Pale uwanja wa chamazi Azam complex kuna mashindano ya mpira wa miguu kwa timu za wanawake kutoka mataifa ya Afrika mashariki na Kati ( CECAFA) . Kwanza niseme kwamba Kuna timu za wanawake...
Huu ni ushauri tu ninaokupa ndugu yangu , nafahamu ulivyochanganyikiwa na kutimuliwa Yanga kwa kutupiwa mfuko wako wa Rambo , hata mimi nakuhurumia , lakini jiangalie usije kushangaa mjini hadi...
Taifa Stars ya Tanzania inachuana na Equitorial Guinea leo usiku na mshambuaji wa taifa stars Mbwana Samatta amesema ana matarajio makubwa kuwa watakuwa na matokeo mazuri katika mechi hiyo...
Habari wana jukwaa,
Kwanza kabisa ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa timu yetu ya taifa kwa kipigo kizito walichotoa jana.
Nahisi Guinea hawatasahau ukizingatia goli la mwamba wa Azam...
wadau msaada jinsi ya kubeti ? Soka Beti , M-Bet , Meridian Beti , Sport Pesa Na Mtu Wakubeti anatakiwa aweje ? Je Unatakiwa Kujua Mpira Sana Au Nikubuni Tuu Wakuu Vyuma Vimekaza Kila Mmoja...
Kiukweli nimekaa nikawaza sana kuhusu huyu mwanaume Jordan Henderson.
Najua kuna watu hawampendi, wanaona kiwango chake kidogo, kiko chini mno, hafai kuwa Liverpool.
Nimemchunguza toka alipopewa...
Leo imekua mechi mbaya kabsa kwa Mbwana. Kila alichojaribu kufanya kiligoma. Sio kwamba alikabwa sana na opponents. Mara nyingi alikua anapoteza mpira peke kabisa. Sijui wengine mlivyomtazama.
Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari fulani wakati wanahabari wa vyombo hivyo wakimhoji Juma Mgunda kuhusu kwanini wamemuacha Manula kwenye kikosi cha timu ya Taifa. Waandishi hao wanalazimisha...
Wakati akizungunza na Gazzeta dello Sport na nchini Italia, Pele aliongea mambo kadhaa, (Kimsingi alikua anamzungumzia ubora wa Messi)
Jambo lilinivutia ni hili naunukuu "but feels there are not...
Mara nyingi mechi kubwa kama hizi utakuta ni channel moja tu inayorusha live zingine uki-tune unakutana na story zingine na kama huna king'amuz chao mpaka uende bat au vibanda umiza.
Wito wangu...
NA HIVI NDIO VIWANJA VIGUMU SANA KWENYE MASHINDANO YA VILABU ULAYA... CHAMPIONS LEAGUE NA EUROPE LEAGUE YALIYO MALIZIKA
....Naaam! Wakati michuano ya ulaya ngazi ya vilabu ikiwa imesha pita watu...
Evander Holyfield, Mike Tyson, Lenox lewis, ni wacheza ndondi walioweka historia baada ya kizazi cha Muhammad Ali kwisha. Wanaojua haya mambo na wanaojua huu mchezo kati ya hawa watatu, nani mkali...
Kwenu wanamichezo...kunawakati hufika ukiwa unamiliki kitu basi kile huenda na kubeba taswira yako..kiasi hata mtu mwingine akikiuona maramoja huona image yako..na ndipo unaposikia mtu akisema...
Mikoa mitano inayoongoza kutoa vipaji vya soka kwa hapa Tanzania:
1) Kigoma
2) Mwanza
3) Tanga
4) Morogoro
5) Zanzibar
6) Mingine inuafatia
Hata kama kuna project ya kusaka vipaji mikoa tajwa...
Kwangu hii ndiyo game ilikuwa nzuri sana kwangu kuitazama team zote zilicheza open football. Jambo lililovutia zaidi ni comeback ya Chelsea from kufungwa 4 kwa 1 mpaka kuwa 4 kwa 4.
First half...
Siku ya jana Ronaldo, The Greates Football Player of all times amefunga goli la 700 katika maisha yake ya soka. Idadi hiyo ya magoli inajumuisha magoli ya mechi alizocheza kwa ngazi ya klabu na...
Katika mechi za kuwania kufuzu michuno ya AFCON 2021 zilizochezwa usiku huu imeshuhudiwa Misri wakidroo kwa bao 1-1 dhidi ya Kenye ambapo goli la Misri lilifungwa na mchezaji Kahraba dakika ya 42...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.