Haiwezekani timu kali kama hiyo inafungwa na vile vizee vya Bayern Munich , how comes ?
Huyu kocha hana uwezo wa kufundisha timu kubwa wala hajui kwanini yuko PSG .
Aman iwe nanyi wakuu
Kuanzia leo sitarudia tena kuzibetia hizi team mbili za kwa malikia yaan arsenal na man u
Hizi team zimekuwa ni team za hovyo hovyo sana wachezaji wake wanacheza kama...
Kufatia kusuasua kwa Viungo wakabaji kama Wanyama, Nemanja Matic na Kante kumetoa nafasi kwa Mnigeria Wilfred Ndidi msimu huu kuwa katika fomu nzuri huku akiwapita kwa mbali sana wakabaji...
Kipa wa Chivas Guadalajara Antonio Rodriguez afunga goli kutoka katika goli lake wakati timu yake ilipoibuka mshindi kwa magoli 3-1 dhidi ya klabu ya Veracruz katika ligi ya MX nchini Mexico.
Hivi TFF, chama cha siasa CCM, Wizara ya Habari, Michezo na Sanaa, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Utalii + Wizara ya Sayansi na Teknolojia. Salamu zifike kwenu kwa wingi sana.
Sasa wazo langu kwa...
Nov 29 Mwakinyo Fight Night, Do or Die Friday 2am. Main Stand Uhuru Stadium Temeke. Dar es Salaam, Tanzania
NB: Boxing ndio mchezo pekee ambao Watanzania huwa wanaumudu, hivyo ipo haja ya mchezo...
Binafsi niwapongeze kwa dhati viongozi wa timu ya kagera sugar kwa uaminifu mkubwa waliounyesha kwa kocha wao mecky mexime, pamoja na timu kutofanya vizuri mwaka jana hadi kunusurika kushuka...
Maisha yanaenda kasi sana, juzi tu hapa tumetoka kumskia Wesley Sneidjer akisema anaamini kwamba angeweza kutajwa katika daraja moja na Cristiano Ronaldo pamoja na Lionel Messi kama angekuwa...
Medie Kagere ametajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ngazi ya Vilabu 2019 (African Interclubs Player of the Year).
Emmanuel...
Mchezaji wa Mkali wa hockey wa Uingereza Sam Ward ambaye amepata ajali mbaya asema bado yupo kwenye game, na anatarajia kukaa vizuri ifikapo mwaka 2020 na kurudi mchezoni.
"Tukio lisilokuwa la...
Baada ya mapumziko ya siku tatu, kikosi cha Simba leo kimerejea mazoezini kuendelea na maandalizi ya michezo ya ligi inayofuata
Simba imejifua bila ya kocha wake Mkuu Patrick Aussems ambaye...
Emanuel Augustus/Emanuel Burton A.K.A Drunken Master amezaliwa January 2, 1975 Brownsville Marekani. Alianza mapambano kama professional boxer miaka ya 1990 hadi mwaka 2011. Huyu mtu hakupata...
Kama tunavojua kwa misimu yote ya nyuma, LFC hawana pumzi ya mbio za marathon, wataishia njiani! Majeruhi kwa Mo Salah, Mane na Firmino ubingwa kwaheri!
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemtaja mshambuliaji wa Simba SC Meddie Kagere, pamoja na mshambuliaji Emmanuel Okwi, ambaye msimu uliopita alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC na kupata...
Bondia kutoka nchini Ufilipino Arnel Tinampay amewasili nchini Tanzania akiwa na daktari wake pamoja na mpishi wake tayari kwa ajili ya pambano litakolopigwa Novemba 29 mwaka huu katika uwanja wa...
Leo kutawakutanisha team ya man city vs Chelsea na inategemewa itakuwa game nzuri. tuanze kuona strength na weakness za Kila timu.
Strength ya Chelsea
Bahati nzuri kwa Chelsea leo trio...
Kesho alfajiri tutashuhudia pambano kubwa la uzito wa juu kati ya Deontay Wilder 'The Bronze Bomber' na Luis Ortiz 'KingKong', hili ni pambano la marudiano baada ya lile la awali liliyofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.