Huyu Valvede ni kocha bomu kabsa pale Barca. Kaifanya timu iwe dhaifu sjapata ona. Ule mpira wa barca haupo tena timu inacheza kizembe zembe tu.Toka afike amekuwa akisajili wachezaji kwa gharama...
Leo kagera sugar wamepata ushindi wa 3 mfululizo kwa kutoboa tundu la mbao, mechi inayo fuata wanacheza na timu yetu pendwa bingwa wa nchi binafsi nimeanza kukosa matumaini.
Jana nilimsikia Mourinho akisema kipindi yupo Real Madrid ndo kipindi very very special kwake
nilishangaa sana...nikawa najiuliza mbona huyu jamaa muongo muongo?
Mbona siku zote husema...
Kijana wa watu wanamwandama sana, maneno maneno mengi, kama zama za Manula zimeisha basi apishe wengine.
Nyota ya mtu iking'aa huwezi kuizima. Mtameza sumu mfe huku mnajiona.
Tunashangaa kuona...
Kwa wapenzi wa Mpira lile beat ambalo linaanza wakati kipindi cha Mpira kinaanza au Mechi aisee lina mzuka sana na hasa kama timu yako ndo inaanza mechi unaisubiria ni balaa wenzetu wanajua aisee...
Mkoa wa Kigoma ni miongoni mwa mikoa inayotoa wanasoka wengi hapa nchini toka nchi imepata Uhuru.
Leo tuwataje wanandinga wenye asili ya mkoa wa Kigoma ambao waliwahi kuwika nchini katika mchezo...
Kituo cha Televisheni cha Italia TopCalcio24 kimemfuta kazi mtangazaji na mchambuzi wa soka kwa kutoa maoni ya ubaguzi wa rangi kwa Romelu Lukaku.
Akiongea kwenye TopCalcio24, Luciano Passirani...
Benchi la ufundi la klabu ya Simba, chini ya kocha wake mkuu Joseph Omog limefanya marekebisho kwenye eneo la unahodha wa timu.
Katika marekebisho hayo yaliyoridhiwa na uongozi wa klabu, beki wa...
Nina Marafiki zangu Madereva wa Malori wanasema hiyo njia ya Kwenda nchini Zambia ambayo Sisi wana Yanga SC hasa Mashabiki tutapita kwenda Kuishangilia Timu yetu ina Maharamia wengi halafu huwa...
Katika kile kinachoonekana kama kukaribishwa kwenye michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya, timu ya Genk anayoichezea mtanzania Mbwana Samatta imezabwa mabao 6-2 na klabu ya Salzburg katika mchezo...
Inajulikana wewe unaitwa Juma bakari tangu ukiwa mwalimu kule pemba hata wanafunzi wanakujua kwa jina hilo umeingia clouds tv ghafla ukageuka Antonio Nugaz
ni swag au vipi?
Ushakuwa afisa hapo...
Adaiwa kuutaka mzigo wa Twite arudi Simba
na Dina Ismail
UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni. Katika hali isiyotarajiwa, beki aliyesajiliwa kwa mbwembwe na mabingwa wa Kombe...
Leo ndio leo asemaye kesho muongo. Leo ndio siku ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu.Ni mechi ya kukata na shoka,ni mechi itakayoamua nani awe kileleni mwa msimamo au wote watabaki nafasi ya...
Habari za jioni hii wadau,mie ni mchizi Fulani nimekulia magomeni makuti na mwananyamala ila kwa sasa nipo naishi kikazi mkoani Kilimanjaro,
Enzi za udogo wangu kipindi cha sikukuu tulikua...
JE MIELEKA NI KWELI???
Kila kitu Duniani kina chanzo chake, kama sio chanzo basi njia ya mafanikio ya kitu fulani, Wengi tunaweza tumjue sana John Cena lakini tusimjue Jessy McMahons.
Jessy...
Wanaweka madawa, yapi??? jibu unalo wewe :) :)
Mmmh hatari mambo kama hayo ukiwa karibu karibu unaweza ukatolewa kafara,hapo sijui maji ya maiti gani yarabi?
Kama ubavyoona kwenye video hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.