Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Matangazo yao yalikuwa yanaeleza kwamba wataonyesha mechi zote. Leo hawaonyeshi Mali na Ivory Coast, tatizo nini? Cha kushangaza wamezifunga KBC/UBC ambazo zinaonyesha.
4 Reactions
191 Replies
21K Views
Naomba kujuzwa jamani nina king'amuzi cha azam, je ni chanel gani wanaonyesha hii michuano!?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Naiona Senegal vs Algeria inanukia. #Team Senegal naomba tujuane.
1 Reactions
0 Replies
401 Views
Msaada tutani linki mechi ya senegal na tunisia
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Pamoja na Mazuri na upendo aliotuonyesha watanzania Marcio Maximo alionekana hafai alitimuliwa Wakapita walimu kadhaa hapo kati akiwemo mzawa Ndg Mkwasa wakaondolewa.. Amunike mkufunzi wa ufundi...
0 Reactions
3 Replies
677 Views
Pamoja na kwamba Nigeria wana asili ya kudharau mataifa mengine ya africa lakini amunike amezidi. Kwanza aliwadanganya tff kwamba yeye alikua mchezaji nyota pale barcelona.. ukweli ni kwamba kwa...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kila la kheri Mzee wanaokuombea kifo wataanza wao Hawa wapiga kelele watapita wataicha club km walivyoikuta Mwanasandaland halisi
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Uongozi mzuri wa Simba ukiwa kwenye kikao kujadili maendeleo ya club. Mnaosubiri chama liparanganyike mtasubiri sana
11 Reactions
25 Replies
4K Views
Hii ni timu iliyobeba ubingwa wa La Liga 2013/14. Mchezaji pekee aliyesalia mpaka sasa ni Kiungo Koke Resurrecion ambaye ndio atakuwa nahodha rasmi kuanzia July 1. Kufuatia kuondoka kwa wachezaji...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni moja kati ya mabeki wakatili sana kuwahi kutokea pale La liga, Alijiunga na club ya Real madrid mnamo mwaka 2007, Huyu ni moja kati ya mabeki wakatili sana kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mkufunzi wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ametupiwa virago vyake kwenye mfuko wa rambo na nafasi yake imechukuliwa na Peter Manyika. Haijafahamika hasa sababu za Pondamali kuondolewa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Bado napiga mahesabu huu usajili wa GRIEZMAN ndan ya kikos cha barcelona najaribu kuvuta picha ya wachezaj waliofos kwenda BARCELONA na mwisho wa siku wakapotea kabisa na aina ya mfumo ndan ya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Alikuwa mchezaji wa Azam FC Ramadhani Singano maarufu Kama Messi amesajili na TP Mazembe ya Congo. Mazembe wanaamini Sinagano ana kipaji kikubwa na chini ya uangalizi wa na malezi anaweza...
6 Reactions
75 Replies
11K Views
futebol's greatness is painted Verde Amarela. ​ "Luiz Gustavo (27): One of Brazil’s most consistent performers over the past 2 years, ever since he got...
1 Reactions
351 Replies
36K Views
Klabu ya Yanga Leo imetangaza kuwa kampuni ya GSM imeshinda tenda ya kuzalisha na kusambaza vifaa ya Yanga kuanzia jezi rasmi ,za mazoezi, skafu na tracksuit. Swali la msingi Ni je GSm wamewahi...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Mojawapo ya wachezaji wenye vipaji nchini ni Mohamed Ibrahim MO!Inasikitisha sana kuona Simba alishindwa kuendeleza kipaji chake! Sijui Tatizo nini Naomba kujulishwa huyu kijana amesajiliwa wapi!
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Leo tarehe 11 Julai Shirikisho la Soka nchini(Tanzania Football Fedaration-TFF) limetangaza Kocha wa Azam FC, Ndiyaragije Etienne, kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’. Kocha huyo mpya...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
The sound of drum beats, hand claps and women singing fills the air at a shrine in Cotonou in the West African nation of Benin, homeland of voodoo. But these days the ceremonies are a little bit...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Waziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha. Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi...
6 Reactions
88 Replies
9K Views
Mzee Kilomoni na katibu wake wako live katika kipindi cha 5 sports cha EATV anawachanachana mabeberu na hawa watangazaji uchwara wa hiki kipindi. Kiukweli huyu mzee ni mzalendo anasema Simba...
5 Reactions
77 Replies
8K Views
Back
Top Bottom