwanja viwili kutimua vumbi, ambapo Biashara United wakiwa kwenye uwanja wa Karume...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni hivi, wiki tatu zilizopita Jamaa mmoja anaitwa SEMPAY Dadi kama nimekosea hapo kwenye Sempai nirekebisheni, alituanzishia mazoezi, Tatizo ni kwamba aina yenyewe ya mazoezi ni kana kwamba...
7 Reactions
71 Replies
13K Views
Kwa sababu pambano limeingizwa siasa nyingi. Halafu limefanywa kama vile tayari Mwakinyo alishashinda, yaani haijakaa vizuri. Ngumi zina tabia ya kushangaza watu. Mnakumbuka mashabiki wa Anthony...
6 Reactions
580 Replies
49K Views
Siandiki hapa kusema kama Bondia wetu wa Tanzania Hassan Mwakinyo alishinda kwa haki au la kama mijadala iliyofuata pambano lake inavyorindima.Nilitazama na kusikia pambano lake pamoja na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom