"CIRO IMMOBILE" ANAVYOMNYIMA PUMZI "CRISTIANO RONALDO."
---------------------------------------------
Pale Seria A. Makipa wanapoiona jezi no 17 kwenye kikosi cha Lazio. Huwa wanaanza kusali sala...
“Hakuna kinachoshindikana ukiamua katika soka, alipambana na kuzipambania timu alizopita kitu kilichofanya aonekane zaidi. Nampongeza ‘Popa’ naamini ametufungulia njia; sasa kila mmoja atapambana...
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’, anajiunga rasmi na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambayo nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta, alikuwa akiichezea...
Kweli Watanzania tunaweza tukishirikiana kwa dhati.
Samatta amefikia mafanikio haya tunayompongeza leo kutokana na sapoti kubwa kutoka kwa watu tofauti tofauti na Watanzania kwa ujumla. Nakumbuka...
Aman iwe nanyi wakuu
Yuko wapi mtusi gentamycine mwenda kwa waganga mkubwa
Mbumbubu namba moja mtani wa yanga gentamycine popoma, an Angle
Mbona sisikii tambo zake tena ashapima pima maji...
Jana mechi kati ya Arsenal dhidi ya Chelsea, kiungo bora kabisa Kante amelambishwa udongo na kijana mdogo sana, kosa hilo la Kante liliigharimu timu yake.
Kocha OGS alikuwa na sabb gani kumtoa Will, Ole ameniudhi sana.
Katimu kakuongezea kujaza point unakaacha kana tupigaje ??
Sasa!! Kwa nn ole amekaa tu anaangalia uwanjani, ina maana haoni...
DStv inaonyesha ligi ya England, EPL. Samatta kuchezea EPL kutaongeza watanzania ambao wataangalia EPL kwaajili ya kumuona kijana wao Samatat. Hii itaongeza wadau wa DStv, hivyo huu ni muda wa...
Jumapili wenzie wote waliocheza Manchester United, Burnley, Leicester City wanacheza kesho ila yeye kapumzishwa mpaka keshokutwa wakati bado ana mechi nyingi ajacheza kama wenzie.
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.
Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana...
Naomba niwafahamu wajumbe,maana nimeona insta TFF wakilaumiwa sana na hasa rais wa TFF amelaumiwa zaidi,kwa maamuzi waliyotoa.
Pia naomba nijue,je wanatoa adhabu kwa matukio gani yanayotokea...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Januari 20, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao...
Salamu,
Nimesoma kwenye gazeti la Mwanaspoti kuwa Mechi ya Yanga na Singida United inachezwa uwanja wa Rites leo jioni .Naomba kufahamishwa huu uwanja upo wapi!/
Hatimaye makundi kumi ya A-J ya kuwania nafasi tano za kushiriki Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka 2022 kwa nchi za Afrika yamepangwa. Ni haya yafuatayo:
Kundi A: Algeria, Burkina Faso, Niger na...
Wanachama wanawashauri kama yanga akifungwa au kutoka sare na singida United mnashauriwa uongozi na kamati tendaji wote mjiudhuru hamfai
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.