Nimekaa mara fikra za woga zimenijia. Nahofia timu yangu Lunyasi wa Msimbazi kuaga mapema kwenye michuano ya CCL. Naomba iwe ni ndoto tu
Kumbuka kwenye mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza...
Kwa wale wapenzi wa mieleka ya WWE, mkali wa mchezo huo Roman Rain ametangaza kujivua ubingwa wa Universal Championship kutokana na kuugua saratani ya damu -Leukemia. Jambo hiki limeleta simanzi...
Naona mambo ya AFCON yanajirudia.
Kipindi kile walitangaza kuonyesha mechi zote wakaishia kuonyesha mechi chache.
Toka juzi wanatangaza kwamba wataonyesha mechi za Ligi ya waliotutawala.
Cha...
Haya Magazeti siku Yanga ikifungwa hayaandiki kwa Ukubwa wake na tena unaweza hata Habari ya Yanga SC Kufungwa usiikute au ukaikuta katika Kurasa za ndani ila Siku tu Simba SC ikifungwa utaona...
Ndugu yangu Haji Manara ( Msemaji wangu wa Simba SC ) nadhani sasa kwa huyu Msemaji mpya wa Yanga SC Mtangazaji Antony Nugaz wa Clouds Media Group ambaye muda wowote kuanzia sasa atatangazwa na...
Jana akihojiwa katika kipindi cha michezo, Clouds FM, Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amedai uwezo wa yule mkata umeme Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman toka nchini Sudan ni sawa na uwezo wa...
Yangu au Simba ina maadili Yao hivi vikundi vya kuilinda timu wanavyo kwa ajili ya kulinda hujuma ndani na nje ya uwanja
Nawashauri muwaite mkae nao wajipange
Lakini mkijifanya kichwa ngumu na...
Tanzania kumekuwa hatufanyi vizuri Kwnye mchezo wa mpira wa miguu kwa muda sasa.
Leo tunashinda, kesho tunapoteza, kesho kutwa tunasubiria mechi ya mwisho na kumsumbua Mungu kwa maombi ili kupata...
Wadau wa Mpira Naomba ufafanuzi na tafsiri ya haya maneno kwenye Soka
[emoji419]Work Rate
[emoji419]duels won
[emoji419]clearances
[emoji419]most take-ons
[emoji419]Interceptions...
Azam tv wamethibitisha kuanza kuonesha mechi za epl kesho wataanza na mechi ya Chelsea vs Sheffield United saa 11:00 jioni naona Azam wanaelekea kwenye mapinduzi ya burudani sisi kama wadau...
Habari ya muda huu mwenyekiti wetu mpendwa Leo kwa Mara ya kwanza tumeshuhudia team yetu ya Yanga imefungwa na team kutoka mkoani
Baada ya miaka 7 kupita
Huu si mwanzo mzuri kwako mwenyekiti...
*32 BORA AFRICA IMETOKA BAADA YA MAKAPI YOTE KUONDOKA MAPEMA*
*_CAFCL First Round_*
Al-Nasr SC 🇱🇾 vs. 🇲🇦 Raja CA
JS Kabylie 🇩🇿 vs. 🇬🇳 Horoya AC
Elect Sport 🇹🇩 vs. 🇹🇳 Espérance Tunis...
Wakongwe habari zenu aisee wote tunajua kuwa maisha yamebadilika sana kutokana na pilika pilika za maisha utafutaji wa fedha watu tunakuwa busy sana kwani ukiangalia ratiba ya mtu ni nyumbani...
Hakika Viongozi wa Mabingwa wa Soka Simba mmetuudhi sana wanachama ,wapenzi na mashabiki wenu kwa matokeo ya juzi.
Usajili mmefanya kinyume na matakwa ya kocha mkuu,Wachezaji muhimu kama Emmanuel...
Wakuu mashindano hayo makubwa barani Afrika yanaanza leo huko Moroko.
Sijaona amsha amsha yoyote kama ilivyokuwa kwenye AFCON.
JE Tanzania haishiriki?
Na kama inashiriki, ni michezo gani...
Aman iwe juu yenu
Je ni kweli simba ni wapumbavu kama alivyosema manara au hasira tu
Tunakumbuka miaaka ya nyuma mwenyekiti Wa simba alisema simba ni mambumbumbu AKA mashibhumbu
Je ni kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.