Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yaani hawajaamini kule kutoa draw na timu ya Yanga maana waliamini zile goli 3 walizompiga simba mwaka 2014 zingejirudia,ila bado wanakumbuka matokea ya Yanga na township rollers yasije kuwakuta.
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi kama mwanasimba halisi. Nilivyoona simba yangu msimu uliopita ikifanya vizuri na usajili iliofanya mwaka huu nikajua tutakua mabingwa wa Africa. Kwa bahati mbaya ud songo wamakonde wakatutoa...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
..Mjerumani Rudi Gutendorf aliekuwa kocha wa Taifa Stars miaka 80 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93. Rudi ndie anaeshikiria rekodi ya dunia (Guinness World Record) ya kufundisha timu...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Shiriki katika utafiti unaofanyika kuhusu mpira wa nchini tanzania kuhusu athari ya uongozi wa timu kutokuwa na ukaribu na mawasiliano na mashabiki wake. Mawazo yako kama mwanamichezo ni ya muhimu...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Wachezaji pekee ambao wanaweza wasilaumiwe moja kwa moja ni Yondani,Moro, Mitacha Minacha na Mapinduzi. Ila wengine wote walikua na makosa kibao! 1.Ali sonzo. Nakumbuka mpaka mechi inaisha...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Msimu huu sioni wa kuzizuia timu za EPL kutesa tena kwenye michuano ya ulaya , Naiona Liverpool ,man city zikifika mbali kuanzia nusu hadi fainal , Timu kama Madrid bado haijaelewana vema ...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimekuwa nikimfuatilia Kocha Mwinyi Zahera tangia ajiunge na Timu ya Yanga Mwishoni mwa msimu wa 2017/18. unaweza kusema amepata mafanikio kiasi ikiwemo kuifanya Timu yake kushika nafasi ya Pili...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Patashika ya Kombe la Shirikisho Soka Barani Afrika, Kuendelea kutimua vumbi leo Jumapili ya September 15, 2019 ambapo wawakilishi wa Tanzania Azam FC wakiwakaribisha Triangle United ya kutoka...
3 Reactions
94 Replies
7K Views
Hakuna mahali popote duniani mshabiki wa soka aliyelipa kiingilo kuingia uwanjani anaruhusiwa kupigwa au kufanyiwa fujo. Kuna wahuni wachache wasiojua mpira wanavamia soka letu. Na Kuna kila...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Nataka niushauri Uongozi wangu wa Yanga SC kwamba tuwaombe CAF na hata TFF watuanzishe Ligi ' Maalum ' tu ambao Ushindi wake utakuwa ni wa Kupiga / Kupigiana tu Penati kwani naamini kwa Timu yetu...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana Yanga SC wenzangu wala tusishangalie sana kwani kumbe tunacheza na Zesco B ( Kikosi cha Pili ) cha Zesco na cha Kushangaza bado wanatusumbua tu na haka ' Kagoli ' ketu Kamoja ka Kupewa na...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo kutakukuwa na game ya kukata na wembe kati ya watetezi wa nchi dhidi ya wageni Zesco United pale katika dimba la mkapa. Young Africans ndio timu pekee inayowakilisha nchi katika michuano hii...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Huyu kijana nimekuwa namsikia toka yule kocha wa kibrazil Yupo Tanzania mpaka sasa Napenda sana mchezo wake huwa namfananisha na andrea pirlo Yule wa The azures Au taribo west wa super eagles...
8 Reactions
55 Replies
8K Views
Kila siku siyo Jumapili .
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kauli hii inasikika sana kutoka kwa baadhi ya mashabiki,wanachama na hata viongozi wa Yanga.Ukiitafakari kauli hii kwa mbali inaonyesha hali ya mashaka kuwa CCL sio saizi yetu.Hii kauli nashauri...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Tukiwa tumehakikishiwa tunanzia makundi champions league ya Africa. Sisi wekundu tukasajili wachezaji mafundi wenye uzoefu gafla tukanzia mtoano kwa kukosa wachezaji wenye uzoefu na team ndogo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
381 Views
kamusokoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Wanajamvi habar zenu. Aisee mimi leo nimebeti,,sijabeti takriban miaka 2 sasa leo nmepata hela ya ziada na haina kazi(nimehongwa),sasa nikaamua nibeti timu nne tu. Barca Juve Man city PSG...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kiukweli timu yetu ya Yanga ,timu ya wananchi,mabingwa kihistoria wa Tanzania.mwaka huu tangia msimu huu wa 2019/2020 umeanza timu yetu bado haijapata muunganiko unaotakiwa. Kocha mwinyi Zahera...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom