Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kivumbi kinatarajia kutimka leo saa 10 jioni kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa wakati wawakilishi wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) almaarufu kama wakimataifa / timu ya wananchi /...
6 Reactions
369 Replies
31K Views
natamatani wapigww hata 5. kipara anajiona mjuaji sana. angejijua asingerudi, amekuja kujidhalilisha. piga haoo
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Finally, The Rock is back in the WWE! The former WWE Champion and eternal People's Champion announced late Monday (September 30) that he's coming back to the WWE Universe — and the millions and...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA imekumbwa na shutuma nzito juu ya kura zilizomchagua Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi kushinda tuzo hiyo ikidaiwa kura zilikuwa za uongo Katika hatua nyingine...
2 Reactions
84 Replies
9K Views
Ndo hivyo huyu ninja ataikumbuka England Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki...
6 Reactions
51 Replies
7K Views
CHELSEA ilikuwa timu ya kwanza kutangaza hilo Kupitia Akaunti yake ya Twitter, Baadae zikaja United, Man City na nyinginezo.
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Salamu Tanzania na duniani kote...! Patashika ya Ligi Kuu ya Tanzania Vodacom Premier League VPL, Kuendelea tena leo September 29, 2019 kwenye Viwanja tofauti nchi Tanzania, gumzo ni Klabu ya...
8 Reactions
122 Replies
12K Views
Data kama hizi Africa huwezi zikuta, wako wapi watoto wa kina Jerry Tegete, Mrisho Ngasa, J.Boko, Abdi Babi, Kigi Makasi, Chuji, Juma Kaseja, Henry Shindika Boban na wengineo au ndo wako shule...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanayanga wenzangu huyu mzee hana jipya tukifungwa ama kudroo mechi dhidi ya polisi atasema wachezaji walikuwa na uchovu na hlo tulitegemee uongozi jamani pingeni kauli za huyu kocha timu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Saa 2 za Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki, kutakuwa na hafla ya utoaji wa tuzo ya Mchezaji bora wa FIFA kwa mwaka 2019 pale jijini Milan nchini Italy. Pia hafla hiyo itaambatana na utoaji...
2 Reactions
287 Replies
25K Views
Timu yangu Simba sc achaneni na kahata sijaona ubora wake, Katika mechi ya kwanza nilihis labda kwakuwa Algeria ni bora kuliko Kenya Lakini hata Jana alikuwa hivyo tu hadi kutolewa mapema kipindi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Unadaka vizuri tatizo lako ni hili umeanza makosa ya kupoteza muda wakati timu inahitaji ushindi mfano mechi dhidi ya Zesco far es salaam hata kule Zambia
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hazard wa Chelsea alikuwa fire alikuwa anauwezo pekee yake kuamua mechi inashangaza hazard anamaliza game ndani ya team ya Madrid bila hata shot on target.chelsea hazard alikuwa mfalme...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Toka afike Yanga huyu ni kocha wa visingizio kila kukicha.Tukiacha visingizio vya msimu uliopita,toka msimu huu uanze amekuwa ni kocha wa visingizio viiingi visivyokua na kichwa wala miguu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama uzi unavyijieleza .... Kuna kaubishi hapa. Ila binafsi nakumbuka kama vile DTV ila kuna jamaa hapa anasema C2C mwingine ITV mwingine Channel ten. Karibuni
1 Reactions
26 Replies
5K Views
#FAHAMU Makocha walioingiza pesa nyingi kwa kuuza wachezaji katika klabu moja L. Jardim - €919m J. Mourinho - €730m A. Wenger - €686m C. Ancelotti - €673m M. Allegri - €664m R. Benitez - €617m D...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NANI ANAIJUA KESHO?? MIAKA ya 1980's Mike Tyson alikuwa kwenye ubora wake kweli kweli usingemsogelea ulingoni wala kifedha nje ya ulingo. MIAKA 8 mbele akamuajiri Donald Trump kama mshauri wake...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo tena mbele ya Mh RC Kagera wamepokea kichapo nyumbani kutoka kwa JKT Tanzania Bado dhambi ile inaiandama timu yetu ya Kagera Sugar! baada ya kupokea kichapo cha goli 1 ikiwa nyumbani. Mh...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kenya na Ethiopia wanatutendea vyema Africa. Citizen TV live.. NB: ukiangalia mji wa Berlin jinsi ulivyopangwa, hapa kwetu East Africa miji yetu waweza iita 'takataka' What a beautiful world!
0 Reactions
6 Replies
755 Views
Julai 2003, Chelsea FC ilinunuliwa na bilionea wa kirusi, Roman Abramovich, kutoka kwa 'babu madevu', Ken Bates. Septemba mwaka huo huo, RA 'akamnunua' mtendaji mkuu wa Manchester United, Peter...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom