“ Nembo ya Mdhamimi Vodacom ni Nyekundu na haitobadilishwa kwa Timu yoyote ile na ole wake Timu yoyote ithubutu Kuibadilisha ndiyo itakuwa imejiondoa katika Ligi. Mnajifanya hampendi Rangi...
Shirikisho la soka Tanzania TFF leo kupitia afisa mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura wametangaza kufanya mabadiliko ya maboresho ya kanuni za Ligi Kuu, baadhi ya kanuni zilizofanyiwa...
Asalaam Tanzania na nje ya Tanzania..Karibu katika burudani ya soka ya kiwango cha juu kilichothibishwa na Shirikisho la Kabumbu Barani Afrika CAF, kutoka kwa Simba SC, WanaLunyasi, Mnyama Mkali...
Nilikua nimshabiki mkubwa sana wa Manchelona.. yaani Man U na Barca.
Ila kwa sasa Man U naitoa, ni underdog tuu, imezidiwa hadi na Spurs, haiwezekani eti Crystal Palace na Man U ni big match...
Mimi nikiwa kama mwana Yanga SC tena damu damu na lia lia kabisa An Eagle naanza kwa kusema kuwa naona sababu Kubwa ambayo itatupelekea leo tupate Kipigo Kitakatifu huko nchini Botswana kutoka kwa...
leo nimebanwa na majukumu sikufuatilia mechi!nimerudi jion hii, nikaona ngoja niingie JF, jungu kuu.
Cha ajabu hakuna anayrzungumzia mechi ya Azam, malumbano ni Yanga na Simba!
Yaani timu...
MTAZAMO WANGU NA MAONI KUHUSU MECHI YETU IJAYO[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
JUMAMOSI HII SAA MOJA NA NUSU USIKU VIJANA WETU WATAKUWA PALE ANFIELD KATIKA HARAKATI ZA KUSAKA POINT TATU...
Ukiangalia mechi ya wiki lile baina ya timu ya Yanga na Rollers pale Uwanja wa Taifa beki kisiki yule aliliziba vyema kabisa pengo la `Vidic' wa Yanga aliyekuwa katika mgomo wa maslahi yake.
Leo...
Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa...
Kati ya sajili bora zilizowahi kufanywa Tanzania ni ya yule kiungo wa Simba toka Sudan, lakini cha kusikitisha inasemekana mkataaba wake ni wa mwaka mmoja. Hivi viongozi wa Simba wakati...
Kichwa chake cha Habari cha hiyo Habari yake kinasema...." TFF yaja ya Sheria mpya wale watakaovaa vibaya, hovyp hovyo na kuonekana Wachafu hawatoruhusiwa Kuingia Uwanjani au Kukaa katika Benchi...
Kuna mabishano hapa kuhusu Haji manara na Club ya Simba wengine wanasema bado ni msemaji wa club wengine wanadai ametolewa kufika nafasi hiyo mwenye kulifahamu kwa undani wa suala hili anijuze kwa...
Ni kwamba......
Kesho Wana Simba SC tunaenda Kuishangilia KMC, Jumamosi tutaishangilia Azam FC na kama kawaida Jumapili tunajishangilia wenyewe ( Simba Sports Club ) pale Taifa na wale wa...
Ole wake nimuone mwana Simba SC yoyote yule Uwanjani anaishangilia Yanga SC hasa katika Michuano yake ya Kimataifa. Simba SC tutazishangilia Azam FC na KMC pekee ila kwa Yanga SC watatusamehe...
Inasemekana kuwa Kabla ya Ligi kuanza shirikisho la soka Tanzania TFF, watasaini makataba wa udhamini wa ligi, na kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania ya vodacom.
Inaelezwa kati ya mashariti...
JUNIOR AGOGO has died at the age of 40, after the striker passed away in London on Thursday morning (August 22).
ormer Nottingham Forest and Sheffield Wednesday forward Junior Agogo has died at...
Habar za leo viongozi wamgu, kabla ya yote naeasalimu wote...
Na baada ya Salaam naomba nijielekeze moja kwa moja hadi kwenye mada husika kama ambavo kicha cha habar kinasomeka jmn watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.