Mpaka sasa sijaona usajili wa maana katika timu yangu ninayoipenda.
Eti sasa hivi Ed Woodward anahangaikia saini ya Longstaff wa Newcastle, kipindi majirani zetu na wapinzani wetu wanafanya sajili...
Hii ni orodha yangu ya wachezaji 11 bora wa dunia toka mwaka 1998 hadi sasa.Nimeamua kuanzia mwaka huo kwa sababu ndio kipindi nilianza kufuatilia soka, wachezaji hawa wote nimewaona kupitia...
Habari za wakati huu wapenzi na wafuatiliaji wa mchezo huu wa kikapu nchini Marekani!
Ni dhahiri tangu kumalizika kwa finals mwezi uliopita timu nyingi zilijizatiti na kuhakikisha zinatumia...
LIVE STRAIGHT TALK: The Art of Business sijashitushwa na habari za leo kwamba Super Bilioneaz Mo Dewji anataka kujitoa katika azma yake ya Uwekezaji Simba ni habari ambazo nimekuwa nikizisikia kwa...
Kauli ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kabla ya mchezo kati ya Taifa stars na Kenya:
"Taifa Stars ni Mali ya Serikali, inatekeleza ilani ya CCM" huenda ndio inasababisha baadhi ya...
Nasema na ninarudia tena kusema Messi unaeweza kumfananisha japo kidogo na Cr7 ni messi wa Barca tu..Nje ya hapo messi hata Kagere hampati..!! Naona copa america watu mshaanza kulia lia...
Timu zote za kisasa na zenye uwezo wa kushindana kwenye mashindano ya kimataifa zinakuwa na Conditioning Coach. Huyu ni kocha msaidizi wa Kocha Mkuu katika eneo la "Conditioning". Conditioning...
Huyu jamaa tayari rasmi katangazwa na wekundu wa msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili ,ingawa mm ni mshabiki wa hii simba lakini najiuliza kwanini huyu mchezaji aliwatolea nje TP Mazembe...
Hii habari inaanza kusambaa kumhusu mwekezaji wa klabu ya Simba zina ukweli kiasi gani?,taarifa zinadai kuwa mo ametofautiana na viongozi wa Simba ktk vitu mbalimbali hii ni kwa mujibu wa shafih dauda
Tangu Taifa Stars iende AFCON sijaona waziri au naibu wake wakiongelea timu ya taifa au wamemuachia ukumbi mwenyekiti Bashite afanye yake? Kwani wao si ndiyo wenye hizo ilani za kutekeleza au...
Simba ni timu tunaayofanya mambo kisomi na kimataifa. Afrika na dunia inatutazama kama timu tishio.
Utani: Bakuli mmeanza kulalama why Simba Sc imekuwa na viporo vya usajiri
Huyu naye anaongeza idadi wa wachezaji wa kimataifa watano ambapo wabrazil wapo watatu,anaitwa Tairone dos santos ana miaka 30,ametokea klabu ya cearense ya kwao,Ni beki wa kati
Kama kawaida yake mara nyingi amekuwa ni Mtu mwenye Chuki za waziwazi dhidi ya Simba SC baada ya Kunyimwa Ulaji wa Kuwa Msemaji wake leo hii Mchambuzi Mnafiki na Mtangazaji wa hovyo hovyo kutoka...
Hivi ni sawa alichokifanya MH MAKONDA LEO!!
Kuhusu NYONI NA YONDANI!!
Nyoni na mwenzake Yondani walitangaza kustafu soko lakini mh kawalazimisha wasistafu hili nisawa kimchezo??
1. UTEUZI WA WACHEZAJI
Haukuzingatia uhalisia kwa kuwa wachezaji waliofanya vizuri kwenye ligi ya ndani hawakujumuishwa, mfano Mkude kwenye kiungo cha kukaba, Ajibu kwenye pasi za mwisho alipngoza...
Sasa ni rasmi; yule kinda mwenye kipaji kilichotukuka anayetazamiwa kuwa mmoja wa wachezaji bora kabisa duniani Joao Felix amekamilisha uhamisho wake kutoka klabu ya SL Benfica nchini ureno na...
Mchezaji Mbwana Samatta amerejea mara moja katika Klabu yake ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji ili Kujiandaa na Mwanzo wa Msimu wa Ligi Kuu ya nchini humo.
Mchezaji Simon Msuba amerejea Kwanza...
Wako waliodai eti usajili huu watu watazimia lakini ukichunguza kwa makini hapo msimbazi utagundua kuwa TAJIRI KANUNA, haiwezekani timu inayotamba kuwa levo ya MAZEMBE, AS VITA, AL AHLY, MAMELOD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.