Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tulio kuwa tuko bize na clouds kumsikiliza Haji Sunday Manara akitetema ( akiongea) kupitia clouds tukutane hapa, kumuunga mkono msemaji wetu bora kabisa anayewalazaga Gongowazi na viatu. Tukutane...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi Hawa washambuliaji Yanga nani kawaleta hawajui hata kukokota mpira bora hataTambwe angebaki huyu Zahera hajui analolifanya timu haijulikani inacheza mfumo gani mwaka huu kazi tunayo
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Pazia ligi kuu msimu wa 2019/20 ndio unaanza Sasa tutawaona akina kambuzi wavuruga ligi na watoa hogo kwa timu pinzani na waamuzi wakipewa maagizo toka tff kuikwamisha timu Fulani isishinde kwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
LIGI KUU YAPATA MDHAMINI: Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom wamesaini Mkataba wa miaka 3 wa Udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Mkataba huo unathamani...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habar za leo wakuu kama kichwa cha habar kinavojieleza sina mengi nataka kujua mdhamini mkuu ligi Bara ni nani maana naona siku zina kwenda hatangazwi kama ambavo tuliiambiwa atatangazwa siku...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Huenda Ndondo Cup ikafa kifo cha mende baada ya waandaji kuingiza siasa kwenye mpira. Iweje waende kukabidhi kombe kwa Dk. Bashiru? Kwa nini wasiende kwa Waziri wa Michezo?
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Haji manara pamoja na mashabiki wa Simba wamekuwa wakisema Simba ni tajiri sio kweli Simba ni tajiri Bali inamwekezajj tajiri team tajiri inapimwa kupitia account ya bank inasemaje na namna...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
Dakika ya 38 kipindi cha kwanza. Kmc 0 - 1 AS Kigali Mpira unaendelea goli limefungwa dakika ya 29 na Rashid Karisa. Timu ya KMC wanapoteza sana nafasi.. Washambuliaji wa KMC Msuva, Kabunda na...
1 Reactions
63 Replies
5K Views
TFF imesema kocha yoyote na benchi la ufundi lazima wavae sare ya timu halisi siyo kujivalia nguo zisizoeleweka. Aidha kama siyo sare basi nguo za heshima Mbali na hivo hatua za kinidhamu...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Sawa Simba Wamesajili Wachezaji Wazuri Wengi Wao! Lakini Siamini Kwamba Mkude Nibora Zaidi Yakotei! Hakika Jamaa Alikua Chuma Kweli Hasa Katika Lukaba! Naikumbuka Mechi Ya Mwaka Juzi Simba Pungufu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mchezaji kinda aliyewahi kufanya majaribio Manchester United. JOEL DARLINGTON ameamua kujikatisha maisha yake. Chanzo kikiwa ni kuchoshwa na majeraha ya mara kwa Mara. Club yake ya mwisho...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesema kuwa mfumo wa Ligi Kuu ya soka nchini kujumuisha timu 20 utatumika kwa msimu wa 2019/20 pekee Kwa msimu wa 2020/21 timu zitapungua na...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Baada ya kufanyika usajili , jambo pekee ambalo mashabiki wa Yanga wanataka kuona, ni timu yao ikifanya vizuri Ukiachana na michezo ya kirafiki ambayo Yanga imecheza, matokeo ya mchezo wa kwanza...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
SIMBA✅✅✅✅✅✅ AZAM✅✅✅ KMC✅✅✅ YANGA❌❌❌❌❌❌❌❌❌
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zinazosambaa hadi hivi mjini Morogoro ni hofu ya kupotea kwa bondia maarufu nchini mkazi wa Morogoro Francis Cheka. Kwa mujibu wa watoa habari na marafiki wa karibu wa Bondia huyo ni...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu naona soka la bongo linazidi kupiga hatua. Kampuni ya ubashiri katika mpira wa miguu (M-bet) . yaingia mkataba na klabu ya ya soka inayomilikiwa na halmashauri ya manispaa ya kinondoni (...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Former Championship striker Junior Agogo has reportedly passed away, aged 40. The Ghanaian striker suffered a stroke back in 2015 which left him debilitated just two years after retiring from...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Inavyoonyesha jitihada za makusudi za viongozi wa Mkoa na wananchi wa Mkoa wa arusha za kuipandisha timu ya arusha united icheze ligi kuu zimegonga mwamba Kwa sababu zilizotolewa .,..... Binafsi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mpango mkakati na mchakato wa kujaza uwanja wa Taifa takribani mashabiki elfu 60 umeanza rasmi leo. Jumapili ya wiki hii kwa mara nyingine tena bara Afrika linaenda kushuhudia kandanda saaaafi ya...
14 Reactions
66 Replies
9K Views
Wadau nadhani mtakumbuka kuwa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga Yusufu Manji alikuwa na utaratibu wa kuwalipia Kadi na Viingilio Mashabiki wa Yanga.Tabia hiyo imezoeleka ka Mashabiki wa Yanga.Sasa...
8 Reactions
53 Replies
8K Views
Back
Top Bottom