Barcelona bila Lionel Messi katika mechi 6 za mashindano
Sare: 1-1 vs Inter Milan
Kipigo: 2-1 vs Levante
Kipigo: 2-0 vs Sevilla
Sare: 0-0 vs Huesca
Kipigo: 2-0 vs Celta Vigo
Kipigo: 1-0 vs...
Neymar
Barcelona wametuma ofa ya Paund 153milion kama ada ya kumrejesha Camp Nou nyota wao wa zamani Neymar kutoka Paris Saint-Germain huku wakijadiliana kuwa huenda Ousmane Dembele akawa...
Habari mpya ni kwamba leo Mshambuliaji tegemeo wa Yanga Heritier Makambo amejiunga na Horoya ya Guinea kwa mkataba wa miaka mitatu, habari zaidi zitafuata.
Ibrahim Ajibu amezitumikia klabu za Simba na Yanga kwa muda mrefu lakini amekuwa akiongoza " Kupishana na gari la mshahara"
Alikaa sana Simba akicheza soka la mchangani hamu ya kucheza kimataifa...
Kwa namna Timu za Tz nilivyoziangalia hasa Simba na Yanga, ni dhahiri shairi hakuna combination kwa timu zote mbili.Kila timu bado haina muunganiko na wachezaji hawako tayari kiushindani kutokana...
Timu ya taifa ya wanawake [Twiga Stars]
Kocha wa Timu ya Taifa ya Wanawake Bakari Shime ametaja Kikosi cha Wachezaji 40 watakaoingia Kambini kujiandaa na mashindano mbalimbali.Kambi itaanza rasmi...
Nimekuwa sifurahishwi na msemaji wa timu ya Azam hasa katika mechi mbili zilizopita.
Mara kwa mara hujunja moyo ya sie wapenzi wa timu hiyo na kwa wachezaji pia. Majuzi timu yetu ilipofungwa goli...
Ni kweli inatuuma
Lakini mimi naona ni wakati wa mwalimu sasa kujenga timu anayoitaka kwa msimu mzima tutumie usajili wa dirisha dogo kuziba mapengo.
Kisha usajili mkubwa kuingeza mtu mmoja au...
Ikiwa wewe ni kama moja ya wadau wa soka la bongo ..ukipewa dakika kumi za kuongea na bodi ya klabu ya 'wekundu wa msimbazi' Simba utaipa ushauri gani kwenda mbele
Simba na Yanga walikuwemo kwenye michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Wote walianza kwenye hatua ya kwanza kwa kupepetena na timu za Msumbiji na Botswana.
Mechi za awali zilishuhudia Simba na...
Shirikisho la Soka nchini (TFF) limewaita watu wote wanaoonesha mpira katika 'vibanda' Jijini Dar kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano
TFF imesema imewaita watu hao katika kikao...
Dar es Salaam. Baada ya kutolewa katika mashindano ya kimataifa, KMC inarejea katika Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini inakutana na kigingi kingine kwa Azam FC, leo Timu hizo zitavaana katika mchezo...
Kuanzia benchi la ufundi,wachezaji, mishahara posho na fedha za kuendesha timu kwa mwezi, sidhani kama inapungua nusu bilioni pale.
Now timu imetolewa kwenye kombe lenye hela nyingi CAF tena...
Mpira unadunda,mpira sio mbwembwe ,mpira ni mbinu.Simba wamecheza vzr sn lakini mwisho wa siku katolewa.Hatua hii ya mtoano ni hatua katili sn. Leo watu watatukana na kusema meeengi sn lakini...
Jumamosi iliyopita Yanga ikiwa ugenini Botswana ilifanikiwa kusonga mbele kwenye michuano hiyo baada ya kuichapa Township Rollers ya nchini humo bao 1-0, hivyo kuitoa kwa jumla ya mabao 2-1...
Kama endapo ingefungiwa kule ingekuwa shida kuisafirisha kuileta nyumbani
Tumetumia hela nyingi sana katika kuiendeleza timu ya simba, usajili umefanyika tena wa gharama lakin hawa mabwana...
1. Timu ya Simba SC tulijiamini kupita Kiasi.
2. Timu ya Simba SC tuliwadharau sana Wapinzani.
3. Timu ya Simba SC ilijiandaa Kupata Mapato Uwanjani na siyo Matokeo mazuri Uwanjani.
4. Timu ya...
Nimeshuudia burudani ya mpira Leo yaani Azam wamefanya hii timu ionekane ya kawaida ila walikuwa na uwezo wa kushinda hata goal 6 ila hawakuwa makini kwenye finish ingawa pia kipa wa hiyo team...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.