Niwe muwazi nimeanza kufuatilia soka la Tanzania nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na naweza kusema hiki ndicho kikosi changu bora cha muda wote.
1. Juma Kaseja Juma
2. Lubigisa Madata
3...
Baada ya kuondolewa Yanga amebaki anazunguka kwenye vyombo vya habari kila kukicha nambieni kocha yupi duniani aliondolewa akaanza kuzunguka zunguka kwenye media kinachoonekana alikuwa dalali...
Kuelekea kulisaka taji la Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, mabingwa watetezi Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, leo Alhamisi Novemba 7, 2019 anaingia kwenye dimba la uwanja wa Uhuru...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo ju leo kutakua na mechi kali kati ya yanga sc na ndanda . yanga wanatoka kumfukuza kocha wao na benchi lake zima la ufundi na wanapata kocha mpya wa muda...
Sasa ni dhahiri kwa mwenendo wa timu ya Liverpool , hakuna namna nyingine ya kuiokoa zaidi ya kumtimua kocha wake .
Mpaka dk 64 ilishatandikwa mabao 4-1 na timu ya kawaida sana ya Totenham...
=====
Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ na muwekezaji wa Simba SC leo amepost picha akiwa Liverpool England na kuandika maneno ya utani kuhusu Liverpool wakati huu timu yake ya Arsenal...
Ifuatayo ni Nukuu yake aliyoitoa jana mara baada ya Kumalizika kwa mtanange baina ya Timu yake na Yanga SC ambayo aliisema kwa Kiarabu na kwakuwa Mimi An Eagle najua Kiarabu sana nikaweza...
Mahakama ya Horrow Crown ya nchini Uingereza imemhukumu Bwana Ashley Smith, 30 kwa kosa la kuwavamia wachezaji wa timu ya Arsenal siku ya tarehe 25 Julai 2019 Maeneo ya Kaskazini Magharibi mwa Mji...
Habarini za asubuhi wanajamvi.....
Timu ya Clabu ya Yanga imeachana rasmi na kocha wao Papa Mwinyi Zahera hivi karibuni,
Lakin inaonekana kama Papa Mwinyi Zahera mutu ya Kongo hajakubaliana na...
Hiv karibuni Mwinyi Zahera amekuwa akifanya media tour na kuwalikwa pia na media mbalimbali sports arena wameulizwa mbona wao hawajamwita Zahera wamejibu "Zahera ameshafukuzwa na yanga na kocha...
Mwinyi zahera akihojiwa na EFM leo mda mfupi uliopita akieleza mgogoro wa kufukuzwa umetokana na yeye kukataa kuchaguliwa kocha Msaidizi kwani hakumtaka Mkwasa na aliomba amchague msaidizi wake...
Aliyekuwa kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera ameibuka na kusema sababu ya kutimuliwa kwake ni kukataa kufanya kazi Charles Mkwasa.
Akizungumza na redio EFM asubuhi leo Zahera alisema viongozi wa Yanga...
Kocha wa club ya FC Barcelona mhispania Ernesto Valverde ameendeleza wimbi la matokeo mabovu baada ya kulazimishwa sare pacha na timu kutoka Czech Republic ikifahamika kama Salvia Praha katika...
Nina uhakika katika timu bora kabisa kwa kipindi hiki na imekamilika kila sekta basi ni Man city,kwa maana wakubwa wote(Liverpool,Madrid,Barca,Inter,Psg,Juventus,Munich) wote asaiv wanaunga unga...
Leo kulikuwa na interview ya Zahera akihojiwa na E Fm na amefunguka mambo mengi yaliyoendelea kati yake na ya Yanga moja kati ya mijadala ya humu yalikuwa yanahusu viongozi wa team kuingilia...
JK alikuja na matumaini makubwa sana pale Liverpool akiwa na kila sababu ya kuirudisha moja ya timu kogwe kabisa na zenye mafanikio pale kwa Malikia..
Lakini zaidi ya kuzifunga timu kubwa hakuna...
Timu ya Singida United inayoshiriki ligi kuu imetangaza kusaka wenye vipaji,na inakaribisha watu wenye vipaji popote Tanzania,wataojitokeza watafanyiwa majaribio kwa siku 5 kuanzia tar 12 mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.