Wakati pazia la ligi linafunguliwa kila kocha alijawa na matumaini ya timu yake kufanya vizuri katika harakati za kuchukua kombe, lakini wakati timu zimecheza mechi chache tu za ligi kuu hali...
Toka michuano ianze marefari ni waarabu tu na wanafanya maamuzi ya kijinga kweli
Watu weusi hamuwezi kuwachalenji Hawa wajinga kwanini msiwasusie tuone watachezaje peke yao
Yaani Africa mpo...
Kama wewe ni mfuatiliaji wa Afcon huko misri hautapingana na hili kuanzia mechi za mtoano kuelekea Robo fainali zianze Karibia timu zote zilizovaa jezi Nyekundu hazijafanikiwa kufuzu kuelekea Robo...
Madagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama...
Habari wanabodi.
Wadau bila kupoteza muda nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu zile tetesi za Mo kutaka kuondoka katika club ya Simba. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. kiukweli nilifurahi sana...
Habari wadau
Naomba nilete kwenu uzi ambao utawaisaidia kuwapa hamasa watanzania wenzetu kwenda kucheza mpira nje mfano akina SAMATTA,msuva na awengineo wengi ili kutoa hamasa kwa wengine eaone...
Si mchambuzi mahiri wa soka,lkn napenda kuchambua matatizo,sababu,na njia ya kufanya pengine tutoke tuliko kwama,ili tufanikiwe katika soka lazima tuwe na wachezaji wenye vipaji,na pia tuwe na...
Wachezaji wa timu ya taifa wanatoka kwenye vilabu za ligi kuu. Je, ligi yetu inayo hadhi ya kutoa wachezaji Bora wa timu ya taifa itakayoifunga Algeria na Senegal kwenye mashindano?
Ligi yetu...
Taarifa za kuaminika zinasema kua kufatia matokeo mabaya walio yapata Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars katika Fainali za Afcon,zimetosha kua sababu za kumfuta kazi kocha Emmanuel...
nilijua usingedumu kuwa kocha. hasa baada ya kumuacha ajibu na mkude.
nilistushwa sana na maneno ya kifedhuli ya JUMA nkamia dhidi yako yalinistua sana.
nilijua hautakuwa na kibarua tena.
kwenye...
Madagascar kwa hapo walipofika tu panatosha sana kutupa funzo kubwa kuwa tunakosea pahala!
Leo hii nchi hiyo yenye population ya watu milioni 27...na hata Burundi yenye watu milioni 11..kufikia...
Mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama Swedi Mkwabi na mwekezaji Mo Dewji kwa Sasa hawapikiki chungu kimoja na kupelekea sintofahamu ndani ya Simba.
Chanza
Mo Dewji hana Imani na Mkwabi kutokana...
Haya sasa baada ya Mo kubebebwa mwaka Jana kwenye utaratibu wa kutafuta mwekezaji kwa kuwahonga viongozi wakiokuwa wakiendesha hilo zoezi
Mambo yanazidi kuibuka
Kutoka jikoni ni kwamba kuna...
Habari iwafikie Taifa Stars na washirika wake wanaosema,tunahitaji uzoefu wakati Madagascar ni mara ya kwanza lakini inasonga,na kuingia robo fainali
Tuseme ukweli Tanzania hatuna ile ya kujitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.