Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mshambuaji wa Kimataifa wa Tanzania Thomas Ulimwengu, amekamilisha usajili wa kujiunga na timu ya Al Hilal ya Sudan kwa mkataba wa mwaka mmoja. Wakala wa mchezaji huyo Jamal Kisongo amesema...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Huyu jamaa ni overrated. Binafsi sijawahi kumuelewa Thomas Ulimwengu na aina yake ya uchezaji. Miaka nenda rudi, Ulimwengu ana uhakika wa kuitwa na kucheza timu ya Taifa ya Tanzania. Je ni kipi...
3 Reactions
45 Replies
7K Views
Alfu na team ya vijana wake wa basketball Patriots ni shida wametandika team zote.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni kutokana na uwanja kuwa na matope pamoja na uchafu uliosababishwa na tamasha la mziki usiku wa kuamkia leo Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Kloop hajui kucheza na timu zinazocheza samba Klop huwezi kuchukua hili kombe Gengenpress yake hufanya kazi kwa timu zinazocheza soka za kujilinda Flamingo itamtafuna jogoo wa uingereza kwa...
3 Reactions
117 Replies
11K Views
Wakuu, hawa jamaa wamekazana kutulisha uongo kuwa ligi bora duniani eti ni EPL. Vigezo vingi tu vya uhalisia dhidi ya uongo wa Clouds, nakumbuka hata aliyekuwa rais wa FIFA SB alitamka wazi kuwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo tunae [emoji117] Alvaro Recoba Anaitwa Alvaro Alexander Recoba Rivero alizaliwa mwaka 1976 huko Montivedo Uruguay. Jina lake la utani lilikuwa "El Chino" likiwa na maana ya mchina, hii ni...
2 Reactions
3 Replies
797 Views
Jana bondia Anthony Joshua alichapwa katika pambano la ndondi ambalo halikupata uzito mkubwa kutokana na fainali ya UCL. Leo hebu tujikumbushie mapambano ya ngumi yaliyotamba miaka ya nyuma...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wengi walipoona GSM akifanya usajili wa dirisha dogo walizani neema imerudi Yanga na ni mwendo wa shangwe km lote. Nilipomsikiliza Nugaz akihojiwa wasafi Radio kwenye Sport Arena nilithibitisha...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
FERNANDINHO KATIKA NAFASI YA BEKI ANA FAIDA GANI NA HASARA GANI ! Pep si mara ya kwanza kumchezesha kiungo wake katika nafasi ya ulinzi hii ni mbinu ambayo wengi humulikia hasara zaidi ya...
1 Reactions
3 Replies
890 Views
Mimi ni mwana yanga . Ila nasikitika viongozi benchi la ufundi wamekalia kulalamika kuonewa. 1. Yanga mechi ya kmc waliwaacha vijana wa zanzibar bila sababu yoyote hatimae tukambulia droo. Jana...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
mpira sio burudani tu, ni ajira yenye maslahi kiuchumi. Kijana wetu kafanikiwa kutinga huko ulaya na kweli anatoa burudani safi ila tatizo ni hapa kwenye maslahi. Wengi wakisikia analipwa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwa uonevu huu wa TFF kutumia waamuzi kuikwamisha yanga uongozi usipeleke timu mapinduzi cup ili kilio hicho kifike serikalini. Huu ni mwaka wa tatu tunaonewa na waamuzi Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Sisi huku tuna msemo wetu: Mchonga mwiko hukimbiza mkono wake! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Kiungo wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Rwanda ndugu Haruna Niyonzima amekubali kuvaa jezi namba 8 Badala ya jezi namba 55 kama ilivyo shauriwa na uongozi wa klabu ya Yanga na benchi la...
4 Reactions
28 Replies
6K Views
Victoria Conteh ameteuliwa kuwa mkufunzi wa kwanza mwanamke kuifunza klabu ya wanaume katika ligi ya Sierra Leone kwa sababu amefuzu kufanya hivyo, kulingana na mmiliki wa klabu hiyo. Mwanamke...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu poleni na mihangaiko ya siku nzima..!! Msaada kwa aliye na sample ya form ya usajili wa mchezaji wa mpira wa miguu, naomba anisaidie..!! ASANTENI !! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Mpaka sasa nasikia ni goli la tano, naambiwa timu inatokea Arusha ila mimi kama Mwana Arusha hata siijui.
5 Reactions
63 Replies
6K Views
Katika kukuza michezo barani Afrika,Rais wa FIFA ameanzisha kampeni ya kuhakikisha kwamba kila nchi mwanachama wa wake wa bara la Afrika inajengewa uwanja mpya wa kisasa ambao utakuwa mali ya...
2 Reactions
81 Replies
8K Views
Back
Top Bottom