Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hakika mpira wa Tanzania pasua kichwa.Mbwembwe zote zile za Kocha Zahera kuwa Zesco hawatoki zimeishia droo. Leo jiji lipo kimya Wazee wa vipensi wamelala WAMELALA mapemaaaa.Yanga oyeee.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Lionel Messi ataruhusiwa kuondoka Barcelona bila malipo yoyote msimu ujao , iwapo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 atapendelea kufanya hivyo kutokana na kifungu cha sheria katika kandarasi...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Inaonekana ni kweli mashabiki wa yanga wameamua kuvaa vikaputula , lakini ni kwanini wavae vazi la namna hiyo lisilo hata na chembe ya heshima mbele ya wageni Zesco ?
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Washabiki wa soka wana hisia kali sana, yaan si ajabu ukashangaa kuona mtu presha inapanda mpaka ana zirai, wengine wanakuwa wana furaha mpaka wanaishia kufanya vituko uwanjani, pia kuna wakina...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi hawa ni Zesco kweli wasijekuwa wamechukua mafundi wa TANESCO tu[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
1 Reactions
2 Replies
640 Views
Kama Wewe ni mwana Yanga SC mwenzangu basi nakuomba haraka sana mwambie mwana Yanga SC mwenzako popote pale alipo kuwa mpaka hivi sasa nimetoka Kuangalia Nujumu ( Tabiri ) za Kiuchawi zinasema...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia sana taarifa zake katika mpira wa miguu,ila nimegundua jambo moja.Ana mapenzi ya wazi wazi na club ya Yanga,jambo ambalo humfanya awe na utangazaji unaoelemea upande...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba kuwauliza wanasimba wenzangu kisa cha kumpa uongozi Swedi ilikuwa nini ? aliwahi kuifanyia nini Simba , hivi aliomba mwenyewe uongozi huu au alipachikwa tu ili kutimiza malengo ya baadhi ya...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Isee huyu Ronaldo huyu mpaka anastaafu goli 100 kwa team ya Taifa lazima isee.....wale team Messi msisahau kupita hapa kuponda maana najua mnaumia sana!!!! Halafu ile Men FIFA player of the year...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Ni kama Yanga wameamua kuwa wanyonge nyuma ya Simba. Yaani kesho mechi kubwa lakini utazani mechi itachezwa mwezi ujao!! Sjui chanzo cha unyonge huu ni nn. Ni Zahera pekee ndio kabaki na imani na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Natambua kuwa kila mwana Yanga SC hapa Jamvini anatambua kuwa Mimi An Eagle ni Mwanachama mwenye Uchungu kabisa na Klabu yetu hii ( nikiwa na Kadi Namba 031....91287...6 ) hivyo mambo ambayo huwa...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kupigwa leo Ijumaa ya September 13, 2019, baada ya kusimama kwa wiki mbili, ambapo Wekundu wa Msimbazi, Simba SC...
3 Reactions
131 Replies
11K Views
Salaam Tanzania, Natumai ni wazima Jumapili ya Agosti 25, 2019 ni siku mbaya sana wa sisi Wanasimba kindakindaki kwa matokeo mabaya ya kufurushwa kwenye mashindano ya kimataifa ya Klabu Bingwa...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Timu ya Gormahia ipo katika ukata mkali (njaa kali km Somalia),na kuna hati hati ya kushindwa kusafiri kwenda Algeria kuvaana na Usm Alger kucheza mechi ya club bingwa kutokana na kukosa pesa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawakumbusha tu wale wagonjwa,wanazi,wapenzi wa mpira wa miguu hapa Tanzania hasa wale waliozaliwa miaka ya 2000 kuja juu,hiyo picha hapo chini ni kikosi Bora cha mwisho kuonekana kwenye ardhi ya...
1 Reactions
1 Replies
921 Views
wanajukwaa habari za leo? huwa mara nyingi nikiingia jukwaa la michezo kwenye uzi wa team iliyojaa mashabiki maandazi Manchester United napatwa kichefuchefu na kupelekea kupigwa ban maana uko...
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Siku ya Jumamosi timu ya Zesco kutoka Zambia itacheza na Yanga Sports Club kwenye dimba la Mkapa. Timu ya Zesco ndipo anapochezea kaka wa triple C kiungo mahiri wa clab ya Simba Adrian Chota Chama...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Hakika inashangaza sana kwa TFF kupelekwa FIFA na aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike kwa kutokulipwa mishahara yake.Kwanini TFF wakati inavunja mikataba na Makocha isiwalipe kabisa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa sheria za offside je hii ni offside au sio offside. Nomba tuanalie hii video.
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Uchambuzi wangu mdogo kuhusu usajili wa Simba 1.shubobo Huyu sikuwa na mashaka nae kabisa tokea alivyosajiliwa nilivyomuangalia YouTube nikaona kabisa ni mchezaji mzuri na pia nikagundua kwanini...
8 Reactions
38 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…