MKUU wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Michael Gaguti, amepiga marufuku wananchi wa mkoa wake kuishangilia Simba, pindi itaposhuka uwanjani leo kuvaana na Kagera Sugar.
Gaguti amefikia hatua...
LONDON, ENGLAND - JULY 27: Jason Dunford of the Kenya Olympic swimming team carries his country's flag during the Opening Ceremony of the London 2012 Olympic Games at the Olympic Stadium on July...
Nimeona video ya kutisha nimeshindwa kuifyonza na kuiweka apa ni viongozi wa team yangu ikimwaga vitu vyumbani huku ikiwa na viongozi wangu Tele. Badae wakaingia wachezaji niliwaona ni team yangu...
Pamoja na kutwaa mataji yote ya england na kufika robo fainali ya UEFA bado hakuna mchezaji yeyote wa city kwenye kikosi bora cha dunia. Imagine hata benardo hayupo. Cha ajabu unakutana na...
Mchezaji wa zamani wa Simba SC, na timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars Abbas Dilunga amefariki ghafla usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake, Chanika, Dar es Salaam.
Maziko ya gwiji huyo ambaye...
Inasikitisha kusikia mkuu wa mkoa akizikamia timu kubwa kuhakikisha zinafungwa zikicheza na timu mkoa husika.
Hizi tabia ni za kusikitisha sana zote zipo nchini
Tabia hizo zipo sana hasa mikoa ya...
NA
NIHZRATH NTANI
WAKATI mwili wake utakapokuwa ukishushwa katika ardhi ya mji wa Rosario. Ni kilomita 300 kutoka mji mkuu wa Buenos Aires nchini Argentina.
Ni ardhi ile ile iliyowameza...
Msimamo wa yanga kwa sasa ni kutoitambua nembo ya mdhamini kampuni ya Vodacom Tanzania kutokana na rangi zake nyeupe na nyekundu.
Ni wazi hii imeleta mtafaruku tangu msimu uliopita.Nembo ya...
Kocha Simba mtoe Gadiel Michael aingie Tshabalala. Gadiel Michael hana " nyota ya ushindi " . Tshabalala ana " nyota " ya ushindi.
I am a die hard fan of Dar Es Salaam Young Africans but...
West Ham 2 man utd 0,ila kiufupi hawa makocha wa muda au wazawa huwa wanazingua sana, baada ya Lampard kutimuliwa Chelsea siku chache zijazo namuona Ole sendeka akifuata.
Kila inapokuja big mechi dhidi ya timu yetu ya taifa au vilabu kawaida hapa tanzania yamekua yakitangulia maneno mengi ya kujiamini kiasi kuweka taswira nzima ya ushindi...jambo ambalo huwa...
England wana utamaduni wa aina yake ambao upo tofauti sana na nchi zingine, kuhusu utambulisho wa watu wao.
Kila watu wana utambulisho wao kutokana na maeneo wanayotoka. Kwa mfano, mtu wa kutoka...
Mambo si mambo huku wameshikwa wazanzibar watatu na makomando wa Serengeti boys wakinyunyizia au kupulizia vimiminika kwenye vyumba vya Serengeti boys
Walipodakwa wakaanza kuongea lafudhi ya...
Mkoani Morogoro, kuna mji mdogo unaoitwa Matombo ambao maana yake ni matiti ya mwanamke.
Sababu ya mji huo kuitwa hivyo ni miamba ya mawe iliyopo eneo hilo, ambayo imeshikana kama matiti ya...
Teknolojia iliyoletwa ili kuonesha utata unapotokea hasa golini.....lakini ili kuona tukio lenye utata inabidi binadamu ndio aamue kufanya hivyo sasa kuna kipindi ataamua kuonyesha kuna wakati...
Wakati timu ya Taifa ya Tz ikiajiandaa kwenda Sudan kupindua meza kibabe mwezi October ! Yanga ,Azam pamoja na Malindi ya Zanzibar zote zitatatikiwa mwishoni mwa wiki hii kutumia staili na mbinu...
Baada ya Stars kutolewa nimeona ni bora tuanzishe Stars yetu mbadala ndani ya JF ambayo nina uhakika hata ikienda Bondeni mwakani lazima kombe la Dunia lije Bongo......Timu hiyo ni kama ifuatavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.