1. Kujifunga goli kulikopelekea mauti ya mchezaji wa Colombia
2. Kifo cha Kiungo mahiri sana wa Cameroon, Marc Vivian Foe
3. Kitendo cha Ronaldinho kumfunga Seaman goli la kubahatisha
4. Kuumiza...
Mwanasiasa yeyote angependa asifiwe na kila kundi la wapiga kura. Juhudi za hivi karibuni ktk awamu hii, naweza kusema ni juhudi za kutaka wapenda michezo wamwage sifa zao kwa serikali. Matokeo...
Kwanza naanza kusema Tanzania tuna vipaji vingi sana wa michezo mbalimbali vinavyokosa rutuba ya kuendelezwa ama kwa sera mbovu za mchezo au ukosefu wa kimkakati!
Sasa kama wote tunapenda na...
Hiv vilabu vya Simba na yanga vitakuwa haviendelei kwa sababu zimekuwa zikitegemea wafadhili kuliko kutengeneza timu kuwa na vitega uchumi ndo maana nilisikia haji manara akisema Simba timu tajili...
Picha ni Ibrahim Ajibu akiwa anaubusu Mpira ikiwa ni ishara ya kupata mtoto. ilikuwa mechi dhidi ya Ruvu shooting Raundi ya kwanza September 07 ambapo Simba walishinda Kwa mabao 2-1 mabao ya...
Wahenga waliwahi kunena.. “Uongo unaoishi ndiyo ukweli mpaka ukanushwe."
Siku mbili zilizopita mwandishi wa habari za michezo nchini Tanzania, Edo Kumwembe aliandika makala katika gazeti la...
Wakuu Habari Ya Malaro,
Hivi kwa mtazamo wenu,
1. Kwanini tunafanya UMITASHUMTA?
2. Hawa washindi wa mashindano haya huwa wanakwenda wpi?
3. Hii michezo faida yake ni nini haswa ikishafungwa? Au...
Tunaishi kwenye dunia hii moja, wote kwa pamoja, tunaishi kwa pamoja pia mzunguko wetu wa maisha ni mmoja!
Lakini kuna watu ni kinyume chake, wao wana mzunguko wao, maisha yapo kivyao, tabia...
winger wa tp mazembe aliyewahi kuchezea Raja casablanca ya morroco amejiunga simba kwa mkopo kwa mujibu wa post ya instagram ya mazembe wamemtakia kila la kheri
(simba leo tumewawahi hakuna cha...
Hivi TFF hawajang'amua tu madhara ya kauli ya Makonda kwamba Taifa stars ni mali ya CCM? Hivi CCM ndo Tanzania? Kwahiyo wale ambao ni watanzania na sio wana CCM, Taifa stars sio ya kwao??
TFF...
Ktk tim 24 zilizoshiriki michuano hii tayar timu 16 zmeshapatikana, nchi za Africa Mashariki ni Uganda peke ake wamefuzu huku TZ, Kenya na Burundi zikitupwa benchi kisubir kuryd nchini mwao au...
Tetesi zimeshaanza kuzagaa, na hivyo ccm kujiondolea aibu ni kutafuta pa kujificha, ilani imekwamishwa na AMUNIKE. Kujiuzulu ni heshma kuliko kufukuzwa. Ni hayo tu. Munisamehe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.