Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wana Jf natumai mpo wazima wa afya ,nami nipo good kiafya na Mungu ni mwema siku zote. Kuna hii michezo ya mieleka, huwa naiangalia lakini mimi sijawahi kukubali kuwa huo huwa ni ukweli. Kwa...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Yanga washataja viingilio vya mechi yao ya kombe la shirikisho ambapo kiwango cha chini kabisa ni shilingi elfu kumi. Sasa ukiangalia viwango vya viingilio inaonesha yanga wanahitaji sana pesa...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa Muda Mrefu Sasa Naitafuta Hii Handheld Video Game... Wapi Naeza Kupata Kwa Hapa Dar Es Salaam, Na Gharama Yake!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Mimi nimekuwa si mnazi sana wa mchezo wa ndondi; nimejikita zaidi katika kufuatilia mchezo wa soka. Aidha, katika kufuatilia soka katika kurasa mbalimbali za michezo nimekuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Oscar Mirambo rasmi ndiye mkurugenzi wa ufundi atahusika na timu ya taifa zote za vijana na wakubwa,wakike na kiume. Ana kazi ya kuandaa sera za mpira wa Tanzania na kutoa mwongozo wa namna soka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kumsainisha Ibrahim Ajib, kuna kila dalili kwamba, Deo Kanda na Jesse Were watasaini muda wowote.
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Tirunesh Dibaba, (alizaliwa Juni 1, 1985, karibu na mji wa Bekoji, mkoa wa Arsi, Ethiopia), ni mwanariadha wa mbio wa Ethiopia ambaye alishinda kwa mara ya kwanza mashindano ya dunia (World...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mods pliz msiunganishe uzi huu Hawa ndio wameiua na kuizika Yanga leo huku wakiwa ni waajiriwa wa timu hiyo. Mimi naanza na Hassan Kessy ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Simba aliyeihujumu Yanga...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Kama thread inavyosema. Huu ndio uwanja utakaotumika kwa mtanange huo. Na CAF wameupitisha aseee Afrika hiii. Credit kwa Cloudstv mtangazaji ni Jacob Mbuya
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mtandao wa Goal.com umetoa kikosi bora cha Chelsea kwa muongo mmoja. Nani amesahaulika hapa?
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Kaimu kocha mkuu wa timu ya taifa Tanzania 'Taifa Stars', Etienne Ndayiragije amewatoa presha mashabiki wa Tanzania kwa kusema wana kila sababu ya kupindua matokeo kutokana na maandalizi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mnapoambiwa kuwa Simba Sports Club ni Timu Kubwa Barani Afrika msiwe mnabisha ili mradi tu mbishe. Kocha wa Bandari FC ambaye aliwahi kuwa Mchezaji Mwandamizi na Tegemeo kabisa hada kwa upande wa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
[emoji1614]Uliangalia Mechi ya England U 20 Vs Austria ? ...Basi kama Ulibahatika Kuitazama Hiyo Mechi Ambayo Hudson Odoi Pamoja na Eddie Nketia Waliichakaza Austria Nadhani Ulipata Kuliskia Jina...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Umepewa nafasi ya kuchagua wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi namba 10 kwa levo ya klabu, chaguo lako ni lipi? Mimi naenda hivi... 1.Messi 2.Rui Costa 3.Modric
3 Reactions
74 Replies
7K Views
Wadau hapa nimeweka list ya 11 bora combined Yanga na Simba pamoja na reserve list bila ya kujali kama baadhi ya wachezaji ni majeruhi kwa sasa kama Bocco na Boxer. 11 bora 1. Kakolanya 2...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Caption: Dadashev alishinda mapambano yake 13 kabla ya kupigwa Ijumaa Bondia raia wa Urusi Maxim Dadashev ameaga dunia baada ya pambano lake na Subriel Matias kumsababishia majeraha makubwa ya...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com wametoa kikosi bora cha Man Utd kwa miaka 10 iliyopita (Muongo Mmoja) yaani 2009-2019. Je unakubaliana nao? Yupi ameachwa na anastahili kuwepo kikosini
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani hakuna,mwna jf aliyepo Kigoma atuletee matokeo!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Messi or Rinaldo ?
2 Reactions
4 Replies
854 Views
Back
Top Bottom