Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

VVD Alison Becker na Salah wameshinda taji moja tu msimu uliopita,wameshinda UEFA Champions League wakiwa na klabu ya Liverpool. Bernardo Silva ameshinda mataji yafuatayo akiwa na Man City pamoja...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Uungwana ni vitendo , Tunawajua wote mliotoa lugha chafu baada ya Shaffih Dauda ( Mzee wa under dog ) kuanika ukweli wa Mgogoro wa Simba , Kabla sijawataja majina yenu mnatakiwa kumuomba radhi...
14 Reactions
55 Replies
7K Views
Alianza Tanzania akala zake Akaja Kenya akala zake akakaa pemneni Amekuja Uganda amepiga mpaka chumbani Kweli Senegal ni mume wa Afrika Mashariki
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Niliipenda sana timu yangu hii, lakini kutokana na mambo yanayofanya na baadhi ya Viongozi nimeamua kujiondoa Simba. Ni mimi Mzee wa Kurekebisha wa hapa Jamii Forums, nawaachia timu kina MO.
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Siyo roho mbaya ila kama mdau wa mpira kuna foward za ukweli pale England (EPL) na Sammata hawezi kuwafikia mfano. 1.Callum Wilson 2.Dominic Solanke (21yrs) 3.Joshua King 4.Leandro Trossard (loan...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Hivi hawa viongozi wa CECAFA huwa wanaza nini? Yaani hawakujua mashindano ya AFCON yanafanyika lini hadi wakapanga klabu bingwa Afrika Mashariki kuendeshwa sambamba na AFCON ili hali nchi nne...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
nimeangalia mpira wa kmc na timu ya Sudan kusini sidhani Kama tutafika mbali shirikisho....mayanga fanya kazi kubadilisha timu iwe imara
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Football365 NEWSLETTER Home Mailbox Man Ut Send your mails to theeditor@football365.com… Man Utd’s fake optimism I’m going to begin this rant with an admission of hating Manchester United...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Si mara Ya kwanza kusikia Simba na Yanga zikijitoa kwenye michuano mikubwa hasa Ya hapa East Africa,wote wamekua mara nyingi wakitoa sababu ambazo hazina mashiko, lakini inafikia mtu unajiuliza ni...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Hakika kuna viongozi wanajua maana ya kuwajibika. Rais wa Chama cha Mpira cha Misri ameamua kumfukuza Kocha wa Timu ya Taifa ya Misri kwa kutolewa kwenye Mashindano ya AFCON jana baada ya...
11 Reactions
51 Replies
5K Views
Eti Seedorf ndio kocha mkuu wa timu ya taifa ya Cameroon na Kluveit ndio msaidizi wake. Seedhoff aliwahi kupewa Milan kama interm coach lakini alifukuzwa miezi michache baade. Akaenda Deportivo La...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
eti au ni DSTV TUU???
0 Reactions
5 Replies
875 Views
Imeandikwa na Dominick Salamba https://www.instagram.com/dominicksalamba/ Kwanza kabisa natoa pongezi zangu za dhati kwa Timu ya Taifa kwa kuonesha ukomavu katika fainal za mataifa ya Afrika...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Misri wenyeji wa mashindayo ya AFCON mwaka huu na finalist wa AFCON2017 wamefurushwa kwenye nzunguko wa pili. Kocha mkuu wa timu hiyo Javier Agguire amesema wachezaji wa timu hiyo wasitupiwe...
3 Reactions
1 Replies
625 Views
Huyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki. Sinahakika kama huyu bwana anahitaji simba zaidi ya kutaka raslimali za simba kwa ajili ya biashara zake na...
5 Reactions
165 Replies
13K Views
Wakuu Habari zenu? Hivi kuna science gani mpaka goli kipa asiumie unakuta anaufata mpira kule apotagia ndege lakini na akitua yuko vizuri tu ,anaendelea na mchezo kama kawaida,sijawahi kusikia...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Huku akijua kabisa kuwa Yeye si Mtaalam wa Soka, hajawahi hata Kucheza Chandimu wala Kusomea Ukocha sehemu yoyote ile achilia mbali Miguu yake ilivyokaa ambayo haiwezi kutoa Ushirikiano kwa Yeye...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakati wingu na hofu limeendelea kutanda ndani ya Simba kufuatia sintofahamu iliyopo kati ya viongozi na mwekezaji wa klabu hiyo, mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji "MO", kiongozi mkuu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Lampard Amesema wakati akiwa na umri wa 18 Kama odoi hakuwa na kiwango kikubwa Kama odoi katika umri huo amesema anamjua vizuri na Kuna kitu atakiongeza ili awe bora zaidi.odoi msimu uliopita...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Kwanza niseme wazi mimi ni mpenzi wa yanga,lkn hilo lisitafsiriwe kuwe mawazo yangu ni ya kishabiki,hivyo mjadala ujikite kwenye hoja na si ushabiki,niwakumbushe kuwa SIMBA SC ndio mabingwa wa TZ...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Back
Top Bottom