Kwanza niwape pole wachezaji na Watanzania wote kwa ujumla kwa matokea ya kuumiza kidogo ambayo hatukuyatarajia japo mimi binafisi nilishaona tulichemsha mwanzo kabsa baada ya kuona timu ilitoitwa...
Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba imemteua Haji Manara kuwa msemaji rasmi wa klabu hiyo.
"Asanteni Sana Wanasimba wote hususan Bodi ya Wakurugenzi chini ya Mwenyekiti wetu Mohammed...
Arudi kufundisha mzee fergie tu hakuna mwingine pale, wote ni upepo tu majanga mtalia sana mwaka huu, huyo ole masai guna ameshindwa asubuhi tu.asanteni
Ukiangalia kikosi cha Taifa Stars kilichoitwa dhidi ya Sudan naona wamejaa viungo watupu. Sielewi kwanini kocha kaita timu yenye striker mmoja tu Chilunda, ikitokea akaumia sjui itakuaje!!?
Baada ya draw ya jana Argentina inakuwa ya mwisho kweny group, messi anashindwa kufanya maajabu yake kabisa..
https://kangaroodds.blogspot.com/2019/06/sport-news-argentina-1-1-paraguay-makes.html
Ronaldo kwa sasa ana mfadhaiko mkubwa baada ya klabu yake mpya,Juventus kutimuliwa ligi ya mabingwa na Ajax katika hatua ya robo fainali.
Labda turudi nyuma hadi 2006,ambapo mshindi wa Tuzo ya...
Mo Salah ameshabeba Uefa Champions League akiwa na Liverpool msimu huu.
Pia anashariki Afcon akiwa na Taifa lake la Misri. Je ikitokea ameshinda Afcon 2019 akiwa na Taifa lake nafasi yake ya...
kwa namna wachezaji wetu wanavyocheza!Kama tunataka mafanikio ni lazima,tuwekeze kwa Hawa kina Chilunda,nado,muzamir,miraji no...Naona mantiki ya hoja ya Mwakyembe kuhusu wachezaji wa nje!Mf...
Imekua kama fashion Tz kujaza lundo la wachezaji wageni katika timu pamoja na mwalimu..badala ya kutengeneza vipaji vipya tumeendelea kuamini kuwa sisi kama sisi hatuwezi..hii ni sumu mbaya ...
habari za saizi wakuu kuanzia leo tarehe 23 mwezi 9 mwaka 2019 kwa akili zangu timamu nimeamua kuhama manchester united na kuamia manchester city sijalazimishwa na mtu nimeamua mi mwenyewe na...
Huyu mwamba atapata majeraha lini akae nje ya uwanja kidogo? Maana naona spirit yake ndio inaibeba Liverpool kwa sasa.
Nimeumia sana Chelsea kufungwa japo mimi sio fan wa Chelsea bali ni fan wa...
Dar es Salaam .Kiungo wa zamani wa Mtibwa Sugar, Azam FC, Ibrahim Rajab 'Jeba' amefariki leo jioni na anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwao Ndijani, Zanzibar saa saba mchana.
Taarifa...
I won't loose much your time but I will go straight foward to the point. Hivi kiukweli hata kama mimi ni shabiki wa Liverpool yule beki wetu kipenzi cha dunia kamzidi nini mwafrika mwezetu raia...
Habari za mihangaiko wanamichezo wa Jf,
Ikiwa imebaki siku moja tu (ijumaa ya tarehe 13/09) kabla ya mechi ya klabu bingwa afrika, kati ya Yanga vs Zesco United,
Naomba niweke wazi kwamba Yanga...
Nimewaona leo katika mechi baina ya Tanzania na Sudan baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa hawawezi kuimba wimbo wa Taifa. Hivyo nashauri TFF ifanye jitihada wachezaji wa timu ya Taifa wawe...
Baada ya zama za Dani Alves na Marcelo kwisha, Atletico Madrid wamemwibua fullback/wingback bora kabisa kwa sasa ulaya. Sio mwingine ni dogo la kiBrazil Renon Lodi. Ana vitu vyote walivyokuwa...
Na Elius Ndabila[0768239284]
Watanzania wengi ukizungumza jina la Rashidi Matumla si geni vinywani mwao hata machoni kwani ni moja ya watanzania wachache waliolitangaza Taifa hili kwa medani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.