Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Haya mjini story bure chakula ndio cha kulipia Kumbe wale samba boys kutoka amerika ya kusini kazi yao haikuwa Kucheza mpira tu Bali walikuja kwa majukumu mengine tu Wachambuzi toka Jana wanahoji...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi kila mtu jua ni wekezaji kuba pale Simbazi halafu safari hii mimi tegemea pata mabilioni toka CAF ndo sababu mimi na dada iko fadhili simba sasa pesa yetu mingi tapotea bure. Bana Wambura...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kila kukicha ww lawama wachezaji umesajili ww mwenyewe halafu unawalaumu nilishangaa sana mechi ya jana na polisi Unawapa lawama wachezaji hivyo ndo ulivyowafundisha sababu nyingine eti uwanja hv...
10 Reactions
65 Replies
6K Views
Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Team imeenda pre season SA -tulisifia sana, Team imecheza mech huko SA -tulisifia sana kwa yale matokeo Team ilirud bongo kwny simba day -tulisifia sana siku ile wachezaji Wote walikua bora Team...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Ref: Washabiki wa mikia[emoji23]
2 Reactions
1 Replies
695 Views
Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula...
5 Reactions
84 Replies
10K Views
Aman iwe juu yenu Kuelekea Jumamosi siku ndoa ambayo itafungwa kanisa la mtakatifu lumbumbashi kati ya kijana tp mazembe na binti yetu bi Hindu. Tunaisubiri kwa hamu sana siku hiyo maana binti...
11 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa Yaani kama unabisha acha harafu subiri game...
2 Reactions
141 Replies
15K Views
Nakumbuka katika Press yake ya Siku kama tatu hivi zilizopita Msemaji wa Simba SC Haji Manara alisema huku Watu wakidhani kuwa alikuwa akitania kwamba leo hii kati ya Saa 4 hadi Saa 6 hapo kuna...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Simba huwa hawafungwi mara kwa mara lakin wakifungwa hufungwa na timu wasioitarajia tena kipindi muhimu wapohitaji sn ushindi.( mechi ya Do or Die). Simba ya mwaka 1993 ikiingia fainali ya kombe...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Tulikuonya acha kutumia ubabe wa pesa ili upate ushawishi Simba Ukamdharau Mzee wetu kilomoni ukafanya fitina apate misuko suko ya polisi ili uonekane we ndio mtu sahihi Simba Nakwambia siku zako...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Simba imesajili wachezaji wengi wa kigeni na kuwapa mikataba minono ya kifedha huku wakitegemea kufika ktk hatua kubwa ya klabu bingwa ambayo imekuwa ni chanzo kikubwa cha sehemu ya mapato sasa...
1 Reactions
1 Replies
824 Views
Nikiwa kama shabiki wa simba niliadhani tupo serious kwenye kuimairisha ulinzi wa team kumbe mafyongo tu,ni dhahiri James kotei hana ma godfather klabuni au kakataa kukata fungu kubwa kwenye...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Msemaji wa Simba SCC Taifa Kubwa Haji Manara-Scorpion ametamba kuwa Simba watachukua makombe hatua kwa hatua.Haji amesema kuwa walianza na Simba B ambao juzi kati wamechukua kombe,kinachofuata ni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari hii ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa wa klabu na ni mmoja kati ya viongozi wa juu w Simba....nisiwachoshe sana ishu iko hivi Mo Dewji baada ya kukubaliwa timu kuwa mdhamini mkuu na kutoa...
4 Reactions
34 Replies
13K Views
Mashabiki wenzangu wa Simba,Poleni sana na Majeraha ambayo bado mnayo nami nikiwemo. Timu yetu Simba sio mbaya nikiri hivyo.Ila mapungufu tukubali yapo bado. Binafsi nashangaa mnomno...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Huu sio ukimya wa kawaida yaani toka simba irudi toka Egypt mechi ya mwanzo na al ahly sijamsikia popote pamoja na ushindi wa nyumbani hajajitokeza kulikoni? Kesho Simba wanaingia dimbani na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Yanga walifanya kosa kubwa kumwacha Gadiel ,na wakafanya kosa lingine la usajili mbovu wa beki wa kushoto. Sonzo anamapungufu mengi sn kutokana na sifa anazotakiwa kuwa nazo beki wa pembeni kwa...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom