Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa bahati mbaya Sana Mimi ninayeandika ninapenda Sana nyimbo! (Muziki) na mbaya zaidi naipenda Sana Simba! Mimi Ni miongoni mwa tuliosubiria kwa hamu ujio rasmi wa wimbo huu! Mara nyingi...
4 Reactions
51 Replies
10K Views
Kiungo wa Manchester City Bernardo Silva, amefungiwa mechi moja na Chama cha Soka nchini Uingereza (FA) kutokana na posti yake iliyokuwa na kiashiria cha ubaguzi wa rangi kwa mchezaji mwenzake wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mshambliaji wa timu ya Vissel Kobe ya Nchini Japani, David Villa, 37 raia wa Hispania asema kuwa ataastaafu kucheza soka mwaka ujao baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu nchini Japan...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mchezaji wa klabu ya Manchester City Raheem Sterling amelezimika kuondolewa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza kinachojiandaa kucheza dhidi ya nchi ya Montenegro kuwania kufuzu michuano...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Kiungo wa Kiitaliano mwenye asili ya Brazil, Jorginho anayekipiga katika klabu ya Chelsea amekuwa katika kiwango cha hali ya juu msimu huu. Baada ya kuboronga kwenye msimu wake wa kwanza akiwa...
12 Reactions
22 Replies
4K Views
MESSI ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA UEFA Mfalme wa soka ulimwenguni, Lionel Messi ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa wiki katika UCL. Messi amewashinda Matthijs de Ligt wa Ajax, Heung-Min Son wa...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Kwenye pyramid angekuwepo yanga, vipi angetoboa?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hii nimekutana nyo katika mitandao na ikanikumbusha mbali nikaonelea niilete humu. George Magere Masatu,Edibily Jonas Lunyamila,Husein Amani Masha,Nteze John (Lungu) ,Sanif Razaro...
1 Reactions
37 Replies
10K Views
Sote ni mashahidi wa namna Klopp ameibadili Liverpool, ameibadili kutoka mediocrity hadi kuwa miongoni wa zile Timu tishio ulaya. Kikwazo pekee kwenye mafanikio ya Klopp ni kiu ya Premier League...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Mshambuliaji wa kimataifa wa Misri, Mo Salah ameripotiwa kuondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Misri kinachojiandaa kucheza dhidi ya timu ya taifa ya Kenya (Harambe Stars kuwania kufuzu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pengine timu ili iwe bora ni lazima izishinde timu nyingine bora,japo mara nyingi upepo huwa una kata mwishoni kwa Liverpool wakikaribia kuchukua ubingwa wa ligi.Ushindi wa leo dhidi ya city...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limemfungia aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kujihusisha na soka kwa Muda wa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na...
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Nashindwa kuelewa Ni dharau, makusudi au Ni kweli TFF wanashindwa kupanga hii ratiba? Angalia timu zipo mechi za 11 nyingine, 9, 8, 7, 5, 10!
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja majina ya wachezaji 27 kutoka katika vilabu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Taifa Stars inataraji kukabiliana na Equatorial Guinea...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
HUU MCHEZO HUTEGEI KAMA FOOTBAL, UKITEGEA UNAKUFA Bondia Mmarekani Patrick Day amefariki dunia jana Jumatano zikiwa zimepita siku nne tangu atolewe na machela ulingoni baada ya kupigwa na...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
N aje guys Jumapili hii kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka pale England hawa vidume wawili kwa mtazamo wangu ndo anapatikana bingwa wa Epl Huku Liverpool wakiwa kwenye ubora wa hali ya juu...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
Nipo kwenye gari safarini kuelekea Mbeya nikaamua kununua zangu GB5 za internet ili niweze kuangalia mechi ya watani zangu Yanga Vs Zesco, ila ghafla bin vuu hawa Azam Wameamua kuiondoa chaneli...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
FT Liverpool 1 - 0 Stoke FT Arsenal 1 - 3 Aston Villa FT Norwich 2 - 2 Everton FT Sunderland 0 - 1 Fulham FT West Bromwich Albion 0 - 1 Southampton FT West Ham 2 - 0 Cardiff
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana kocha bora, wanajituma wanacheza team work. Waliopo juu yao mfano liverpool hawana bahati ya ubingwa, mancity hana consistance ya ushindi season hii Natabiri Leicester Kuchukua Ubingwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom