Karibuni wanajukwaa tujadili kwa hali na mwenendo wa vpl unazani ni nan atabaki top four nakufuzu international tournaments at end of season? Itapendeza ukaweka na bottom four zitakazo regulate...
Haji Manara anajitapa,mashabiki wanajitapa,viongozi wanajitapa kwamba Simba ni klabu kubwa. Hv ukubwa Simba uko wapi labda wenzangu mnisaidie.Yaani kufika robo fainali Caf champions ligi baada ya...
Makaka wawili mashababi waliweka rekodi ya dunia mnamo Disemba 22 mwaka 2016 baada ya kupanda jumla ya ngazi 90 mmoja akiwa kichwa chini miguu juu kichwani mwa mwenzie.
Makaka hao, Giang Quoc...
Licha ya kufukuzwa kazi Aussem hajalalama na kuzunguka kwenye vyombo vya habari ingawa inadhihirika kuwa hakuwaleta wabrazil na makosa si yake maana hawakuwa na mchango kwenye Championi League...
Habari ya leo,
Humu ndani kuna mada mbalimbali za mipira, siasa, mapenzi, utani na nk. Bahati mbaya sisi wapenzi wa mieleka kutoka kona za dunia hii hatuna jukwaa letu.
Naomba tukutane hapa...
Kama nilivyokwisha kusema hapo juu, mwenye uelewa wa gym ya kawaida tu ambayo ina dips bars,pull ups bars na vifaa vingine kwa ajili ya weight na strength exercises ambayo bei yake haizidi 3000...
Yanga na Simba huwa wanacheza huku wamevaa jezi za SportPesa na wanaonyesha mechi zao zote. Ligi ya Spain na Uingereza kuna timu kibao zinavaa jezi zilizodhaminiwa na makampuni ya betting na bado...
Miaka ya 1970 pale Amsterdam Uholanzi, alikuwepo binadamu mmoja wakuitwa Rinus Michels, binadamu huyu alituletea kitu kipya kwenye soka
.
Michels kama kocha hakutaka mchezaji wa namba moja pekee...
Unalikumbuka lile chama la Naples, pale kwa watu wa soka nchini Italia? SSC Napoli ilikuwa hatari chini ya mfanyakazi wa benki ambaye pia ni mzaliwa wa Naples, Sarri.
.
Soka lake lilitambulika...
Nimerudia Kiumakini kabisa na taratibu Kuangalia Mkanda mzima wa Pambano na Bondia Mtanzania Mwakinyo na Mfilipino na Kugundua ya kwamba Bondia Mwakinyo alizidiwa Alama ( Points ) Nne ( 4 ) zaidi...
Klabu ya Simba imemfuta kazi Kocha Mkuu, Patrick Aussems. Uamuzi huo umefikiwa na bodi ya klabu hiyo baada ya kikao chake.Uchebe amethibitisha kupitia ukurasa wake wa Twitter
Pia,Mbeya city...
Nachukua Nafasi Hii Kuipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya jemedari wetu Rais Magufuli kwa Kumlea Vizuri Mwakinyo na Kumtengenezea Mazingira Mazuri ya Ushindi Leo hakika mwakinyo umeiletea...
Dah kama shabiki kindaki ndaki wa Germany na ligi ya Bundersliga. Napenda kusema kwamba hili kundi letu ni nina sana tulilopo but tutashinda tuna vijana wengi Sana wabichi wenye vipaji hatari...
Kwa nyakati fulani, hawa walikuwa mastraika tegemeo kwenye vilabu vyao. Didier Drogba "The African James Bond" akiwa tegemeo kubwa pale Chelsea ilhali Wayne Rooney "Wazza" a.k.a "The White Pele"...
Live hapa kutoka uwanja wa taifa mabondia Hassan Mwakinyo na Arnel Tinampay wanavuliwa gloves zao zenye rangi nyeupe nakuvishwa zenye rangi ya bendera ya taifa la yeye mbarikiwa mtukufu alietukuka...
Katika hali ya kushangaza wale madada waliokuwa wanatangaza round eti walivaa vipedo,hali ile ilimsikitisha kila mtu hata kumfanya Mwakinyo kuchelewa kumaliza mpambano.
Mwakyembe nilimuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.