Wakuu habari za muda huu?
Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza kwa ambaye hakubahatika kutazama machi kali na yakuvutia ya Mtanzania Mbwana Ally Samatta inaonyeshwa marudio muda huu kwenye chanel ya...
Nyie Yanga mnasema Daima mbele nyuma mwiko.dante mlimfanyia hivyo kuwa tayari mmeshasonga mbele hamumlipi pesa zake..
Yote Tisa Zahera alipwe.
1. Pesa zake za ufadhili
2. Pesa zake za usemaji wa...
Zahera alikuwa na bado ni kocha mzuri na msemaji wa team ambye hatujawahi pata.zahera alikuwa pia mfadhili akionesha mapenzi yake ya dhati kwa yanga.
Waandishi wa habari walimpenda sababu anajua...
Siyo jambo la ajabu kocha kufukuzwa kwenye club timu ikikosa matokeo viwanjani, lakini hii ya Zahera kushindwa kuifunga Pyramids na Ruvu kustahili kufutwa kibarua hainiingii akilini.
Pyramids ina...
Fatma Dewji Ametimiza Ahadi Yake Leo Waliowekeana Na Mshambuliaji Wa Simba Kuwa Endapo Angewatungua Azam Fc Angepewa Zawadi Ya 50M.
Ahadi Hiyo Ilikuwa Ya Siri Kati Yake Na Kagere Walipo Kuwa...
Katuwakilisha vyema kabisa na pasipo kuwepo na ule ufigisu figisu angekuwa amwaweka nje ndani hawa majogoo
Big up le capitain
43 min
Terrific run and header from the corner. The Tanzania...
Habari wana sports,
Niendelee moja kwa moja kwenye hoja yangu, tangu Yanga yangu ilipokuwa inasuasua mtu aliyerushiwa maneno ni Kocha mkuu Mwinyi Zahera kwamba hana mbinu sahihi, anawachezesha...
Yanga imevunja mkataba na kocha wake Mwinyi Zahera pamoja na benchi zima la ufundi sambamba na kuvunja kamati ya mashindano.
Zahera ametimuliwa na klabu hiyo wakati mwenyewe ameendelea na kazi...
Jamaa wakiwa away wanapiga mwingi mno ila wakiwa home wanafungwa wana siri gani gemu za awai? mpaka sasa Chelsea kavunjiwa dalaja kashapigwa 3 nyumbani awa jamaa inawezekana ni zaidi ya tuwajuavyo...
March 3, 2008
Men's Basketball
7,600 Miles From UConn, Thabeet Is Big Man Off Campus
By MIKE OGLE
STORRS, Conn. An airplane landed in Dar es Salaam, Tanzania, in May 2007 with a man of...
Kocha Mkuu " Timu yangu haina uwezo wa Kucheza na Waarabu hawa na sina Kikosi cha Kucheza nao kwani sikusajili kwa ajili ya Mashindano ya Kimataifa huu ndiyo ukweli na tusije Kulaumiana kama...
Ni mtanzania wa kwanza kucheza na mabingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya. Liverpool fc.
Ni mtanzania wa kwanza kujaribu kumfunga kipa bora wa mwaka. Alison Becker.
Ni mtanzania wa kwanza kukabwa na...
Kumbe sababu kubwa ya wachezaji wetu kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa ni kwa sababu wanakariri sana maelekezo ya kocha kuliko maamuzi yao binafsi uwanjani.
Hivi hawaoni...
Hii ni baada ya timu hiyo kupokea kipigo cha mbwa koko kwenye mechi ya Jumamosi ugenini kwa Eintracht Frankfut ambako walitandikwa bao 5 -1.
Je, ni nani atapewa kazi ya kukinoa kikosi hiki?
Yaani nao wanatumia video za youtube tulizostream jana na wao wanaoonesha kwenye habari hivyo hivyo halafu zinascrach. Hovyo sana na aibu kwa taifa hili la Tanzania. Yaani nao wanamtumia Dr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.