Basi lilowabeba wachezaji wa timu ya Ndanda kuchele limepata ajali maeneo ya Nzega ndogo mkoani Tabora.
Inasemekana wachezaji watono wamejruhiwa na hakuna alopoteza maisha, ila basi haliwezi...
Wakuu,
Leo ni siku ya pili ya kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, kuna baadhi wameanza kusikiliza jana na baadhi leo na wengine labda kesho na kuendelea wanaweza kuanza kusikiliza, hivyo basi...
Salaam Tanzania na kooote ulimwenguni, Karibu sana....! Naaaaam...!
Ile patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL, inaendelea kuvurumishwa leo Jumatano Oktoba 23, 2019 majira...
Mshambuliaji Yanga, Maybin Kalengo huenda asicheze mechi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pryamids baada ya kuumia mguu na kukimbizwa hospitali ya Bugando kwa matibabu anatarajiwa atasafirishwa...
Wakati Simba wanamchukua tulisema babu, mzee hafai n.k lakini huyu jamaa ana sifa zote mbaya na za binadamu katili asiyefaa kuwahi tokea katika soka la Tanzania.
Sijajua zaidi niseme nini ...
Habarini wanajamvi,
Hivi kwanini mechi kati ya Simba na Azam ilihamishiwa Uwanja wa Taifa ilihali mechi za Simba zilikuwa zikichezwa Uhuru?
Je, kuanzia sasa mechi zote za Simba zitachezwa...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ameitimiza ahadi yake ya kuwakabidhi wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi pikipiki aina ya Boxer, simu ndogo pamoja na Rice Cooker...
" Majeraha kwa kalengo ni kama kifo na binadamu na hili viongozi tuli wapa ushauri mapema kuhusu usajili wake.Una msajili vipi mchezaji alie umia mara 21 ndani ya mwaka mmoja tena una enda kumpa...
Hebu tujadili goli lililokataliwa usiku wa jana UEFA, Genk vs Liverpool.
Siku zote nimekuwa nikizipinga hizi VAR technology. Katika baadhi ya maamuzi hazitendi haki na yote ni kwasababu...
Tukiwa tunawaambieni kuwa mna njaa halafu hamna 'wataalam' wa mpira katika klabu yenu ya Yanga muwe mnatuelewa kwani ni aina yenu ya 'ubishi' ndiyo ambayo imekuwa 'ikiwagharimu' na hatimaye...
Akiwa mzaliwa mkazi wa Wilaya ya Temeke Mbagala Mbwana amepigana mwenyewe kwa Juhudi zake binafsi mpaka kufika hapo alipo.hii ni changamoto kwetu watanzania na hasa serikali kupitia wizara ya...
Wao watajua wenyewe na VAR yao,sisi watanzania tunachojua Samatta ana magoli mawili katika champions league,WASITULETEE JANJA JANJA hapa, lile la jana ni goli 🥴 🥴 🥴
Mimi ni shabiki wa Man U kwa pale EPL na Spain ni Valencia CF.
Man U
Nilianza kuwa shabiki wake nikiwa shule ya msingi. Kuna rafiki yangu alikuwa kanunua gazeti jipya la michezo, basi katikati...
Klabu ya FC Barcelona Ya Nchini Hispania inatarajia kutumia jezi Hiyo msimu unaokuja, Ni jezi inayoonekana kuwa na ubora wa Hali ya Juu na Mvuto Hata kwa uvaaji wa kawaida wa Mashabiki inaonekana...
Dah! Samatta alivyotupia tu goli, Mbagala yote Ilisimama. Mara paah! Refa akasema ni offside, hayo matusi yaliyotoka kibandani kama angekuwa karibu watu wangeruka naye.
Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.
Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.