Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu "imagine" mechi muhimu pengine fainali halafu dakika ya 90 mnapata faulo nje ya box la adui, wewe ukiwa kama kocha/captain utampa nafasi nani ya kupiga faulo hiyo ili walau mpate goli la...
5 Reactions
75 Replies
6K Views
TFF orodhesheni idadi, aina na dalili za vitendo vya kishirikina kwenye soka. Vinginevyo mnajenga dhana na tafri tata. Hivi mtu akija uwanjani na pembe la ng'ombe analipuliza ni ushirikina...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Zitapigwa hapo, anza ku save for trip and ticket
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kama si uchawi sijui itakuwa nini, ukiambiwa lile jengo lililojaa ukungu mweusi wa fungus kama kuta za choo cha Tandale kwa mfuga mbwa ni jengo la klabu kubwa zaidi barani Afrika na Tanzania...
9 Reactions
46 Replies
8K Views
Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, anatarajia kucheza michezo mitatu ya kirafiki dhidi ya Bandari FC, kutoka nchini Kenya, Mashujaa United ya Kigoma na Black Eagles FC kutoka...
5 Reactions
53 Replies
7K Views
Mazoezi ya Familia yapigiwa chapuo. Mbio za Marathon zimekuwa ni sehemu ya Maisha ya watu wengi hasa mijini na kwa kiwango kikubwa imechochea sana kuboresha maisha ya Watanzania wengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jerome Sensei (kushoto) akiwa na Naka Tatsuya Shihan kwenye makao makuu ya JKA/WF jijini Tokyo, Japan mwaka 2014 Jerome Sensei akionyesha kwa vitendo namna ya kujihami na kushambulia. Walimu wa...
2 Reactions
1 Replies
6K Views
Wakuu nimeumia saana yaani hajapambana hata dakika kumi kaporwa mkanda. Lesnar mshenzi sana ======= Following a six-month dream reign as WWE Champion, Ghanaian-born wrestler Kofi Kingston saw it...
0 Reactions
134 Replies
11K Views
Unaweza kusema Yanga wamejitakia.Mipango mibovu na mbinu za hovyo za Zahera ndio imeifikisha timu mdomoni mwa mwarabu mwenye njaa kali. Km kocha wa Yanga angekua ni mtu wa mipango bila ubishi...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama walivyowahi kufanya huko nyuma kina Mike Tyson, Floyd Mayweather, Rounda Rousey n.k naona WWE wameamua kuwachukua Bondia bingwa wa uzito wa juu 'Tyson Fury' na bingwa wa zamani wa UFC uzito...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Unakumbuka lile sakata la John Terry kuchukua jukumu la kukaa golikipa kwenye mchezo wa Chelsea? Naomba uniambie ilikuwa ni Chelsea na timu gani na mwaka gani kwenye mashindano gani? Hili...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
wazo la kutengeneza jesy ya club ya yanga ni zuri na la ubunifu mkubwa ambalo hata huyo manji alishindwa. Jesy zina quality kubwa na za kweli kabisa. hakuna upatikanaji wa holela. ushauri wangu...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Timu kutoka POT A draw itachezeshwa na timu za POT D. Timu za POT B draw itachezeshwa na POT C. Safari njema Yanga.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naanza na ANGALIZO kuna wale ‘ Wapuuzi ‘ fulani ambao huwa wanadhani ninapokuja hapa na taarifa za Kuihusu Yanga SC yangu / yetu basi labda nakuwa ‘ nazusha ‘ tu au huwa pengine nakuwa na ‘ Agenda...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Inplay inalipa njoo ukutane na wakakamavu wa betting haswa inplay...njoo tushirikiane kumpa pasa kanji .....Tutanunua dream liner hivi punde ‎Open this link to join my WhatsApp Group: VIP...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huwez kuwa bora wakt wote ndvyo ninavyoweza kusema baada ya man city kutandikwa tena leo. Mech imeisha kwa city kupigwa nyumban na wolves kwa mabao 2 kwa bila. Hakuna tena mpinzani tuwaache tu...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Nakumbuka hapa hapa niliwahi Kuwaasa Wanachama Wenzangu wa Yanga SC kuwa kama kuna Mwaka ambao tumechagua Viongozi ' Wabovu ' na ambao niliwaambieni kabisa kuwa Mmoja wao ambaye ni Mwenyekiti Wetu...
2 Reactions
68 Replies
10K Views
Yanga ya sasa ikifunga goli moja tu inapaki Basi. Au ikitokea ikabahatika kusawazisha wanarudi nyuma wote kulinda . Tena kipa anapoteza mda makusudi ili kulinda sare. Maajabu ya Dunia,acha Simba...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Bado wanaYanga wana kumbukumbu yenye maumivu juu ya Biashara ya Heritier Makambo kwenda Horoya. Maumivu yakiwa bado hayajapoa kwa sasa Maabara yupo Molinga anasukwa. Anapewa Promotion ya kila...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Huyu Jamaa ni beki mzuri sana, ameiongoza serengeti boys Garbon, ameiongoza U20 ya mtibwa kuchukua ubingwa kwenye club level.. na sasa ameiongoza national team u20 kuchukua ubingwa wa cecafa...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom