Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni...
Achana na issue ya Kapilimba, wenyewe wanajuana
Mzee wetu Said Hamad El Maamry mwenyekiti wa kwanza kabisa wa FAT sasa TFF na mjumbe wa kudumu heshima wa CAF ambaye kwa sasa anasumbuliwa na...
Boo njoo vile mi nasemaka, TFF iko inaonea sn Yanga. Wamenifungia mimi kuvaa hii niniiii kaptura,ona sasa tunapoteza mechi. Yote haya ni mambo ya ovyooo
Habarini wanajamvi......
Naomba kuuliza wachezaji waliowahi kucheza Moira wa miguu nje ya Nchi walishawahi kuleta tija yeyote kwenye jamii iliyozunguka kisoka?
Walishawahi kuanzisha hata...
Kwa wale wenzangu na mimi Wa kutupia mikeka Join My whatsap group! Kwa wale tunaobet double Chance, both team will score, over/under 2.5
https://chat.whatsapp.com/C9lATRU61o13bbAsVGAfmH
Napenda sana Kazi yako, bidii yako na Ubunifu wako ambao hauna mfano ila Kiingereza chako kinakuharibia na sijui ni kwanini hutaki Kukiboresha wakati Uwezo huo unao na ikijulikana kwamba sasa upo...
Huyu bwana mdogo anaupiga mwingi lakini hatajwi popote, sio kwenye tuzo za soka, sio vyombo vya habari. Lakini huyu jamaa ana namba kikosi cha kwanza ndani ya timu kubwa kama Azam nadhan miaka 3...
Wakati akitambulishwa kuwa ambassador wa parimatch ambayo ni company ya kubetti Leo msanii wa kimataifa diamondplatnumz amesema pia alikuwa na mpango wa kuanzisha company ya kusaidia kuwatafutia...
Kumbe ni kweli mazoea hujenga tabia. Serikali yetu imeonyesha mazoea mabaya ya kutopenda kulipa madeni yake hadi ishtakiwe na kupambana mahakamani kisha linakuwa jambo LA kujisifia hadi bungeni...
Imekuwa ni jambo LA kawaida kwa watanzania kutopenda kuvitukuza na kuvipenda vitu vyetu wenyewe ambavyo asili yake ni hapa hapa nchini kwetu. Imekuwa ni ya wapenzi na mashabiki wa mpira wa miguu...
Hii ni taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa.
Taarifa zinaonyesha kwamba kocha huyu ameiongoza Taifa Stars kwa mechi 10 na kufanikiwa kupata ushindi wa mechi mbili ikiwemo ile ya...
Toka hafidhi awepo pale yanga
Mechi zote za yanga za mwisho yanga na azam
Yanga hajawahi kumfunga azam na si goli moja zaidi ya mbili na tulisha waambia viongozi na tunapata taarifa hushawishiwa...
Aman iwe nanyi
Simba mzingatie haya
Mkishindwa kufunga magori basi hata walau mshinde njaa
Na kama mkishindwa kusonga mbele bas walau hata msonge ugari
Mkumbuke sisi kama wana jangwani...
Kwa taarifa zilizopo ni kwanza AZAM TV itaanza kuonesha ligi kuu ya Uingereza (EPL) kuanzia kesho jumamosi tarehe 31/8/2019 kupitia Azam UTV. Wanaanza na mechi ya Chelsea vs Sheffield united
Kwa aliyekuwa akitizama Mchezo huko Mwanza hawezi kukataa wala kubisha kuwa Toto Africans ' wamehongwa ' na Yanga SC leo ili wacheze chini ya Kiwango, wafungwe Goli nyingi ili kuwatia Imani...
Heshima kwenu wakuu,
Awali ya yote tunamshukuru Mungu kwa kutupa nafasi ya kusonga mbele haswa pale tulipoona kipa anageuzwa tegemeo na wachezaji wote kumi. Mvinyo unapozidi kukaa ndipo unapozidi...
Kuna baadhi ya wanasiasa ama kwa kujua au kwa kutaka kwao sifa kauli zao zimekuwa zinaigawa taifa stars na wananchi kwa ujumla.
Ni wakati sasa TFF iweke kanuni kuzuia wanasiasa kutoa zawadi au...
Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.
Sasa yale magoli ya...
Wandugu,
Mimi sio mpenzi sana wa soka, ila huwa nafuatilia timu yangu ya Taifa, Timu yangu ya Mkoa naotoka, na timu mbili tatu ambazo zinanifutia ligi za mbele, ila sio yule shabiki ambae ni...