Kinyozi maarufu aliyekuwa anamyoa staa wa Jubentus na Ureno Cristiano Ronaldo amekutwa mefariki ndani ya chumba cha hotel nchini Uswizi.
Mwili wa kinyozi huyo umekutwa chumba cha hotel na mhudumu...
Katika historia ya soka timu za kiafrika zimeishia kwenye robo fainali tu katika kombe la dunia. Hakuna iliyowahi kufikia nusu hata 1.
Mwaka 2010 pale Sauz timu ya Ghana ilikua inatarajia kuvunja...
Leo ligi inayopendwa duniani imeingiwa na simanzi baada ya mchezaji wa timu ya Everton kuumia vibaya baada ya kukanyagwa na mchezaji wa Tottenham SON binafsi nimeumia sana.
Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hawezi kuwasikiliza mashabiki wanachokisema kwa sasa baada ya kufungwa na Pyramids FC bali anawasiliana na uongozi ambao ulimpa mkataba.
Hayo yamekuja...
Sioni dalili za game ya Yanga kuoneshwa..yawezekana ikawa ni ombi lao ili kukwepa aibu ya kuona jinsi watakavyokua wakiadabishwa na pyramids.. Hata hivyo dunia kijiji link zipo na wale wa dstv...
Juzi kati hapa kocha Zahera alisema timu ya Yanga haikusajili kwa ajili ya mashindano ya kimataifa, hii kauli inaungwa mkono na baadhi ya mashabiki na viongozi wa Yanga.
Je, Yanga nyie kwa nini...
Habari za wakati huu wanamichezo. Naamini wengi wenu au baadhi yenu humu jukwaani mnatumia samsung phones. Sasa basi samsung wana application inaitwa samsung health
Kazi ya hii app ni ku...
Muda mchache ujao hapo SAA 12:00 EAT wawakilishi wa Africa pia mabingwa mara mbili wa dunia wanaenda kumenyana mbavu na England katika fainali hii ya WC.
Usikose mpambano huu kupitia SS1, DStv...
Klabu ya soka ya Yanga jana jioni wamesafiri kuelekea Misri kwenye mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya wapinzani wao Pyramids FC. Yanga imeondoka ikiwa inakosa huduma ya wachezaji wake muhimu Kelvin...
CCM ni chama kikubwa na kikongwe kinachoongozwa na watu wenye weledi mkubwa.
Hivyo CCM hakiwezi kufa au kushindwa kujiendesha kama kitarudisha serikalini viwanja vya mpira inavyovimiliki ili...
Naaam kumekucha..Ule mfululizo wa patashika ya kumtafuta bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2019/2020, Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kutimua vumbi leo Jumapili ya Novemba 3, 2019 katika...
Kabla ya yote niwaambie wale wanaobet wasiwe na hofu kabisa
Moja ya mechi ambayo itawaduwaza washabiki wengi wa soka basi
ni hii ya leo dhidi ya Mwarabu ambaye anaenda kupigwa kwao.
Leo weka hata...
Boss wa Pyramid awaahidi wachezaji wa timu yake milioni 500 kwa kila goli litakalofugwa na pia atatoa bilioni 20 endapo Pyramid itafanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga Fc
Ni dakika kadhaa zilizopita, Canelo kafanikiwa kumpiga Kovalev kwa KO Round ya 11 baada ya kumpiga clear hook na kumdondosha. Kovalev alikuwa akishikiria mkanda wa WBO kwenye uzito wa Light...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL inatarajia kurindima leo kunako dimba la Kambarage Shinyanga ambapo wenyeji Mwadui FC, wanawakaribisha Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama...
Vpl imeendelea leo katika viwanja vitatu, katika hali isiyo tarajiwa wale walio toboa tundu wamejikuta wakiangukia pua kwa wanna kamwene na hivyo kuleta ahueni pale msimbazi.
Mmexico anayeaminika kuwa ni no1 pound-4-pound duniani kwa sasa leo atapanda ulingoni kutwangana na Kovalev; bingwa anayeshikilia mkanda wa WBO kwenye uzito wa Light Heavyweight. Endapo Canelo...
Kinachoiangusha Yanga ni kutofanya usajili wa maana. Wachezaji waliowasajili wengi hawana viwango kabisa.
Igeni mfano wa jirani zenu wa Simba na Azam, wanapocheza utafurahi kabisa.
Mchezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.