WanaYanga wenzangu leo nimekatisha pale mitaa ya msimbazi na kuwakuta WAPENZI wa Simba wakijinasifu kuwa Klabu ya Simba ni ya 16 ktk ubora wa vilabu CAF. Yanga tukiwa Mabingwa wa Kihistoria je...
Kiukweli tokea Real Madrid wamsajili Curtois (sijui jina nimepatia?) Real Madrid imekuwa ikiruhusu magoli ya hovyo sana kupitia huyu kipa; naona laana ya mashabiki wa Chelsea inafanya kazi kwake...
Mshambuaji wa Polisi Tanzania FC, Ditram Adrian Nchimbi (Duma), amegeuka gumzo nchini baada ya jana Oktoba 3, 2019 kuwanyosha vilivyo Yanga SC mabao matatu peke yake Hat-Trick na kuweka rekodi ya...
Yaliyoipata Taifa Stars ilipofuzu AFCON 2019 hatutaki kuyaona tena yakijirudia.
Safari hii Stars imejishindia safari ya fainali hizo huko Cameroon kwa juhudi zao na hao wanasiasa wakiwa wamesha...
nikiwa kama shabiki nguli wa manchester nimeangalia games nyingi sana kati ya liverpool na manchester tokea man utd afe goli nne pale ot liver wamekua wanyonge sana mbele ya man utd hata wawe...
RASMI: Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge ahamia Wasafi FM, Atoka na wenzake wawili na kumvuta Eddo Kumwembe.
Mtangazaji maarufu wa Habari za Michezo nchini Tanzania, Maulid Kitenge ametangaza...
Uzi wa kutaja watu maarufu hapa Tanzania ambao aidha wanashabikia Simba au Yanga tena wengine wanaficha ushabiki wao juu ya vilabu hivi viwili vya Simba na Yanga.
J.K. Nyerere - Yanga
Ben Mkapa -...
Mkiambiwa kuwa muwe mnaheshimu ' Utaalam ' wa Watu wengine muwe mnasikia. Sasa Mburundi na akina Mgunda na Matola wameshatuziba Midomo yetu mikubwa na mirefu kama Chuchunge ambayo kila Uchao...
Sio vizuri kuwapongeza wafungaji tuu lakini nataka kuweka wazi kwamba kwa muda mwingi vipaji vya mpira vimekuwa vikitafutwa Dar pekee yake toka timu za vijana hadi timu za wakubwa.
Lakini mchezo...
Kingo_sr
PAUL Labile Pogba. Ni fundi haswa uwanjani, ni mchezaji ambaye kila Timu na kocha yeyote angetamani ammiliki kama mchezaji wake.
Atakupa ubora mkubwa uwanjani, atakuza biashara ya Jezi...
Kinachonisikitisha tu ni kwamba kila ninapopita nawaona Mashabiki wa Simba na Azam wakifurahia Kilichotokea muda si mrefu huko nchi yenye Joto Kali Barani Afrika lakini kwa Mashabiki wenzangu wa...
Habarini Wanamichezo.
Mimi si mkubwa sana wa Umri lakini Nina kumbukumbu nzuri sana ya soka ya kuanzia mwaka 1997.
Nina kumbukumbu ya tournaments mbalimbali mfano EPL na Champions league ya...
Kwenye picha ilikuwa ni Mechi ya Hisani iliyoandaliwa Kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya na Rushwa viwanjani!.
Diego Maradona katika mechi hiyo alivaa jezi iliyoandikwa "NO TO DRUGS", Michel...
Mchezo wa kufuzu mashindano ya CHAN umemaliza kwa Timu ya Taifa ya Tanzania kushinda kwa magoli mawili dhidi ya goli moja kwa Sudani. Mechi ya awali, Timu ya Taifa ya Sudan ilishinda kwa goli...
Nimeicheki mechi ya Sudan dhidi ya Taifa stars iliyoisha kwa 1-2 nimefurahishwa na kipaji cha huyu mchezaji aliyeongezwa kwenye kikosi cha Taifa stars dakika za mwishoni kutokana na uwezo wake...
[emoji1621] Tarehe 06/2/ 1971,Ndugu Alan Shepard alifanikiwa kufika mwezini. Na miongoni mwa shughuli alizo jishughulisha nazo ni kucheza gofu.
[emoji1621] Hivyo basi akaupa mchezo wa gofu...
Nimeona mara nyingi wanatuhikiz tufike airport kuwapokea na baada ya kuwapokea wana panda basi lao.wanenda waendako.
Hii sio nziuri kabisa.. TFF tafuteni hata gari kubwa la wazi wachezani...
MESSI GOLDEN SHOE 6
RONALDO 4
DE LIMA 1
La Pulga; The King.
Mchezaji bora wa dunia Leonel Messi jana amekabidhiwa kiatu chake cha Dhahabu baada ya kuwa mfungaji bora wa magoli kwa ligi za Barani...
Tukifanikiwa sawa ila tukianguka basi tusianze Kulaumiana wala Kununiana au hata Kuwatafuta Wachawi. Ombi langu tu nawaomba Wahusika Siku za baadae wanijumuishe An Eagle katika Kamati ya Fitna na...
Jana nimepata message nyingi watu wakita kujua kati ya KIPCHOGE na BOLT nani zaidi! hivyo leo ninaweka analysis kidogo kuhusu hawa wawili na nani ni mkali zaidi!
Usain Bolt wa Jamaica na Eliud...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.