Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Zaidi ya ndevu na ule ubabe hana cha zaidi ambacho ameonyesha so far, nani alimshauri Amunike amuite huyu jamaa?
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Nimeangalia michezo ya AFCON ilyochezwa na nchi za Afrika ya mashariki za Kenya, Tanzania, Uganda na Burundi, halafu nikaongezea na DRC ambayo bado haijaingia EAC. Vile vile nimeangalia michezo...
1 Reactions
7 Replies
993 Views
Nawasabahi sana! Naangalia game ya mwisho kati ya SA v MOROCCO, upande wa pili kuna game ya NAMIBIA v IVORY COAST! Kadri ya game zinavoendelea, kuna matukio ya game ya upande wa pili inaletwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nidhahiri tulijua kipigo ni wajibu wetu dhidi ya hawa Algeria. Ningelikuwa kwenye CABINET, ningependekeza Mechi ile ikachezwe Pale Airport CIA (Cairo International Airport). Kuliko kupoteza muda...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Baada ya kufurahishwa na ushindi wa jana Mtukufu Rais amewapa zawadi Wachezaji wa Timu ya Taifa Viwanja vya kujenga nyumba jijini Dodoma!
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Baada ya kumaliza mfungo wa mwezi wa Ramadhani Paul POGBA aliamua kwenda kufanya Umra katika mji mtakatifu wa Macca
5 Reactions
138 Replies
14K Views
Ninayo mafupi tu kwa TFF kuhusu timu yetu Pendwa iliyobugizwa magoli lukuki huko misri. Action plan kwa TFF: Vunja bechi la ufundi - tukae bila timu kwa muda tujitafakari - kuanza upya si ujinga...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Imetosha sasa, umeharibu ndoto za vijana wetu kwa ahadi zako na tabia yako iliyo wachanganya wapenzi wa mpira kwa kulazimisha kuiingiza siasa chafu kwenye michezo. Ondoka bwana, tuachie timu yetu...
27 Reactions
93 Replies
7K Views
Mim kama shabiki napenda kutoa pongezi kwa Mudathir kwasababu umeonyesha upambanaji wa haliyajuu japo timu yetu haikua na muunganiko mzuri katika eneo la kiungo. Nakumbuka kunakipindi timu ya Azam...
2 Reactions
1 Replies
862 Views
Kwa jinsi ninavyowajua Algeria na jinsi wanavyocheza leo inaona Kuna points Tanzania itachukua leo sema wachezaji wetu n wadogo Sana kwa maana ya umbo japo mahindi, mchele, mihogo, mtama, mbuzi...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Habarini. Kwa hakika Tumebolonga sana kwenye hii Tatal African Cup of Nations. Tuna Point 0 na Magoli -6 tunafuatiwa na Burundi Point 0 na Magoli -5. Pamoja na kua Mechi bado hazijaisha kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tangu huyu ndg yetu wa kolomije aende kuhamasisha Misri Taifa stars imekuwa ikipokea kipigo cha goli tatu tatu kila mechi aliyoishuhudia. Je kwenda kwake kuna faida gani?
0 Reactions
11 Replies
997 Views
tumuunge mkono wandugu
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwamba eti kila Raia wa Tanzania anajua mbinu za soka yaani kimombo ni Tactilcs, Kila Raia anajua kupanga timu na formation gani timu icheze, nani aanze na nani asubiri benchi na kila Raia wa...
0 Reactions
3 Replies
786 Views
Nikiangalia jinsi wanavyocheza mechi hii na MIsri najiuliza kama kweli tuliwafunga zile bao tatu kwa kuwazidi uwezo ama mambo ya Ujirani mwema yalihusika!?
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Huwa naishi kwa matumaini sana, lkn kwa timu yetu hii naona kama vile tumeshafungwa hata hii mechi. Tuombe Mungu awe upande wetu na awasahau adui zetu kwa muda ktk dk hizi 90.
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Habarini nyote, Naomben msaada wa kujua bati bora za rangi ni zipi, yaani zisizochuja na kushika kutu haraka, na bei gani....Maana nimetishwa kuwa kuna ambazo zikipigwa na mvua moja tu rangi yote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Binafsi naomba nisiwe mnafik kabisa kufeli kw timu ya taifa, Taifa stars wa kulaumiwa ni Uganda. Nina sababu ya kusema hivyo hasa nikiwa nipo nafuarilia mechi ya Uganda na Egypt. Kifupi tu ni kuwa...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa Tafsiri halali maana halisi ya uzalendo ni pamoja na kuongea ukweli ( Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko ) , mficha maradhi mauti humuumbua , nimeanza na hili la uzalendo maana limetumika...
7 Reactions
71 Replies
5K Views
Back
Top Bottom