Wachezaji wengi waliopo Yanga wanakula mshahara wa bure kabsaaa. Ukiwaangalia kwa jicho ambalo si la kishabiki utagundua wengi hawana vipaji,kontroo chumba kizima. Inashangaza timu inacheza dk 90...
Baada ya kikosi cha Simba kurejea jijini Dar es Salaam jana, kwa sasa kinachosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa soka nchini, hasa Wanamsimbazi, ni nini kitaendelea kuhusiana na kiungo wao, Jonas...
Yaani umeshaachwa tayari alama ( points ) tano na Simba SC badala ya Wewe Kusikitika kama si Kuumia Watu wazima na Akili zao kabisa hasa Mashabiki wa Yanga wanashangilia Mshambuliaji wao Molinga...
Heloo wadau wa tennis, mambo vipi? mpo? US open imeanza, jana nimeshuhudia kichapo cha kufa mtu kutoka kwa mwanadada ambaye anasemwa kuwa ni bora wa wakati wote, yani GOAT, si mwingine ni Serena...
Sisi mashabiki wa izi timu mbili maisha yamekuwa ya ovyoovyo sana kwa sasa, sijui team zetu zinakosea wapi.
wengine mpaka tunatamani kuomba ruhusa kazini baada ya matokeo mabovu ya tim zetu kwa...
Naangalia game ya Genk v/s Naple Mbwana Samata kapewa u captain , ukiona mtu mweusi kapewa unahodha kwenye kundi la mabeberu ujue anakubalika,
hongera Captain Diego
Yanga imekuwa na mwendo wa kusuasua toka msimu mpya umeanza. Ilijitapa kw usjili wa mafungu mafungu. Mpaka sasa hakuna mchezaji aliyesajiliwa na kuonesha kiwango kikubwa.
Timu haina chemistry...
Mwanzoni Simba ilikuwa inacheza pasi fupifupi na taratibu baada ya ujio wa Patrick aussems Simba inacheza pasi za haraka na counter attack.
Lakini pia kitendo chake cha kuwapa nafasi karibia...
Aman iwe nanyi
Leo mashindano ya futuhi yataanza lasimi kutimua vumbi team za England zilizojichokea chokea nazo zitakuwemo
Team hizo ni women united na team moja ambayo haijawahi kabisa...
Timu ya Kagera Sugar Wanamkurukumbi leo ikiwa uwanja wa nyumbani wa Kaitaba itaumana na timu inayobebwa na kupendelewa Simba SC. Ikumbukwe mpaka sasa Kagera Sugar ndio kinara kwenye msimamo wa...
Katika wiki hii nimeshuhudia michezo ya riadha, kuruka, kutupa tufe nk. mjini Doha ikifanyika ambapo wanamichezo karibu dunia nzima wako pale. Natumaini na sisi Watanzania tuliwapeleka wana...
Tukiwa tunaelekea katika mechi za Ligi Kuu ya Vodacom 2014/2015 katikati na mwishoni mwa wiki hii na kwa kuwa ligi inaelekea ukingoni, si vibaya tukatupia macho yetu katika 'performance' za Klabu...
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) wanakutana na vijana wenzao wa nchini Sudan katika mtanange wa nusu fainali ya Cecafa U20 2019. Mchezo huo unapigwa sasa uwanja wa...
Mtangazaji mahiri wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC mh Salim Kikeke ameteuliwa kuwa balozi wa Simba SC nchini Uingereza.
Klabu ya Simba imesema inategemea Kikeke atawapaisha sana...
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) wanakutana na vijana wenzao wa nchini Uganda katika mtanange wa robo fainali ya Cecafa U20. Mchezo huo utapigwa saa kumi jioni saa za...
Kampuni hizo zinazoendesha michezo ya kubashiri zimesimamisha shughuli zake Nchini humo katika uamuzi unaoonekana ni wa mwisho kufuatia mvutano wa muda mrefu kuhusu ushuru na sheria zinazodaiwa...
Nilikuwa nafuatilia league kuu ya Austria Bundesliga baada ya kufungua taarifa za hii timu kwenye picha nikakutana na mchezaji anaitwa Lema nikashutuka mbona jina la watanzania hili kufungua zaidi...
Ligi ya msimu uliopita ilikuwa na malalamiko mengi hasa kutoka timu ya Yanga kuwa Simba inabebwa na kuwa na viporo vingi, kocha alidai ameshitaki hadi CAF lakini cha ajabu sasa hivi timu hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.