Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya kurudia kuangalia hizi highlights nimejiridhisha pasi na shaka kwamba Mwakinyo ameshinda, kapiga point nyingi kuliko mpinzani wake japo kwa jicho la mtu asiyejua sheria za ngumi na how to...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Jana usiku muda wa saa nne kulikuwa na pambano ya ngumi kati ya Mwakinyo na Mfilipino. Mimi niliushuhudia pambano hilo tangu mwanzo mpaka mwisho. Kwa maoni yangu bila kupepesa macho Mwakinyo...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kazi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal imefikia kikomo, ikiwa ni miezi 18 tu tangu kuchukuwa mikoba hiyo kama mrithi wa Arsene Wenger. Kuondoka kwa Mhispania huyo kumehibitishwa Ijumaa, ikiwa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau mwenendo wa timu na mbinu za kocha wa united kwasasa ni tia maji tia maji tu, ni fursa kumchukua Pichetino kwa mtazamo wangu.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Pambano la jana kati ya Mwakinyo na mfilipino baada ya kuisha. Watanzania wengi tumejitahidi kuelezea hisia zetu juu ya hili pambano. Na nimesikitika kuona watanzania wengi wanalalamika kuwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni mwishoni mwa Wiki iliyopita tu GENTAMYCINE nilianzisha Uzi hapa wa ' Kukasirishwa ' na Kitendo cha Kocha wa Taifa Stars pamoja na TFF yake Kutomjumuisha Kikosini Kipa ' mahiri ' na Tanzania One...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Sijaangalia pambano na sina hobby na mchezo wa ngumi. Lakini naona kuna utata ushindi wa Mwakinyo. Mnataka kusema ule mchezo wa kununua mechi ulihamia kwenye pambano hilo?
1 Reactions
1 Replies
884 Views
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu Tukiacha tu utan aliyekuwa nyota wa Chelsea na sasa kocha wao frank lampard ni bonge la kocha Kwanza hana mchezaji tegemeo wa kuweza amua matokeo kama team...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
ORTHODOX AND SOUTHPAW Kwenye ndondi, usimamaji wako huweza kuelezea aina yako ya mchezo. Kwenye ndondi watu hawasimami Kama askari, mguu sawa, au mguu upande. Ndondi mtu husimama akitumia akili...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Huyo mchezaji yupo km MTU asiyejitambua kabisa Huwa akicheza timu ya Taifa akiguswa kidogo anajiangusha. Muda akiinuka anacheka eti sujui huwa anajiona nani wakati mpira wenyewe anacheza wa...
5 Reactions
94 Replies
8K Views
Wadau naomba kujua muda hili pambano la bondia Mwakinyo v/s Mfilipino litapigwa saa ngapi hapo kesho?
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Licha ya kelele alizopigiwa hapa nyumbani jana tena kadhihirisha kuwa yeye ni mfungaji baada ya kutikisa tena nyavu za ligi bora na kubwa duniani na ulaya na kumfunika hata Cr 7 kwenye ufungaji...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Kiosk can time ya soka ya Tanzania bara kimetajwa
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Samuel Eto'o Staa wa zamani wa vilabu vya Barcelona, Inter Milan na Chelsea, Samuel Eto'o baada ya kutangaza kustaafu kucheza soka mwezi Septemba amefichua mipango yake ya kwenda kusoma Harvad! ...
10 Reactions
18 Replies
3K Views
Siku moja katika mwaka 1964 nikiwa Prague, Jamhuri ya Czech, nikisomea uandishi wa habari niliingia hoteli moja ndogo kando kando ya mto Danube. Nikiwa ninafurahia chakula ghafla watu walisimama...
0 Reactions
3 Replies
958 Views
Arsenal have sacked head coach Unai Emery after the club's worst run of results since 1992. Former Arsenal winger Freddie Ljungberg steps in as interim head coach Arsenal are without a...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wazee wa mikeka pengine ni moja kati ya watu wavumilivu sana maana inaweza tokea umebakiza mechi chache ujione milionea mwisho wa siku inabaki kuwa ndoto, Pamoja na hayo huwezi kuliwa kila siku...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Hii ni baada ya Timu yake kuchapwa na Leicester City Namtakia safari njema
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika viwango vipya vya soka vilivyotolewa na FIFA leo vinaonesha kuwa Tanzania imeshuka nafasi moja katika hivyo na kufikia nafasi ya 134, kutoka 133. Aidha, Kenya imepanda nafasi mbili na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom