Habarini wana michezo...
Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa sasa imesimama kupisha kwa muda mashindano ya FA/ASFC (AZAM SPORTS FEDERATION CUP)
Sasa kuna makosa ambao vilabu vya ligi kuu...
Bournemouth (A),
Tottenham Hotspurs (H),
Southampton (A),
Sheffield United (H),
Chelsea (H),
Newcastle United (A),
Wolverhampton (A),
Liverpool (A),
Manchester United (H),
Crystal Palace (H)...
Mambo vipi wakuu wangu....
Ni hivi, leo nianza rasmi kubeti kupitia hii App ya 1Xbet, nimeweka mikeka mitano( mmojamoja) ambapo mechi zitapigwa mda tofautitofauti..
Sasa wakuu naomba ufahamu...
Ni ajabu sana huyu jamaa anakuwa kama shabiki maandazi ww ni msemaji semea timu yako kitendo cha kumuita Morrison takataka ni kitendo kichafu sasa cjui ww wakikuita........ Utajisikiaje
Kabwili alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na kituo kimoja cha redio nchini, ambapo alieleza kuwa Simba ilimshawishi afanye kosa kwenye mechi dhidi ya JKT Tanzania litakalomfanya aonyeshwe kadi...
Mimi ni mpenzi mkubwa wa kituo cha redio cha Talk Sport cha Uingereza ambacho hupasha habari za michezo pekee. Tangu nianze kusikiliza kituo hicho cha redio miaka zaidi ya 15 ilopita nimekuwa ni...
Benchi la ufundi la Aston Villa limemhakikishia nahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta nafasi ya kucheza katika mchezo wa Jumanne dhidi ya Leicester...
Nmeshtushwa sana na mtu mmoja anasema eti Shaffih Dauda anaweza akamfikia Eddo Kumwembe. Nlimtizama nikamwambia kilimanyege kinaweza fikia urefu Kilimanjaro.
Nyie mnaona Shaffih elimu yake tu...
Pep Gurdiola. Huyu ni genius kamfanya KDB na Sterling kuwa watu hatari mnoo, ukimwangalia Kevin unaweza kujihisi ni unamwangalia mchezaji bora duniani 3 times.
Raheem ndio Messi mchanga pale EPL...
Habari za asubuhi wadau wa mchezo, nina imani mupo salama. Naomba kuuliza kwa wale wataalam waku-edit, mimi nipo kwenye group fulani hivi la kubeti lakini huwa nakua na wasi wasi na huyu jamaa...
SIMBA WATUHUMIWA KUTAKA KUMUHONGA KADO
Waandishi Wetu, Dar na Morogoro
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Ulimboka Mwakingwe amekamatwa na polisi mkoani Morogoro akihusishwa na njama za kuhujumu...
Nina rafiki yangu wa toka utotoni anaitwa Sifa. Huyu Sifa mwaka 2002 when he was 17 alimpa mimba classmate ( Form 4 ) wake, mwaka 2003 akajifungua mtoto wa kiume.
Sifa akampa mtoto wake jina "...
Mwanaume wa Kifaransa ambaye anakwenda kwa jina la Florian Lejeune jana alifanya maajabu yake kwa kutumia muda usiozidi dakika moja na nusu kuweka kambani magoli mawili dhidi ya Everton na kuwapa...
Eti DK Leakey alikuwa akiyapiga sana makampuni ya betting kwa hiyo kakatazwa kubet na wamemuajiri na ndiye anayetengeneza fixtures.
Swali:
1. mashine nyingi za kubet mtu haandiki jina je...
Napenda kutumia nafasi hii kuwahamisisha wapenzi, mashabiki, na wanachama wa SIMBA SC Kufika katika tawi lolote na Equity Bank Kuchukua kadi za mashabiki ambazo itawezesha club yetu kupata mapato...
Utafiti unaonyesha kwa sasa nchini Tanzania mashabiki wa yanga ndio watu wenye huzuni zaidi nchini.
Na hii inatokana na wao kutopenda kuchomoa pindi wanapochomekwa kimoja au viwili
Hakika...
Huyu dogo kwenda dortmund mechi 2 goli 5 tayar kaweka kambani.
Mechi ya kwanza goal 3 (hat trick) mechi ya pili jana kamba mbili safi. Man u mnafeli wapi?
Uzi tayari