Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yanga Imekubaliana na aliyekuwa mchezaji wake Juma Balinya kuvunja mkataba
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Kwa yaliyotolewa na mwenyekiti wa klabu ya Yanga,aisee inasikitisha,boat inaendelea kuzama Hali ya kipesa ni mbaya zaidi kwenye klabu hii ya wananchi Madeni zaidi ya bilioni 2 ni hatari hata...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Watu wanaofanya mazoezi ya kukimbia na kutembea wana mambo mengi yanayofanana. Wote wanatumia njia mbalimbali kufikia malengo ya kuimarisha afya ya mwili. Changamoto inajitokeza ni kwenye faida...
9 Reactions
67 Replies
24K Views
Kaka yangu ndugu Matumla na watanzania naomba niwajulishe Hassan Mwakinyo kulalia kamba sio kosa na wala yeye sio wa kwanza. Bondia wakubwa kadhaa wameshatumia sana hiyo mbinu lengo likiwa...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Tumeona timu za Ulaya zikishushwa madaraja kwa kufirisika na hasa timu inaposhindwa kulipa mshahara wachezaji wake , Portsmouth ya England na Parma ya italia ni mifano halisi . Kwanini Yanga...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimekosa maneno ya kuandika naomba muangalie tu huyu fundi alikuwa anawafanya nini mabeberu. Kama ana undugu na Gaucho kwa mbwembe na Messi kwa upigaji mipira na faulo. Cristiano Ronaldo anasubiri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mujibu wake mwenyewe amesema kwamba hali ya Kiuchumi ya Yanga SC ni mbaya kutokana na sababu hizi zifuatazo: Yanga SC inadaiwa na TRA Yanga SC inadaiwa na Wachezaji wa Kigeni Yanga SC...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Dkt. Mshindo Msolla ametoa ufafanuzi juu ya mapato na matumizi ya klabu hiyo tangu uongozi wake ulipoingia madarakani, Juni 2019, huku akibainisha uwepo wa madeni...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Naimani mpo poa. Kiukweli uwanja huo haujawahi kupata shughuli kubwa kama hii ya 9 December. Kutokana na maandalizi ya gwaride lililofanyika hapa takribani wiki 2 hivi na mvua zilizokuwa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kupitia mpira wadau wa mpira wilaya ya Misungwi mkoani mwanza wameamua kujenga uwanja mpya wa kisasa zaidi ambao uko nje kidogo na jijini la Mwanza wenye uwezo wa kubeba zaidi ya watazamaji elfu...
1 Reactions
55 Replies
15K Views
Tanganyika na Zanzibar wanacheza huko. Lakini kwenye screen wameandika Zanzibar na Tanzania bara. Sijui ni kwa nini wasiandike tuu Tanzania bara Vs Tanzania visiwani
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mshambuaji Sadney Urikhob ambaye anadaiwa kuikacha timu ya Yanga kwa kuandika barua ya kuvunja mkataba wake kwa kile kinachodaiwa kutolipwa mshahara wake kwa miezi mitatu, amemtolea uvivu mshabiki...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Kampuni hii inakiuka utaratibu za Michezo ya kubashiri kwa kushindwa kuwalipa wateja wanaoshinda kwa wakati!!! Nimesharipoti Mara kwa Mara kwa bodi ya Michezo ya kubashiri na kubahatisha. Lipeni...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Andy Ruiz Jr amesema kwamba miezi mitatu ya kusherehekea na ukosefu wa mazoezi ya kutosha kumemfanya kuwa na "uzito kupita kiasi" wakati wa shindano la kutetea taji lake dhidi ya Anthony Joshua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Legelege wote wameondolewa. === Defending champions Kenya have progressed to the semi-finals of the Cecafa Senior Challenge Cup after beating Sudan 2-1 in a Group 'B' match at the StarTimes...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nadhani kama ni sindano itakuwa dawa imewakolea. Uongozi wa Yanga unatakiwa utambue kuwa duniani kote mpira umebadilika, mpira umekuwa ni sayansi maana yake lazima ufundishwe na walimu/kocha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama navyoiona Ac Milan ikijifia ndivyo navoiona Young African(Yanga).kwa nini nasema yanga inaweza kujifia ni kwa sababu ya kuingiza siasa kwenye mpira.Mashabiki wa Yanga na simba(watanzania)kila...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Yule bondia wa Bongo aliyepigwa ngumi moja hadi kuletewa mitungi ya oxygen atutake radhi wa watanzania na Umma wa kiislam kwa ujumla. serikali imnyang'nye Hati yake ya kusafiria pamoja na adhabu...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
yanga acheni kuwafanya wachezaji wenu watumwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…