Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu, pana "clip" moja nimeiona katika mtandao mmoja ukisema, nanukuu, 'msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdul Nassib Diamond platnumz amepanga kuanzisha timu ya mpira wa miguu itakayoitwa Wasafi...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Je unamkumbuka huyu jmaa??
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Marcio Maximo pamoja na yote akatimuliwa,kutoka hapo umepita mlolongo mrefu wa makocha..wazawa na wageni wote wameonekana hawafai.... Sasa wiki hii nayo gumzo lililopo ni kua eti kocha wa Azam na...
1 Reactions
5 Replies
980 Views
Bila VAR Samatta angepewa redcard, hii nayo angeweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kucheza Uefa na kupewa redcard siku hiyohiyo!
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Iwe ni katika Michezo ya Wachezaji wa ndani pekee (CHAN) au hata ile mingine Kocha awe anapanga hivi: 1.Juma Kaseja 2.Haruna Shamte 3.Gadiel Michael 4.Kelvin Yondan 5.Erasto Nyoni 6.Jonas...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kucheza ulaya ni ndoto ya kila kijana mcheza soka wa Africa. Lakini kucheza UEFA Champions leage ni ndoto ya kila mwanasoka duniani. Samata amepata hiyo fursa iliyofinyu mno mno! " Kucheza Uefa...
2 Reactions
1 Replies
911 Views
Kipigo walichochapwa Genk kama simba kwa fc Vita but hongera samatta kwa kutupia la kufutia machozi
0 Reactions
2 Replies
754 Views
Kwa morali hii walionayo Zesco nahisi wanajiamini na wanajua wanachokifanya. Nimefurahishwa zaidi na furaha walionayo wachezaji, sidhani kama kuna madeni ya mishahara pale. Ngoja tuone mechi ya...
1 Reactions
271 Replies
24K Views
Hii timu ya Samatta inaanza kupgwa tano half time na underdog mwenzake, hii Genk hata Europa lig haitaingia. Napoli na Liverpool watakuja kuimalza kabisa
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa namna moja au nyingine najua kuna mamilioni ya watanzania walikua wakingoja mtanange wa Genk ndani ya UEFA CL kumuona champion boy Mbwana Samatta.. Kama miongoni mwa watanzania basi natumia...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Dakika ya 80 , 6-2. Genk isipokuwa makini italishwa goli za kutosha kwenye hili kundi
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Iwe ni katika Michezo ya Wachezaji wa ndani pekee (CHAN) au hata ile mingine Kocha awe anapanga hivi: Juma Kaseja Haruna Shamte Gadiel Michael Kelvin Yondan Erasto Nyoni Jonas Mkude Miraji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwani yanga jamani Ina shida gani pale mbele?
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Sio lazima iwe ni aliefunga magoli tu,wapewe na viungo,mabeki na hata makipa kwani wao huangalia striker tu walinzi hapana hii sio fair,tubadilike kama ilivyo UEFA wameanza kubadilika.pia hili la...
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Habari WanaJF, Shiriki katika utafiti unaofanyika kuhusu mpira wa nchini tanzania kuhusu athari ya uongozi wa timu kutokuwa na ukaribu na mawasiliano na mashabiki wake. Mawazo yako kama...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Mbwana Samatta: Mshambuliaji wa KRC Genk huenda akawakosa RB Salzburg kutokana na majeraha Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMbwana Samatta anakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Toka mechi za majaribio mpaka hizi za kimashindano timu yangu ya Yanga SC chini ya Mwinyi Zahera imeanza kunitia shaka sana, tena sana tu. Zahera naona alianza kupotea maboya toka msimu ulopita...
7 Reactions
75 Replies
7K Views
Back
Top Bottom