Manchester United hata iwe mbovu kiasi gani hawawezi kufungwa na Liverpool.
Katika mechi 10 za mwisho za ligi
Liverpool win 1
Manchester United win 5
Draw 4
Kumbe ile ajali ya basi lile la mashabiki wa Yanga SC wakati wakiwa safarini kwenda Mwanza kulitakiwa wengi wao watangulie mbele ya haki ili ushindi uweze kupatikana jana, ila Mwenyezi Mungu...
Wasukuma sasa hivi wako juu ya sheria kuanzia Bashite hadi kule makao makuu, ni noooma duuh halafu majinga ya Jangwani yakasema yakapeleke mechi uskumani.
Weweeeeee jinga kabisa mngepeleka Chato...
Ufikapo Jiji la Pwani Rio de Janeiro, au 'River of January' jiji la pili kiuchumi nchini Brazil baada ya Sao Paulo, limepakana na milima pamoja na bahari ya Atlantic, mji huu upo chini ya Governor...
Chelsea walimsajili Mateo kovacic kwa paund mil 57 kutoka real Madrid na tokea wamchue amekuwa Moto zaidi.Ni kiungo ninamkubali Sana ana offer vitu vingi yupo vizuri defensively, ana rate kubwa...
Hii mechi yanga kafungwa hata mezani.... Nahodha wao shishimbi amepata kadi mbili za njano na alipaswa kutolewa lakini hakutoka. GOLI LAZIMA LIFUTWE LILE.
.
Pengine unaweza ukahisi sio stori kubwa sana ila ni kitu kikubwa sana klabu ya Barcelona imeamuwa kufanya kuelekea harakati za uhuru wa Jimbo la Catalunya, kaskazini Mashariki mwa nchi ya...
Jonas Mkude ni kipenzi cha wanaSimba na mtoto wa nyumbani Msimbazi kama walivyo Ajib, Ndemla na Miraji. Mkude amekuwa mtovu wa nidhamu mara kwa mara na wakati huu amekuwa nje ya timu kwa mechi ya...
Kashindwa amebaki anaweweseka tu. Haelewi afanye nini tena. Amebaki kuwalaumu wachezaji eti hawana malengo.
Muda unaenda siku zinapita na ameshindwa kabisa kuitengeneza timu. Leo Yanga...
Jana nilijichanganya nikachukua lisaa langu na nusu kuangalia mechi kati ya simba sc na Azam fc, aiseeeee nilishuhudia mpira wa hovyo na wa kijinga sana, mpaka sasa najiuliza, timu hizi ukikuta...
1.pele-mfungaji bora wa muda wote duniani
2.maradona-mchezaji bora wa zama zilizopita
3. c.ronaldo-mfungaji bora wa zama hizi na mchezaj mwenye mafanikio zaidi
4. messi-mchezaji bora wa muda wote...
Katika hali isiyo ya kawaida Mbwana John Sammata alikuwa anaweka historia nyingine lakini mabeberu wakamnyima kwa kutumia VAR.
lile ni goli kabisa la wazi na baada ya hapo Genk walikata tamaa na...
Kutoka Zanzibar
Shirikisho la Mpira wa Miguu la Zanzibar ZFF leo *Limevunja Rasmi Mahusiano yote na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF!*
Hii nikwamujibu wa msemaje Natepe
Aliyekuwa kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars,Mrundi Etienne Ndairagije amepewa mkataba wa mwaka mmoja kuinoa timu ya taifa ya Tanzania,taarifa iliyotoka jioni hii kutoka ndani ya TFF imethibitisha...
Kocha wa Yanga sc amesema moja kati ya vitu ambavyo wachezaji wamekosa ni malengo..
.
“ Inatakiwa toka mwanzo wa msimu mchezaji aweke malengo kwamba mimi kama kiungo lazima nitoe pasi za mwisho...
#VPLLeo
Kikosi cha Timu ya Wananchi kitakachoumana dhidi ya polisi tanzania.
Dakika ya 6: Ngasa anipatia Yanga bao la kwanza kufuatia krosi safi kulia mwa uwanja iliyopigwa na Juma Abdul
6' |...