Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimefurahishwa sana na Raisi wa TFF kukaidi wito wa Waziri Mwakyembe,, TFF ni taasisi huru,,haingiliwi na mtu yeyote nje ya sheria za Soka. Kocha wa TAIFA alitafutwa na TFF ,,wao ndio wameona...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwa mfano mtu kama huyu mnawezaje kumpa timu ya Taifa , Amefanya nini , lini na wapi ? kuwa na viongozi wa soka wa namna hii ni hasara kubwa sana !
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hakuna ubishi Amunike na Zahera walikuwa hawana mzaha kuhusu nidhamu ya mchezaji ndani na nje ya uwanja. Simba hawakuwa vizuri na Amunike alivyowaadhibu wachezaji wa Simba walipochelewa kuripoti...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Inashangaza sana tena zaidi ya sana kuona timu Za wachezaji wanaokipiga timu zinazoshiriki ligi hizo mbili kuwa na kiwango kibovu mno na kufanya mashindano yasivutie kabsaa. Hasa athari hii...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Ni baada ya team kuzengua huko Misri,bila shaka zahera hakurudi maana kuanzia mwezi wa nane atakuwa na team moja tu ya vyura vyurani anaenda kufukuzwa national team na ole wenu mumchelewesheee...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Club ya Fiorentina ya Nchini Italy leo hii imeonesha umwamba wake kwa kumchakaza Val di Vassa Team goli 21 - 0 bila ya huruma kwa wastani wa kupata goli kila baada ya dakika 4.45.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katka moja ya tukio ambalo nila kusikitisha a kufedhehesha ni lile lililomtokea mchezaji wa Senegal Kripin Diatta katka mchezo dhid ya Tanzania ambapo alifanyiwa ubaguzi hadhari na ndan ya bara...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya Tff kuachana na Ammunike kama kocha mkuu wa Timu ya Taifa,kocha wa muda amepatikana nasasa aliyewahi kua kocha wa Azam fc na Simba Sc, raia wa Cameroon, Joseph Omogi amekabidhiwa jukumu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Msaada wadau wapi naweza pata izo games pasipo kuzipakua
0 Reactions
0 Replies
378 Views
Taifa Stars imetolewa kwenye mashindano ya fainali za OFCON za mwaka 2019, kwa kushindwa mechi zote tatu za awali. Lakini kufukuzwa kwa Emanuel Amunike kuwe ni kigezo cha kuanza kuwatayarisha...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Michuano ya Bara la America ya Kusini maarufu kama "Copa America" inaanza Juni 14 mpaka Julai 7 mwaka huu nchini Brazil. Michuano hiyo itashirikisha jumla ya timu 12 ambazo zitakuwa katika...
5 Reactions
93 Replies
10K Views
Kama ilivyo ada, kikosi kina majina makubwa sana, lakini baadhi yao wamekosekana kama vile Mauro Ircadi. Je kwa kikosi hiki, Messi anayo nafasi ya kushinda taji lake la kwanza akiwa na timu ya...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka19 natafuta mwarimu wa kuchora kwa kutumia penser na langi Michoro ya aina yote
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chanzo :blog ya saleh jembe https://salehjembe.blogspot.com/2019/07/exclusive-pamoja-na-matusi-ya-amunike.html ***kabla ya mechi ya Algeria kuna jamaa wa kiarabu anayesemekana ni wakala wa...
2 Reactions
83 Replies
8K Views
Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajia kuanza kutimua vumbi Agosti, 23 mwaka huu katika viwanja tofauti hapa nchini. Ligi itafunguliwa kwa mchezo wa Ngao ya Jamii ambao ndio huashiria ufunguzi rasmi...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Bila shaka bila ubishi bila ajizi Taifa Stars ya Mbrazil Marcio Maximo ndiyo iliyoweka rekodi ya mafanikio kuliko wakati wote katika historia ya Tanzania. Timu za jirani zilikuwa hazitusumbui...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Hakika mficha maradhi kifo humuumbua ndio kauli nzuri ya kusema kwa sasa Hali si shwari ndani ya club ya Simba wajumbe wanaoiwakilisha timu wanalalamika chini kwa chini wanasema hawashirikishwi...
2 Reactions
79 Replies
8K Views
Kocha Emanuel Amunike katolewa kafara.Mchawi wa Taifa Stars ni Rais wa TFF na wasaidizi wake.Nilitarajia Rais wa TFF kama kaamua kumfukuza Kocha Amunike basi na yeye Rais wa TFF angejiuzulu...
1 Reactions
7 Replies
854 Views
Natumai ndugu zangu ni wazima wa afya,poleni na majukumu ya kila siku. Hivi karibuni timu yetu ya Taifa imetoka katika Mashindano ya AFCON ambapo kila MTanzania ameguswa na kufanya vibaya kwa timu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yesterday our minister for information, culture, art and sports Mr Harrison Mwakyembe met various so called stakeholders to try to form some kind of strategy regarding developing football in our...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom