Samuel Etoo atangaza rasmi kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 38.
Akitangaza uamuzi wake wa kustaafu, kupitia Ukurasa rasmi wa Samuel Etoo(Instagram) ameandika "mwisho sasa kuelekea...
Tangu mpira unaanza mashambulizi yote yanapitia upande wa kulia Haruna Shamte kachoka tangu dk ya kwanza hawezi kabisa hii game kwenye benchi kuna Kessy hataki kumuingiza hii mikocha ya kigeni sio...
Leo wakati napitia gazeti la mwanaspoti online nimekutana na habari ya wasanii kutumika kuhamasisha Taifa Stars wameshakaa na kujichagua.
Mimi nilifikiri wameshajifunza kitu kumbe bado akili...
Vazi nadhifu Kwa mmasai linaweza lisiwe nadhifu Kwa Mchagga. Kama hakuna juhudi ya kutoa fafsiri ya maana ya vazi nadhifu hakutakuwepo na tafsiri moja ya vazi nadhifu.
Askali wa kikoloni walikuwa...
1. Wamempiga Mwandishi wa Habari wa Michezo Mohamed Zubery ( wa kutoka Mtandao wa Bin Zubeiry ) pamoja na kuwaweka ndani Kituoni Yeye na Mwandishi mwenzake Oscar Oscar ( kutoka Efm na Dstv ) na...
Hakika inashangaza sana kuona Viongozi wa Klabu ya Yanga na WAPENZI wa Klabu hiyo wanagomea sheria ya mavazi iliyotolewa na TFF.
Watanzania sio nchi ya wahuni,kiongozi kama Kocha lazima uvae...
Hakuna haja ya kurudia kueleza kinachoendelea nchini Africa kusini , kila mtu amejionea , wageni wanachomwa moto hadharani huku polisi wanachekelea
Ikiwa kama tutaruhusu timu zao ziende...
Mwakalebela aache vitisho, awaache tff wafanye kazi hata yeye alipokuwa tff alishatoa adhabu nyingi, ukiwatumia yanga kufanya maamuzi ipo siku na viongozi wa simba watafanya hivyohivyo
Kura yangu kama Ndumbula Ndema bila shaka ni kwa huyu jamaa
👉Education Background
• PhD (Education), Awarded at the University of Dar es Salaam, February, 2015.
• MSc. Exercise and Sports...
Makubaliano yameafikiwa mpambano wa maruadiano kati ya mMexco Ruiz dhidi ya Mwingereza Joshua mnamo Dec 7 huko Saudia Arabia
Ikumbukwe pambano la awali Joshua alikubali kichapo ambacho...
Ubingwa wa EPL 2018/2019 unawakataa Manchester city 'The Cityzens'
Hivi sasa tunapoongea wachezaji wanne muhimu ikiwamo na mabeki wa kati muhimu wote wapo majeruhi na viungo wawili muhimu...
wakuu mimi ni shabiki wa valencia cf ya palee spain tatizo kubwa nalopata ni wapi nitapata jezi yake ..kama kuna mtu anajua duka coz kwa hapa mwanza nimekosa
Ifuatayo ni orodha ya makocha ambao walipewa jukumu la kuzinoa timu kutokana na umahiri wao ktk soka lkn wakashindwa kufikia yale mafanikio yaliyotarajiwa na wengi
1. DAVID MOYES (Man U)
Pamoja...
Nchi ya Tanzania now imepiga hatua kwenye mchezo wa mpira wa miguu tofauti na kipindi cha nyuma nilikuwa naperuzi mtandaoni nikaona orodha ya nyota wa kibongo wanaokipiga majuu ya unaweza kwa sasa...
Nikweli kwamba kocha ni mwajiriwa na anapaswa kuisaidia timu iliyomwajili kupata usjindi, Shaka la mgongano wa kimaslahi haliepukiki
Katika mechi za vilabu sio rahisi lakini kwa timu za Taifa sio...
Wakuu,
Naona nchi haiwezi kuhema bila Erasto Nyoni na Kelvin Yondani kwenye ulinzi. Hawa wachezaji waliomba kustaafu kuchezea timu ya taifa lakini ikabidi waombwe kuendelea sababu ya kukosa...
BREAKING NEWS| PAPAA ZAHERA MWINYI AKUMBANA NA ADHABU
Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Septemba 2, 2019 ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi Kuu...
Honeymoon is over..!!!
Mashabiki wa mpira na Duniani na England kwa ujumla walimzodoa sana Mou kwa msimu mmbaya aliokuwa nao wakachochea hadi Mzee wa watu akatimuliwa.
Ole akaja na upepo wake...