1) Mmiliki wa mpira ni lazima acheze, endapo hatopata namba basi ANAONDOKA na mpira wake.
2) Ukiwa mbabe, hutolewi mpaka mechi inaisha.
3) Hakuna kucheza ukiwa umevaa viatu.
NB. Kama hujawahi...
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu
Chelsea bhana wana mpango wa kuwasajili neymar, sancho pamoja na chilwell
Chelsea kwa sancho na chilwell mimi nawaunga mkono ila kwa huyo bitoz mimi siwaungi...
Habari zanu ndugu Wanaspot wa JF!
Naombeni msaada kwa mwenye kujua sababu ya kukataliwa kwa goli la Arsenal dhidi ya Crystal Palace jana kwenye mchezo wa EPL lililofungwa na beki Sokratis...
Niliongea wiki jana juu ya kukataliwa kwa goli la Genk wengi wakapinga.
Niliongea wenzetu hawa (hasa kwenye michezo) kwa haraka mara nyingi hawapendi kutupa credit sie Blacks; hawataki kabisa...
Msimu umeanza, maji na mafuta yameanza kujitenga. Toka msimu wa 2018\2019 sikuona chochote kwa mwalimu Mwinyi Zahera. Michuano ya AFCON ikaja kunihakikishia kuwa Mwinyi Zahera si chochote. Msimu...
Wewe tumekuambia mapema sana kuwa tibiwa Hospitali ya Muhimbili Mkoani Dar es Salaam utapona haraka dhidi ya Ugonjwa wako wa ‘ Pyramid Mwarabu Fever ‘ ukatuona wenye Akili akina GENTAMYCINE ni ‘...
Mwanariadha Alphonce Simbu amefanikiwa kushinda medali hiyo katika Mashindano ya Majeshi ya Dunia yanayoendelea nchini China.
Mwanariadha huyo ambaye ni Mwanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
Miaka sita iliyopita mwezi Desemba baada ya mechi ya Mtani Jembe kati ya Yanga SC na Simba SC mechi iliyotamatika kwa Yanga SC kuchabangwa magoli 3-1, aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Ernest Brands...
Nimesoma gazeti la mwananchi Online limemnukuu Zahera akisema," Kurushiwa makopo kawaida wala haimuumizi kichwa." Akaongeza yeye bado anamkataba na Yanga.
Huyu jamaa sjui kwanini anang'ang'ania...
Na tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa...
Simone Biles Becomes The Most Decorated Gymnast In World Championships History
Simone Biles, 22, is now the most decorated gymnast in world championships history, winning 25 medals. Biles...
Wadau.
Hi ni tetesi inazunguka sana mtaani.
Eti Kigogo wa Simba Manara alionekana CCM Kirumba Mwanza Wakati Yanga ikichezea kichapo cha bao 2 kutoka kwa waarabu.
Watu wanajiuliza.
1. Simba...
Dada yake Mo Dewji alikuwa amekutana na Meddie Kagere, baada ya kusalimiana dada akaanza mtania Meddie.
"Wewe unawaonea dagaa tu kambale huwawezi"
Meddie akacheka kidogo na kuuliza, "Ina maana...
Mabingwa wa kihistoria nchini, Dar es Salaam Young Africa al maarufu kwa jina la Yanga wanaingia uwanjani leo kupambana na timu ya soka ya Pyramids ya kutoka nchini Misri katika mechi ya kwanza ya...
Wakati muda ukizidi kutaraa-dadi (kusogea) kuelekea mechi ya kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho Afrika ambapo Yanga SC itakuwa uwanjani Jumapili Oktoba 27, 2019 kuwakabili matajiri...
Huyu kocha wa Yanga Ndugu Mwinyi Zahera jana kavaa kipensi wakati alishafungiwa mechi tatu za ligi na TFF. Jana kocha wa Pyramid alivaa kwa heshima sana, na hata Patrick Ausems wa Simba ni kocha...
Naona mzee Jack Ma, baada ya kustaafu na kuachia ngazi kwenye kampuni yake ya Alibaba, na kupewa masomo ya "boxing" na Bw. Manny Pacquiao yupo tayari kuingia kwenye ringi na "legend" Floyd...
Wewe tumekuambia mapema sana kuwa tibiwa Hospitali ya Muhimbili Mkoani Dar es Salaam utapona haraka dhidi ya Ugonjwa wako wa ‘ Pyramid Mwarabu Fever ‘ ukatuona wenye Akili akina GENTAMYCINE ni ‘...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.